Balozi wa Marekani awatukana waarabu kuwa hawajastaarabika

Let us put the issues in their proper perspective: Waarabu ni waislamu. Na uislamu Imani ya dini na ni mtindo wa maisha ie Uislamu unamuamrisha Muislamu namna ya kuishi maisha ya kila siku. Namna ya kusali, kula, kunawa/kutawaza, kuoga kukojoa , kunya, kuimba, kucheza, kuvaa , mahusiano na majirani, ku-behave etc etc.. Civilisation yao inalindwa na dini yao. To act civilised kwao ni maamrisho ya dini!
Huyo raisi Joseph wa Lebanoni ni mwarabu,naye ni muislam?Kuna muislam anaitwa Joseph?
 
We ndio huyo huyo afu Qur'an unayo ijua labda ya kanisani lakini hi Qur'an tunayo isoma sisi ikiwa Kaf Ha Ya Ain Sad unatuambia mana yake Yesu ni Mungu, wakati Qur'an inasema Mungu ni mmoja na Yesu ni Mtume, sio ndio nasema labda kuna Qur'an unayo isoma wewe ipo kanisani tu.

Sawa Mlaleo we endelea kutengeneza majina ilo la hamis77 limekaa kinyiramba ramba tu huoni unaregeza mdomo kama Tundu Lisu eti wewe si Mlaleo🤣
Tunaelewa unapotaka kutoka nduki unafanya hivi kusingizia eti na majina mengi huku umesahau Allah ana Majina 99 na Mudy pia ama majina 99 na mengine yanafanana ya Mudy na Allah,

Hivi jina la Al-Mu'min la Allah nikuulize Allah anaamini nini? Tukuulize swali moja moja labda utaweza jibu I know your slowly
 
Uarabu si uislam, Kuna waarabu wengi sana Syria, Lebanon, Egypt, Palestine, na Jordan nk ambao ni wakristo. Mjifunze Geography and culture also.
Mimi nipo pamoja na wewe ya kuwa Uarabu si Uislamu bali uislamu unatumia Lugha ya Kiarabu kwa uwasilishaji wa maneno ya Mungu kama ilivyo kuwa kwa vitabu vingine.
 
Aya ni nyingi mno Allah akijinasibu kuwa ndie iblis ndie anayepotosha anaona taka, alafu kuna aya anajiongelesha kuhusu shetani akiwapotosha watu wote wataelekea kwa Allah Quran 15:39- 41

Allah ndie iblis anajigamba kuwa amepandikiza chuki na uadui between ya wakristo hadi siku ya kiama, ndie adui yetu ambae ni shetani

Quran 5:14
Al-Barwani
Na kutoka kwa wale walio sema: Sisi ni Manasara, tulichukua ahadi yao, lakini wakasahau sehemu ya waliyo kumbushwa. Kwa hivyo tukaweka kati yao uadui na chuki mpaka Siku ya Kiyama. Na hapo Mwenyezi Mungu atawaambia waliyo kuwa wakiyafanya.

Quran 5:91
Al-Barwani
Hakika Shet'ani anataka kutia kati yenu uadui na chuki kwa ulevi na kamari, na akuzuieni kumkumbuka Mwenyezi Mungu na kusali. Basi je, mmeacha

Sababu inasema Ulevi unaletwa na Shetan and Allah anasema ulevi ni poa kwa watu wenye akili,
Wewe unafanya makusudi kabisa kupindisha maneno ya Allah na haliyakuwa unajua katika Quran 15:39- 41 kuna utofauti wa Allah na Shetani

Quran 5:14 hao walienda kinyume na ahadi za Mungu
hata katika Biblia kuna visa vinavyoonyesha kwamba watu waliokwenda kinyume na agano la Mungu waliishia kupewa adhabu kama hiyo ya mgawanyiko na chuki Mungu alivyomwambia Sulemani kwamba ufalme wake utagawanyika katika
1 Wafalme 11:11-13

11 Basi BWANA akamwambia Sulemani, Kwa kuwa haya ndiyo yamekuwa kwako, wala hukuyashika maagano yangu, na amri zangu nilizokuamuru, bila shaka nitaukura ufalme huu kutoka kwako, nami nitampa mtumishi wako.
12 Walakini katika siku zako sitafanya hayo, kwa ajili ya Daudi baba yako; lakini nitaukura katika mkono wa mwanao.
13 Lakini sitaukura ufalme wote; kabila moja nitampa mwanao, kwa ajili ya Daudi mtumishi wangu, na kwa ajili ya Yerusalemu niliouchagua.

