Balozi wa Kenya nchini Tanzania: Hatuiangalii Tanzania kama jirani bali kama Ndugu. Sisi sio maadui, adui yetu ni Corona

Hahahaha mipaka ya Arusha na Mara ifungwe pia....Hawa elites wa Kenya washenzi kabisa...watakula fedha zote za IMF walizopata hivi karibuni...
 
What is your point here?
 
Tusichezee soko Tusichezee soko Tusichezee soko; nimerudia mara tatu kuweka msisitizo. Ni rahisi kupata muuzaji kuliko kumpata mnunuzi.
 
Kuna msafirishaji anapeleka mzigo bila malipo kwanza? Utakuwa mjinga! Unaponunua kitu kinachopaswa kusafirishwa iwe sokoni ama hardware unafanyaje? Most of those goods at the border r owned by Kenyans!
Msala wao huu. Napitaga pale Gihurai 45 sokoni na lile soko la town BS naonaga Fuso za TZ zinapakua bidhaa sasa sasa ghafla zimekata.

NB: unazuia COVID utadhani Kenya hakuna kabisa. Watulie waonyeshwe kazi. Warundi, Rwanda, Congo, ruksa kasoro Mkenya
 
Mumepima wangapi[emoji23][emoji23]
Insha yote hyo lkn bado sijaona data

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msala wao huu. Napitaga pale Gihurai 45 sokoni na lile soko la town BS naonaga Fuso za TZ zinapakua bidhaa sasa sasa ghafla zimekata.
NB: unazuia COVID utadhani Kenya hakuna kabisa. Watulie waonyeshwe kazi. Warundi, Rwanda, Congo, ruksa kasoro Mkenya
kama unafanya biashara huwezi kupeleka perishable goods bila order na kulipwa!


Wajaribu kuangalia masoko mengine kuna nchi 7 bado zinapokea chakula chetu!
 
Hahahaha.. Magufuli majanja sana! Mimi binafsi ntamtembelea Ikulu kwenda kumpongeza!
Hili suala alilikwepa kabisa kuliongelea ile juzi, kumbe kaenda kuwafungulia mbwa wake(wakuu wa mikoa) wakaanza kubweka kila kona hatimae panya katoka mbio. [emoji3][emoji3][emoji3]

This is mwamba JPM! naombeni namba yake jamani japo nimpigie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watatulia tu
Pumbavu zao
Walitudharau sana hawa wapuuzi
Nimuda wa kwenda nao kwatu tu kwatu
Safari hii Madharau kwishney
Eti wanatuweka kapu moja ma somali kweli?

Ushauri wangu chadema wasipate hata kiti kimoja kwenye uchaguzi maana hawana msaada wowote kwa taifa. Hivi unasimamaje na adui wa taifa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…