Mbolabilika
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 2,128
- 2,867
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata sisi haturuhusu mkenya nchiniWhat Kazungu said in two sentences.
1. Tanzanians has to be tested before they enter Kenya.
2. We are not opening any border.
Hatuna izo siasa chafu
Msimamo pale pale haingii mtu Kenya bila kupima. Kujifikiza siyo passport ya kuvuka border.LOL hujasikia nini sasa?
Balozi katumwa na Kenyatta to apologize into two formats, verbally and written
Kaomba Tanzania ikubali kuongea kwenye round table, sikiliza clip
Angalieni mnavyojaribu kujishebedua! Kabudi kasema atawajibu baada ya wiki!Sijaona ni wapi ameapologize hapo.
Na hile kichapo kinaendelea kule Namanga pia ameongelea?😂😂😂LOL hujasikia nini sasa?
Balozi katumwa na Kenyatta to apologize into two formats, verbally and written
Kaomba Tanzania ikubali kuongea kwenye round table, sikiliza clip
Angalieni mnavyojaribu kujishebedua! Kabudi kasema atawajibu baada ya wiki!
Unajikomba kwa wakenya hadi unatia huruma.Sijaona apology zaidi ya maelezo kwanini lazima madereva kupima virusi vya covidi kabla kuingia Kenya. Mungwana tena bila jazba. Huu ndio ustaarabu umetuponyaka.
Kabudi kawa luluMsimamo pale pale haingii mtu Kenya bila kupima. Kujifikiza siyo passport ya kuvuka border.
Kutetea ujinga mwiko.Unajikomba kwa wakenya hadi unatia huruma.
then its good,ataongea na ma RC mpaka atie akili.Hizo ni kauli za kawaida hutolewa na watu tofauti tofauti baina ya hizi nchi zetu..
Kwa hiyo usishtuke..
Lakini mpaka hautofunguliwa, kawatishieni Zambia huko
Sent using Jamii Forums mobile app