Mgawanyiko wa Taifa la Israeli baada ya Sulemani (1 Wafalme 11-12)
Sulemani alipofanya dhambi kwa kuwaabudu miungu ya kigeni na kuoa wake wa kipagani Mungu alikasirika.
Mungu alimwambia Sulemani kwamba taifa lake litagawanyika na sehemu kubwa ya ufalme wake itachukuliwa kutoka kwa uzao wake.

na ikatokea Baada ya Sulemani kufa Israeli iligawanyika
Ufalme wa Kaskazini (Israeli) Makabila 10.
Ufalme wa Kusini (Yuda) Makabila 2
Mgawanyiko huo ulisababisha vita, chuki na uadui wa muda mrefu kati ya makundi haya mawili ya watu wa Mungu.

Yeremia 11:10-11
“Wamerudi kwenye maovu ya baba zao wa kwanza, waliokataa kuyasikia maneno yangu; wamefuata miungu mingine kuitumikia… kwa hiyo nitawaletea mabaya ambayo hawataweza kuyakimbia.Hata kama wakinililia namna gani, sitawasikiliza.”

na hapo 👆🏽Mungu amesemaje, kwahiyo uweunatumia busara katika maneno yako.
 
Wewe unafanya makusudi kabisa kupindisha maneno ya Allah na haliyakuwa unajua katika Quran 15:39- 41 kuna utofauti wa Allah na Shetani
Hakuna tofauti ya Allah na Shetani hizo aya ni proof kuwa Allah ndie bigger Shetani, game inaanza 39 Iblis analalamika kudanganywa na Allah, kisha anamuambia atalipa kisasi kuwadanganya watu wa Allah wote waovu na makafiri, Allah anajibu utakao wapotosha wote watakuja kwangu, hahahaha so ukidanganywa na Shetani utaenda straight to Allah what is a stupid religuon ebo

Wajua Allah ndie anawaweka mashetani kwa mitume wote ili wapotoshe na kuwapamba Pamba na udanganyifu ili Allah apate watu? Quran 6:112
Quran 5:14 hao walienda kinyume na ahadi za Mungu
Hahaha hiyo aya wenzio waislam hawataki hata kuisikia wangekuwa na uwezo wangekuwa, umeisoma au umeileta tu hujaielewa? Hiyo Aya Allah ndie anajigamba ndie mwenye kuweka chuki na uadui katika wakristo kwa wakristo, hadi kiama so Allah ndie Shetani maana hiyo ni kazi ya iblis so ukiona wakristo wanachukiana au maadui ni kazi ya Allah hahahaha Uislam ni jokes tu

Ujinga wa Allah Quran 15:47 akajisahau kuwa wamchao Allah wamejaa chuki vifuani mwao so siku ya kiama ataondosha chuki hizo ndio mjue waislam chuki mlizo nazo ni Allah kawapandikiza so ndie Shetani huyo,

Another ujinga wa Allah Quran 5:51 Allah anawaambia Waislam kuwa wasiwe na Marafiki Wakristo na wayahudi sababu Wakristo ni marafiki wao kwa wao hahahaha anasahau kuwa alisema amewawekea chuki na uadui baina yao kwa wao,

Allah ni Muongo sana hana sifa za kuwa Mungu maana hajui kitu,anasahau, Muongo anaproof kabisa ametengenezwa tu na Bwana magirini Mihammad for his own benefits

ta katika Biblia kuna visa vinavyoonyesha kwamba watu waliokwenda kinyume na agano la Mungu waliishia kupewa adhabu kama hiyo ya mgawanyiko na chuki Mungu alivyomwambia Sulemani kwamba ufalme wake utagawanyika katika

1 Wafalme 11:11-13
11 Basi BWANA akamwambia Sulemani, Kwa kuwa haya ndiyo yamekuwa kwako, wala hukuyashika maagano yangu, na amri zangu nilizokuamuru, bila shaka nitaukura ufalme huu kutoka kwako, nami nitampa mtumishi wako.
12 Walakini katika siku zako sitafanya hayo, kwa ajili ya Daudi baba yako; lakini nitaukura katika mkono wa mwanao.
13 Lakini sitaukura ufalme wote; kabila moja nitampa mwanao, kwa ajili ya Daudi mtumishi wangu, na kwa ajili ya Yerusalemu niliouchagua.

