Balozi wa Kenya nchini Tanzania: Hatuiangalii Tanzania kama jirani bali kama Ndugu. Sisi sio maadui, adui yetu ni Corona

EYnQrRcX0AIIKgB

EYnQsVDX0AEsEsk

EYn2NXuXQAAEbmv

MY TAKE
Jamaa wa Marfuku, Mh. Martin Shigella, Kenya nzima inamjua na inamuogopa!

#Akilizahandshake#

CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Yosef Festo Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala
kikihboy nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
 
Balozi wa Kenya nchi Tanzania amesema Tanzania na Kenya ni ndugu hivyo hakuna haja ya kuvurugana kisa Corona ambayo haijatoka Tanzania wala Kenya ila wote imetukuta.

Hata hivyo amesema asubuhi ameongea na Waziri wa Mambo ya nje Prof Kabudi kuhusu Changamoto hii.

Kabudi amemjibu kwa sasa yuko bize na maswala Chama Dodoma, hivyo wataongea mwishoni mwa wiki.
Hawa jamaa wanajionaga special sana, ni kwenda nao sawa tu!
Afungashe virago
Duuuh Kazi ipo, Ndio uzuri wa Tanzania huwa ni action Maneno kidogo.

The Most Winner
Na mshindi wetu ni...
Kama anasepa na asepe.

Mwenye hadhi ya kutubembeleza na tukamsikia labda ni uhuru tu tena aende mwenyewe Chato akapige magoti asipige simu akuna muda wa kuongea na simu MK254

Sent using Jamii Forums mobile app
Watakoma kuitaja taja Tanzania kwenye takwimu zao feki za kila siku.
Sasa why atumwe huyo balozi wenu tutawanyoshaa tu Hadi msalimu amri

Sent using Jamii Forums mobile app

Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Balozi Kazungu amezungumza na vyombo vya habari ili kuweka mambo sawa. Balozi kazungu amesema...

Rais Kenyatta amenituma hapa, anasema Kenya haiiangalii Tanzania kama jirani bali kama Ndugu, sisi sio maadui, adui yetu ni corona, ndio maana alikuwa Rais wa kwanza kuingia Chato kumsalimia rais Magufuli, akachukua dhahabu akasema mpelekeeni Magufuli.

Bila hii corona April 26 mwaka huu Kenyatta alipanga aje asherehekee na Watanzania Muungano, alipanga awe na ziara ya muda mrefu hapa TZ kuliko Rais yeyote, uamuzi ambao Kenya imechukua kuhusu safari za mipakani sio kwasababu ya Tanzania bali adui yetu ni kirusi.

Hakuna Mkenya anayemuombea mabaya Mtanzania, Wakenya tunawaombea Watanzania mpigane na janga hili, na sisi pia mtuombee, tusianze kukorogwa na kirusi hiki, tusianze kugongana kisa corona, Watu watulie, Viongozi wetu watakutana na tutalimaliza.

MY TAKE
I mentioned of special emissary/envoy from Kenya will be sent to Tanzania with immediate effect after a border closure by Tanzania...😀😀😀😀

Fungueni border

Kabudi promised to get back after a week! 😀 😀 😀

Sasa katibu kata amjibu huyu balozi! 😀 😀 😀

#Akilizahandshake#

CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Yosef Festo Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala
kikihboy nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11

Hapo huyo balozi kawaelezea nyinyi vichwa vigumu kwanini mipaka ilifungwa, shida ni nyinyi siku zote kua mnapambana na mambo kishabiki, ndio maana hata hili janga la korona huko kwenu mmeligeuza na ikawa hoja nyengine kabisa.....
Huu ushabiki wenu ndo unawafanya pia mnachukulia hayo matamko ya huyo balozi kama sijui anaomba msamaha au sijui kenya ndo imeshindwa kutishiana misuli na Tanzania...... Yani mnaleta ushabik tu, Wakati balozi kaelezea vizuri sana kwamba tunapigana na corona, na sehemu yoyote ambayo maambukizi yanatokea basi tutachukua hatua......

