Wakora wanaojidai kupima watu mpakani utadhani kwao Corona haijafika. Yule mfanyakazi wa KQ aliwa-alert mapema sana wao wakapuuza na kunsimamisha kazi. Sasa wanastuka ngoma ishachanganyakama unafanya biashara huwezi kupeleka perishable goods bila order na kulipwa!
Wajaribu kuangalia masoko mengine kuna nchi 7 bado zinapokea chakula chetu!
Wapuuzi sana wa KenyaMsala wao huu. Napitaga pale Gihurai 45 sokoni na lile soko la town BS naonaga Fuso za TZ zinapakua bidhaa sasa sasa ghafla zimekata.
NB: unazuia COVID utadhani Kenya hakuna kabisa. Watulie waonyeshwe kazi. Warundi, Rwanda, Congo, ruksa kasoro Mkenya
Unafiki tu hawa wapuuzi“Rais Kenyatta amenituma hapa, anasema Kenya haiiangalii Tanzania kama jirani bali kama Ndugu, sisi sio maadui, adui yetu ni corona, ndio maana alikuwa Rais wa kwanza kuingia Chato kumsalimia JPM, akachukua dhahabu akasema mpelekeeni Magufuli” -Dany Kazungu, Balozi wa Kenya nchini Tanzania
“Bila hii corona April 26 mwaka huu Kenyatta alipanga aje asherehekee na Watanzania Muungano, alipanga awe na ziara ya muda mrefu hapa TZ kuliko Rais yeyote, uamuzi ambao Kenya imechukua kuhusu safari za mipakani sio kwasababu ya Tanzania bali adui yetu ni kirusi”-Balozi Kazungu
“Hakuna Mkenya anayemuombea mabaya Mtanzania, Wakenya tunawaombea Watanzania mpigane na janga hili, na sisi pia mtuombee, tusianze kukorogwa na kirusi hiki, tusianze kugongana kisa corona, Watu watulie, Viongozi wetu watakutana na tutalimaliza” -Balozi Kazungu
Kwahiyo kutangaza wamefunga mpaka ni bit tu?Tatizo tunaleta hisia za kike kwenye hii ishu, Mtu mwenye akili ataona kinachoshangiliwa hapa ni ujinga. Wakenya wataendelea na utaratibu ule ule wa kupima madereva na kuwazuia kuingia watakaopatikana na covid-19 na watakaokataa kupimwa. Sasa watch this space, malori ya kenya yataruhusiwa kuingia very soon kama bado. Hapo waTanzania tunashangilia nini sasa?
Nasi tumefunga hatuwahitaji kuingia ishieni mpakani, shida nini?Comprehension is an issue to you people, the border has not been closed, it's open to cargo upon mandatory testing.
As we speak we have over 120 trucks looking to bring goods to Kenya.
Inaitwa mwaga mboga nimwage ugaliSmall minds are exited by small things.
"Kabudi promised to get back after a week!" Imekufurahisha sana ila ukikaa ukawazia utamuona mjinga pamoja na wewe unaekenua meno.
Kwayo dereva na mzigo wake aendelee kukaa mpakani pale wiki anasubiria waziri amalize shughuli za chama?!
We ni pumbavu kabisa unajipendekeza Kenya ukidhani ukipata janga hapa Tanzania kama watakusaidia hao badala yake watafanya sherehe.Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Dan Kazungu, ameingilia kati bifu kati ya Kenya na Tanzania na kuongea maneno ya busara katika kumaliza mgongano uliojitokeza kuhusu suala la Corona.
Maneno yake ya busara yananifanya niandike hii thread kumshauri Raisi Magufuli kuwatumbua wakuu wa mikoa ya Kilimanjaro na Tanga kwa kuwa hawafai kabisa kuwa mikoa ya mipakani kwa jinsi walivyoshindwa kuzima jazba za wananchhi mpakani na badala yake kuchochea hasira kati ya Kenya na Tanzania. Huko ni kukosa busara ya kuwa mkuu wa mkoa wa mpakakani Tanzania na nchi jirani. Watu kama hawa wanaweza kusababisha hata nchhi kuingia vitani bila sababu.
Na kama Raisi Magufuli atawaonea huruma, basi awahamishe na kuwaweka mikoa ya ndani kama Singida, Tabora, Shinyanga Iringa nk.
Taarifa ya yale balozi Kazungu aliyosema hii hapa;
Kenya’s Ambassador to Tanzania Dan Kazungu defends border closure
View attachment 1454257
Kenya’s Ambassador to Tanzania Dan Kazungu is now calling for calm amid a brewing diplomatic row over the separate measures taken by President Uhuru Kenyatta and President John Magufuli in handling of the coronavirus pandemic.
Addressing journalists in Tanzania, Kazungu said the current pandemic should not provide ground to strain relations between Nairobi and Dodoma, noting that this should be a time for the region to join hands in combating the Covid-19 pandemic.
“Our common enemy is the coronavirus. Tanzania’s enemy should not be Kenya and neither should Kenyans view Tanzanians as their enemies. Let us focus as the main issues; which at the moment is fighting this crisis, bend the curve so that our countries emerge stronger,” said Kazungu.
He defended President Uhuru Kenyatta’s decision to ban movement of persons and passengers in and out of Kenya through the Tanzanian border to combat the spread of the coronavirus.
“This decision taken by Kenya in regards to closure of the border has been made not to punish Tanzanians but to fight this common enemy that we are all facing which is the virus,” he said.“If we lose our people, we become a weak nation.”
