Balozi wa Kenya nchini Tanzania: Hatuiangalii Tanzania kama jirani bali kama Ndugu. Sisi sio maadui, adui yetu ni Corona

Balozi wa Kenya nchini Tanzania: Hatuiangalii Tanzania kama jirani bali kama Ndugu. Sisi sio maadui, adui yetu ni Corona



Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Balozi Kazungu amezungumza na vyombo vya habari ili kuweka mambo sawa. Balozi kazungu amesema...

Rais Kenyatta amenituma hapa, anasema Kenya haiiangalii Tanzania kama jirani bali kama Ndugu, sisi sio maadui, adui yetu ni corona, ndio maana alikuwa Rais wa kwanza kuingia Chato kumsalimia rais Magufuli, akachukua dhahabu akasema mpelekeeni Magufuli.

Bila hii corona April 26 mwaka huu Kenyatta alipanga aje asherehekee na Watanzania Muungano, alipanga awe na ziara ya muda mrefu hapa TZ kuliko Rais yeyote, uamuzi ambao Kenya imechukua kuhusu safari za mipakani sio kwasababu ya Tanzania bali adui yetu ni kirusi.

Hakuna Mkenya anayemuombea mabaya Mtanzania, Wakenya tunawaombea Watanzania mpigane na janga hili, na sisi pia mtuombee, tusianze kukorogwa na kirusi hiki, tusianze kugongana kisa corona, Watu watulie, Viongozi wetu watakutana na tutalimaliza.


MY TAKE
I mentioned of special emissary/envoy from Kenya will be sent to Tanzania with immediate effect after a border closure by Tanzania...😀😀😀😀

Fungueni border

Kabudi promised to get back after a week! 😀 😀 😀

Sasa katibu kata amjibu huyu balozi! 😀 😀 😀


#Akilizahandshake#

CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Yosef Festo Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala
kikihboy nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11

Busara kubwa hii
 
Tatizo tunaleta hisia za kike kwenye hii ishu, Mtu mwenye akili ataona kinachoshangiliwa hapa ni ujinga. Wakenya wataendelea na utaratibu ule ule wa kupima madereva na kuwazuia kuingia watakaopatikana na covid-19 na watakaokataa kupimwa. Sasa watch this space, malori ya kenya yataruhusiwa kuingia very soon kama bado. Hapo waTanzania tunashangilia nini sasa?
Bila Shaka hayo malori utayaruhusu wewe
 
Mnajifurahisha, hyo ndio kazi yake..
Lkn mjue mpaka hautafunguliwa na madereva lazima wapimwe..
Uhuru keshafunga kazi kitambo, na nynyi mkitaka fungeni pia

Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi hatufungi ila cha moto mmekiona ndani ya masaa 12 tu kwa wakuu wa Mikoa tu sio Mawaziri[emoji23] Balozi anasema katumwa na Kenyatta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MY TAKE
I mentioned of special emissary/envoy from Kenya will be sent to Tanzania with immediate effect after a border closure by Tanzania...😀😀😀😀

Fungueni border

Kabudi promised to get back after a week! 😀 😀
Small minds are exited by small things.
"Kabudi promised to get back after a week!" Imekufurahisha sana ila ukikaa ukawazia utamuona mjinga pamoja na wewe unaekenua meno.
Kwayo dereva na mzigo wake aendelee kukaa mpakani pale wiki anasubiria waziri amalize shughuli za chama?!
 
Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Dan Kazungu, ameingilia kati bifu kati ya Kenya na Tanzania na kuongea maneno ya busara katika kumaliza mgongano uliojitokeza kuhusu suala la Corona.

Maneno yake ya busara yananifanya niandike hii thread kumshauri Raisi Magufuli kuwatumbua wakuu wa mikoa ya Kilimanjaro na Tanga kwa kuwa hawafai kabisa kuwa mikoa ya mipakani kwa jinsi walivyoshindwa kuzima jazba za wananchhi mpakani na badala yake kuchochea hasira kati ya Kenya na Tanzania. Huko ni kukosa busara ya kuwa mkuu wa mkoa wa mpakakani Tanzania na nchi jirani. Watu kama hawa wanaweza kusababisha hata nchhi kuingia vitani bila sababu.

Na kama Raisi Magufuli atawaonea huruma, basi awahamishe na kuwaweka mikoa ya ndani kama Singida, Tabora, Shinyanga Iringa nk.