Alafu cha kushangaza ni mnafikiria eti ni sisi ndo tulikua tutaumia kutokana na mpaka kufungwa kabisa, Inaonekana hata Rais wenu na viongozi wenu wanajali zaidi vile wataonekana kuliko kujali maslahi ya mtanzania

Nyinyi ndo mna cha kupoteza zaidi kuliko sisi, Anayewakilicha wanachama wa biashara za kibinafsi Tanzania alikua anashukuru mzozo kutatuliwa wakati nyinyi walala hoi mko hapa kujipiga kifua mitandaoni kumbe mazao yenu hayaendi ugaibuni yasipopitia Kenya.

1590427108970.png

How Dar and Nairobi truce saved horticulture from ruin[/QUOTE]
 
Siku hizi tunasafirisha wenyewe

View attachment 1459563

How Dar and Nairobi truce saved horticulture from ruin
[/QUOTE]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CHA KUSHANGAZA.

Dereva wa Kenya akija kuchukua mzigo Tanzania anaweza kukaa Hadi wiki lakini akifika mpakani kwao anaonekana ni Negative lakini wa Tanzania ni positive. Madereva wa Kenya na raia wa Kenya wanaorudi Kenya toka Tanzania hawaonekani wakiwa na Corona kwa maana hiyo Corona inabagua Nationality.
Nani kakudanganya hivyo? siku zote nyinyi hua mnajadiliana kishabiki tu bila kuangalia uhakika, Kuna madereva wakenya karibia 20 sasa ambao wamepatikana +ve mpakani wakiwa wanarudi kutoka Tanzania. Kwavivyo si ukweli eti Watanzania pekee ndo wanapatikana +ve, hata madereva wakenya wanaotoka Tanzania pia wanapatikana

Kenya’s Ministry of Health on Tuesday said that two Tanzanians were denied entry into Kenya at the Isibania border point after they tested positive for coronavirus.

Health Chief Administrative Secretary Rashid Aman said that the individuals were tested on the Tanzanian side of the border before any further action was taken.

If you recall yesterday I said that at the border points we are also testing those Tanzanians who want to cross over, but we are testing them while they are still on their soil. Then sharing with them the results of the tests so when they turn out positive, these Tanzanians, because they have tracked through the Tanzanian soil, need to be able to go back for isolation but also for the contact tracing that the Tanzanian authorities need to do,” Aman said.

Cross-border transmission of COVID-19 has emerged as a major risk in the East and Horn of Africa regions with countries taking steps to address the threat.

Kenya has already begun testing of people from Tanzania on their side of the border following a rise in the number of truck drivers who are testing positive for the virus. As a result of this, five Tanzanian truck drivers were found to be positive.

On Monday, the ministry announced that nine Kenyan truck drivers who were returning from Tanzania tested positive for COVID-19. Shortly thereafter, Aman said that the Kenyan government was considering all options, including a possible border closure with Tanzania, to contain the threat of cross-border transmission of COVID-19.

Two Tanzanians denied entry into Kenya after testing positive for COVID-19
 
Siku hizi tunasafirisha wenyewe

Kwani siku hizi ina maana tofauti ama? Hio ni habari ya leo na imendikwa na mtazanzia, Au unafikiria kununua ndege mpya na kupanua JNIA ndo ilikua ita tatua shida zote?
 
Nyie wakenya endeleeni tu kuua uchumi wenu huku mnajifanya mna kiingereza kingii. Upuuzi mtupu.
 
Kwani siku hizi ina maana tofauti ama? Hio ni habari ya leo na imendikwa na mtazanzia, Au unafikiria kununua ndege mpya na kupanua JNIA ndo ilikua ita tatua shida zote?
We hujaona tunasafirisha matunda wenyewe juzi air Rwanda ilichukua maparachichi,mbogamboga ,pia Ethiopia wakachukua samaki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo huyo balozi kawaelezea nyinyi vichwa vigumu kwanini mipaka ilifungwa, shida ni nyinyi siku zote kua mnapambana na mambo kishabiki, ndio maana hata hili janga la korona huko kwenu mmeligeuza na ikawa hoja nyengine kabisa.....
Huu ushabiki wenu ndo unawafanya pia mnachukulia hayo matamko ya huyo balozi kama sijui anaomba msamaha au sijui kenya ndo imeshindwa kutishiana misuli na Tanzania...... Yani mnaleta ushabik tu, Wakati balozi kaelezea vizuri sana kwamba tunapigana na corona, na sehemu yoyote ambayo maambukizi yanatokea basi tutachukua hatua......