“We first need to be understand that President Kenyatta’s directive was very clear that any truck driver from the Tanzanian side who tests negative for the virus is free to cross into Kenya and go to any location be it Nairobi, Mombasa or even in Malindi. In fact we love shirts from Tanzania in Malindi,” said Kazungu.
He further stated that officials from Kenya and Tanzania would hold talks to resolve the looming standoff.
In retaliation to Kenya’s ban of movement of persons through the border with the Tanzania, the neighbouring country announced a ban on all Kenyan truckers crossing from Kenya.
An angered Tanga regional commissioner Martin Shigella, claimed Tanzanian truckers are being mistreated along the border by Kenyan officials — a claim that has been dismissed by Kenyan authorities.
Source: Kenya's Ambassador to Tanzania Dan Kazungu defends border closure - Citizentv.co.ke
Acha kutetea ujinga. Huoni habari wakivokuwa wanazipamba against Tanzania?Time will tell.... Kenya wana point kufanya hicho wanachokifanya na hawabagui, wanapima waganda, wanyarwanda, warundi, watanzania na hata wakenya wanaoingia kutoka mataifa mengine. Yani wanachokifanya kina make sense. Kwaiyo Nauhakika kenya wataendelea kupima madereva.
Sisi haya maigizo tutayachoka very soon. Watch and listen
Wako poa baada ya kumwagiwa mbogambona balozi kaongea vizuri sana. kwanini mnaanza kuleta habari ya nani mshindi. viongozi wa kenya wapo poa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Imefanyika hivyo?mtanzania akipimwa akonekana kuwa ni negative, anaendesha gari lake hadi kenya bila kipingamizi, viyyo hivyo mkenya akipimwa akaonekana negative aendesha gari lake hadi Tz, Na yeyote atakayeonekana kuwa positive, azuiwe mpakani, apate matibabu. Nadhani hii itaapply hata kwenye viwanja vya ndege tutakapovifungua; sidhani kama tutampima mtalii na tukamuona yuko pisitive, halafu tumruhusu akaambikize tu
Stupid...why bother to clear the air if you are not afraid.?? Your ambassador was directed to do so because of the consequences of your irrational actions...you are the ones who will suffer most...that is blinking..Educate me what blinking is.....all the Ambassador was doing is to clear what the president said because from your media and comments u were taking Ke to have closed borders which is not the case
hujui kitu...nyamazaKulingana na wizara ya jumuiya ya Afrika Mashariki, kuna malori 7 yamezuiwa kuingia tz ilhali malori zaidi ya mia moja ishirini kutoka TZ kuelekea Kenya, madereva wake wanangoja kupimwa na GOK.
Mazao yenu yataozea kwenye mpaka
Hata Kama tz ni kitu kimoja ila wewe ni mnafiki hatukukubali kwenye majukwaa ya tzWatakoma kuitaja taja Tanzania kwenye takwimu zao feki za kila siku.
Watanzania wanaendelea kupimwa pale kwa border na kurudishwa na mizigo wakipatikana positive, seems hujui maana ya blinkingStupid...why bother to clear the air if you are not afraid.?? Your ambassador was directed to do so because of the consequences of your irrational actions...you are the ones who will suffer most...that is blinking..
Serikali nzima ikaitisha conference [emoji23][emoji23][emoji23] hivi mbna mnataka kulazimisha ionekane tunawategemea sana?Kenya walipofunga mpaka,viongozi watu wa juu,akiwemo waziri wa mambo ya nje,balozi,hawakuongea,tumefunga sisi,Kenya serikali nzima imeitisha press conference, inaonyesha jinsi gani hawakutegemea hili,alafu wameanza kuumia!
Pole Sana nyang'auWatanzania wanaendelea kupimwa pale kwa border na kurudishwa na mizigo wakipatikana positive, seems hujui maana ya blinking
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni miongoni mwa waj..ga, hujui ulisemaloNakuambia hile video imenichekesha sana. Kwanza venye watanzania wanakimbia wakipewa viboko[emoji23][emoji23]
Mbona wengi wanna haja nayo including you...this is information...kwamba you guys are not only arrogant but stupid too...Jana kwenye tv yenu alihojiwa Dr. Ojwang from one of your universities...akasema Kenya will lose most in this saga...mnatuletea Sijui chewing gum, blueband etc we TZ we can afford to do away with chewing gums...But can you do away kwa mahindi? Your industries will slowly die...your people will lose jobs...mnajifanya hamjali that is fool's courage...Tanzanians know a lot about Kenya...we don't like arrogant and bullish people...You should respect TZ and we will do the same to you...mkileta za kuleta then tunawashughulikia where it hurts you most..Hamna Cha maana Cha kutisha TZ...We know kuhusu njama zenu za kuimezea our beautiful and fertile ardhi..mmefika hata kuja na mbinu za kuoa WaTZ kule Tanga, Kilimanjaro na Arusha lengo lenu siyo love bali ardhi...pure nyang'au...mnatembea mpaka Iringa njombe kununua maparachichi...nyie badala ya kulima mazao ya chakula mnalima maua....ardhi yenu imekamatwa na just few elites..the majority of Kenyans do not own land ...a man eat man society...we don't have problems with our other neighbours- Mozambique, Zambia, Malawi, DRC, Burundi, Rwanda and Uganda...but with Kenya it is different...kwa kuwa mnajisikia Sana...Watanzania hatuwapendi watu wanaojisikia..Hatuwataki watu wanaowadharau wengine..Tuheshimiane..Hii insha yako ndefu hamna aliye na haja nayo ....sisi tutaendelea kujilinda nyinyi endeleeni na hizo povu zenu
Sent using Jamii Forums mobile app