Taarifa ya yale balozi Kazungu aliyosema hii hapa;

Kenya’s Ambassador to Tanzania Dan Kazungu defends border closure

1589898657906.png


Kenya’s Ambassador to Tanzania Dan Kazungu is now calling for calm amid a brewing diplomatic row over the separate measures taken by President Uhuru Kenyatta and President John Magufuli in handling of the coronavirus pandemic.

Addressing journalists in Tanzania, Kazungu said the current pandemic should not provide ground to strain relations between Nairobi and Dodoma, noting that this should be a time for the region to join hands in combating the Covid-19 pandemic.

“Our common enemy is the coronavirus. Tanzania’s enemy should not be Kenya and neither should Kenyans view Tanzanians as their enemies. Let us focus as the main issues; which at the moment is fighting this crisis, bend the curve so that our countries emerge stronger,” said Kazungu.

He defended President Uhuru Kenyatta’s decision to ban movement of persons and passengers in and out of Kenya through the Tanzanian border to combat the spread of the coronavirus.

“This decision taken by Kenya in regards to closure of the border has been made not to punish Tanzanians but to fight this common enemy that we are all facing which is the virus,” he said.“If we lose our people, we become a weak nation.”

“We first need to be understand that President Kenyatta’s directive was very clear that any truck driver from the Tanzanian side who tests negative for the virus is free to cross into Kenya and go to any location be it Nairobi, Mombasa or even in Malindi. In fact we love shirts from Tanzania in Malindi,” said Kazungu.

He further stated that officials from Kenya and Tanzania would hold talks to resolve the looming standoff.

In retaliation to Kenya’s ban of movement of persons through the border with the Tanzania, the neighbouring country announced a ban on all Kenyan truckers crossing from Kenya.

An angered Tanga regional commissioner Martin Shigella, claimed Tanzanian truckers are being mistreated along the border by Kenyan officials — a claim that has been dismissed by Kenyan authorities.

Source: Kenya's Ambassador to Tanzania Dan Kazungu defends border closure - Citizentv.co.ke
 
Bila Shaka hayo malori utayaruhusu wewe
Time will tell. Kenya wana point kufanya hicho wanachokifanya na hawabagui, wanapima waganda, wanyarwanda, warundi, watanzania na hata wakenya wanaoingia kutoka mataifa mengine. Yani wanachokifanya kina make sense. Kwaiyo Nauhakika kenya wataendelea kupima madereva.

Sisi haya maigizo tutayachoka very soon. Watch and listen
 
Time will tell.... Kenya wana point kufanya hicho wanachokifanya na hawabagui, wanapima waganda, wanyarwanda, warundi, watanzania na hata wakenya wanaoingia kutoka mataifa mengine. Yani wanachokifanya kina make sense. Kwaiyo Nauhakika kenya wataendelea kupima madereva.
Sisi haya maigizo tutayachoka very soon. Watch and listen
KENYA waendelee na kupima, lockdown na upuuzi mwingine wowote ambao wataambiwa na mzungu. Lakini kupima Watanzania hapo ni marufuku.. Wachukue shehena za kwao hapo mpakani
 
Mtanzania akipimwa akonekana kuwa ni negative, anaendesha gari lake hadi kenya bila kipingamizi, viyyo hivyo mkenya akipimwa akaonekana negative aendesha gari lake hadi Tz, Na yeyote atakayeonekana kuwa positive, azuiwe mpakani, apate matibabu. Nadhani hii itaapply hata kwenye viwanja vya ndege tutakapovifungua; sidhani kama tutampima mtalii na tukamuona yuko pisitive, halafu tumruhusu akaambikize tu
 
Time will tell.... Kenya wana point kufanya hicho wanachokifanya na hawabagui, wanapima waganda, wanyarwanda, warundi, watanzania na hata wakenya wanaoingia kutoka mataifa mengine. Yani wanachokifanya kina make sense. Kwaiyo Nauhakika kenya wataendelea kupima madereva.
Sisi haya maigizo tutayachoka very soon. Watch and listen
Wapime kwa vipi...hakuna Mtanzania kwenda Kenya na hakuna Mkenya kuja TZ...biashara ni mpakani...
 
CHA KUSHANGAZA.

Dereva wa Kenya akija kuchukua mzigo Tanzania anaweza kukaa Hadi wiki lakini akifika mpakani kwao anaonekana ni Negative lakini wa Tanzania ni positive. Madereva wa Kenya na raia wa Kenya wanaorudi Kenya toka Tanzania hawaonekani wakiwa na Corona kwa maana hiyo Corona inabagua Nationality.
Hata mimi hapo ndio inaponishangaza yaani waTZ wote wanacorona duu.
 
Back
Top Bottom