Alafu cha kushangaza ni mnafikiria eti ni sisi ndo tulikua tutaumia kutokana na mpaka kufungwa kabisa, Inaonekana hata Rais wenu na viongozi wenu wanajali zaidi vile wataonekana kuliko kujali maslahi ya mtanzania

Nyinyi ndo mna cha kupoteza zaidi kuliko sisi, Anayewakilicha wanachama wa biashara za kibinafsi Tanzania alikua anashukuru mzozo kutatuliwa wakati nyinyi walala hoi mko hapa kujipiga kifua mitandaoni kumbe mazao yenu hayaendi ugaibuni yasipopitia Kenya.

View attachment 1459563

How Dar and Nairobi truce saved horticulture from ruin
[/QUOTE]
Tunasafirisha toka viwanja vyetu moja kwa moja hadi ulaya wewe sijui unaishi karne ya ngapi
 
We hujaona tunasafirisha matunda wenyewe juzi air Rwanda ilichukua maparachichi,mbogamboga ,pia Ethiopia wakachukua samaki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao ni wateja wapya wa juzi juzi, lakini Kenya imekua suply route yenu kubwa tokea zamani sana, Kuna vitu vyengine kule Ugaibuni hamngeuza bila kupitishia Kenya.. Hata hao Rwanda wenyewe licha ya kua na kampuni kubwa ya ndege, kuna mazao mengine kama chai hua wanayapitishia Kenya kabla ya chnganywe na bidhaa za Kenya ndo zisafirishwe pamoja.
 
Balozi wa Kenya nchi Tanzania amesema Tanzania na Kenya ni ndugu hivyo hakuna haja ya kuvurugana kisa Corona ambayo haijatoka Tanzania wala Kenya ila wote imetukuta.

Hata hivyo amesema asubuhi ameongea na Waziri wa Mambo ya nje Prof Kabudi kuhusu Changamoto hii.

Kabudi amemjibu kwa sasa yuko bize na maswala Chama Dodoma, hivyo wataongea mwishoni mwa wiki.
Undugu wa mashaka ni undugu gani? These are "nyang'aus" and can not be trusted.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo huyo balozi kawaelezea nyinyi vichwa vigumu kwanini mipaka ilifungwa, shida ni nyinyi siku zote kua mnapambana na mambo kishabiki, ndio maana hata hili janga la korona huko kwenu mmeligeuza na ikawa hoja nyengine kabisa.....
Huu ushabiki wenu ndo unawafanya pia mnachukulia hayo matamko ya huyo balozi kama sijui anaomba msamaha au sijui kenya ndo imeshindwa kutishiana misuli na Tanzania...... Yani mnaleta ushabik tu, Wakati balozi kaelezea vizuri sana kwamba tunapigana na corona, na sehemu yoyote ambayo maambukizi yanatokea basi tutachukua hatua......

Alafu cha kushangaza ni mnafikiria eti ni sisi ndo tulikua tutaumia kutokana na mpaka kufungwa kabisa, Inaonekana hata Rais wenu na viongozi wenu wanajali zaidi vile wataonekana kuliko kujali maslahi ya mtanzania

Nyinyi ndo mna cha kupoteza zaidi kuliko sisi, Anayewakilicha wanachama wa biashara za kibinafsi Tanzania alikua anashukuru mzozo kutatuliwa wakati nyinyi walala hoi mko hapa kujipiga kifua mitandaoni kumbe mazao yenu hayaendi ugaibuni yasipopitia Kenya.

View attachment 1459563

How Dar and Nairobi truce saved horticulture from ruin
[/QUOTE]wewe ndo umeandika nini sasa bwashee?

embu rudia kusoma matapishi uliyoandika alafu utafakari utagundua kuwa ubongo wako umejaa kinyesi cha nguruwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom