maghambo619
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,537
- 1,360
Porojo tu, hakuna hoja hapo, huwezi kujiamulia kupima mtu against his will
Sent using Jamii Forums mobile app
1. Anazungumza unatambua wazi anayezungumza ni mwanadiplomasia aliyetumwa kulinda maslahi ya Kenya hapa Tanzania
2. Anaongea kutueleza namna Rais na wakenya wanavyotuchukulia,
3. Anaeleza umuhimu wa kipima corona Kama njia ya kukabiliana na ugonjwa huo.
4. Anaonyesha wapo tayari kujishusha na kuomba msamaha Kama tunavyotaka ili mahusiano ya kibiashara yaendelee.
5. Anaonyesha hawajafunga mpaka kwa madereva ila watawaruhusu wale tu waliopimwa akitolea mfano Uganda.
6. Anatutafakarisha na kutufanya tujielize kwanini watu wetu tunataka waende Kenya bila kupimwa?
Sent using Jamii Forums mobile app