Mgawanyiko wa Taifa la Israeli baada ya Sulemani (1 Wafalme 11-12)
Sulemani alipofanya dhambi kwa kuwaabudu miungu ya kigeni na kuoa wake wa kipagani Mungu alikasirika.
Mungu alimwambia Sulemani kwamba taifa lake litagawanyika na sehemu kubwa ya ufalme wake itachukuliwa kutoka kwa uzao wake.

na ikatokea Baada ya Sulemani kufa Israeli iligawanyika
Ufalme wa Kaskazini (Israeli) Makabila 10.
Ufalme wa Kusini (Yuda) Makabila 2
Mgawanyiko huo ulisababisha vita, chuki na uadui wa muda mrefu kati ya makundi haya mawili ya watu wa Mungu.
Mgawanyiko ndio, Mungu hapendi mchanganyiko waovu na wema ,na Mungu hakusema atawawawekea chuki baina yao ni adhabu tu,
Quran tukisoma Allah yeye anaweka chuki kwa Wakristo,kumbuka Suleiman was Jew not christian neither muslim hahaha

Yeremia 11:10-11
“Wamerudi kwenye maovu ya baba zao wa kwanza, waliokataa kuyasikia maneno yangu; wamefuata miungu mingine kuitumikia… kwa hiyo nitawaletea mabaya ambayo hawataweza kuyakimbia.Hata kama wakinililia namna gani, sitawasikiliza.”

na hapo 👆🏽Mungu amesemaje, kwahiyo uweunatumia busara katika maneno yako.
Sisi hatusikii ubaya ukiadhibiwa kwa kuabudu Allah badala ya Mungu wa Israel story ipo wazi kabisa Suleiman alitenda mabaya akaadhibiwa hakutumwa na Mungu, upande wa Waislam ukitenda mabaya ni Allah aliyepanga hahahaha eti Allah ndie mpanga wa vyote hahaha unajua maana ya Inshallah?
 
Hakuna tofauti ya Allah na Shetani hizo aya ni proof kuwa Allah ndie bigger Shetani, game inaanza 39 Iblis analalamika kudanganywa na Allah, kisha anamuambia atalipa kisasi kuwadanganya watu wa Allah wote waovu na makafiri, Allah anajibu utakao wapotosha wote watakuja kwangu, hahahaha so ukidanganywa na Shetani utaenda straight to Allah what is a stupid religuon ebo

Wajua Allah ndie anawaweka mashetani kwa mitume wote ili wapotoshe na kuwapamba Pamba na udanganyifu ili Allah apate watu? Quran 6:112

Hahaha hiyo aya wenzio waislam hawataki hata kuisikia wangekuwa na uwezo wangekuwa, umeisoma au umeileta tu hujaielewa? Hiyo Aya Allah ndie anajigamba ndie mwenye kuweka chuki na uadui katika wakristo kwa wakristo, hadi kiama so Allah ndie Shetani maana hiyo ni kazi ya iblis so ukiona wakristo wanachukiana au maadui ni kazi ya Allah hahahaha Uislam ni jokes tu

Ujinga wa Allah Quran 15:47 akajisahau kuwa wamchao Allah wamejaa chuki vifuani mwao so siku ya kiama ataondosha chuki hizo ndio mjue waislam chuki mlizo nazo ni Allah kawapandikiza so ndie Shetani huyo,

Another ujinga wa Allah Quran 5:51 Allah anawaambia Waislam kuwa wasiwe na Marafiki Wakristo na wayahudi sababu Wakristo ni marafiki wao kwa wao hahahaha anasahau kuwa alisema amewawekea chuki na uadui baina yao kwa wao,

Allah ni Muongo sana hana sifa za kuwa Mungu maana hajui kitu,anasahau, Muongo anaproof kabisa ametengenezwa tu na Bwana magirini Mihammad for his own benefits

Mgawanyiko ndio, Mungu hapendi mchanganyiko waovu na wema ,na Mungu hakusema atawawawekea chuki baina yao ni adhabu tu,
Quran tukisoma Allah yeye anaweka chuki kwa Wakristo,kumbuka Suleiman was Jew not christian neither muslim hahaha

Sisi hatusikii ubaya ukiadhibiwa kwa kuabudu Allah badala ya Mungu wa Israel story ipo wazi kabisa Suleiman alitenda mabaya akaadhibiwa hakutumwa na Mungu, upande wa Waislam ukitenda mabaya ni Allah aliyepanga hahahaha eti Allah ndie mpanga wa vyote hahaha unajua maana ya Inshallah?
kuhusu hili andiko Quran 6:112 mbona hata Yesu alijalibiwa na Shetani katika Mt 4:1-17 SUV
Kisha Yesu alipandishwa na Roho nyikani, ili ajaribiwe na Ibilisi. Akafunga siku arobaini mchana na usiku, mwisho akaona njaa. Mjaribu akamjia akamwambia, Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu, amuru kwamba mawe haya yawe mikate. Naye akajibu akasema, Imeandikwa, Mtu hataishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu. Kisha Ibilisi akamchukua mpaka mji mtakatifu, akamweka juu ya kinara cha hekalu, akamwambia, Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu jitupe chini; kwa maana imeandikwa, Atakuagizia malaika zake; Na mikononi mwao watakuchukua; Usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe. Yesu akamwambia, Tena imeandikwa, Usimjaribu Bwana Mungu wako. Kisha Ibilisi akamchukua mpaka mlima mrefu mno, akamwonyesha milki zote za ulimwengu, na fahari yake, akamwambia, Haya yote nitakupa, ukianguka kunisujudia. Ndipo Yesu alipomwambia, Nenda zako, Shetani; kwa maana imeandikwa, Msujudie Bwana Mungu wako, umwabudu yeye peke yake. Kisha Ibilisi akamwacha; na tazama, wakaja malaika wakamtumikia.
 
Kwahiyo Quran 6:112 inayosema Allah amewawekea Shetani Kila Mtume wake, inahusiana nini na Yesu kufunga na Kuibukiwa na Shetani na kujaribiwa? Biblia imeweka wazi kabisa Jesus was taken to the hill by Holly spirit after 40 days akaanza kupata njaa so Shetan was trying to take advantage ila akafail kama alivyofail kuwa convince Malaika wengi kumuasi Baba yake Yesu mbunguni, Baba hakumtuma Shetani

Usifananishe kamwe Aya za Qur'an na za Bible, nendeni mkamlaumu Mtume wenu Mohammad alikuwa kila akisomewa Aya za Bublia anawaambia wafuasi wake wanabadilishe, Mohammad hakusoma,

Bring strong argument with reasoning kama unahitaji elimu ya dini I will help you I don't hate Muslims I hate uongo wa Islam,

Alafu Quran 6:112 inachekesha sababu Shetani ni mmoja tu aliyefukuzwa Firdaus hao wengine wametoka wapi? wameongezekaje na kuwa wengi kwa kila Mtume hahahaha ukisoma hadith za mudi ni vichekesho vitupu je unataka nawewe kucheka nikupe kisa cha kuwa na mashetani wengi?

Kila aya ya Qur'an inapingana na aya zingine za Qur'an hahahahaha
 
Sa wewe umesema sisi Mungu wetu sio sawa sawa na Mungu wa kina Yakobo.na Zakaria sa tuongelee nini tena.

Umeisha tuambia sisi hatuna Mungu umesema Allah sio Mungu kuna lingine bado
Wacha nimjibie hii kitu hamis maana unanifananisha nae hahaha huna hekima sababu Hujasema Quran hekima za Luqman hahaha japo hana kitu

Quran inathibitisha Mungu wa Wayahudi christianity na Waislam na Sabian ni tofauti alafu nilishakupa aya kitambo ukilaza wako ndio tatizo au wewe ni satisfied muongo, its not possible to argue with idiot,

Soma hii Aya 2:62

Hakika Walio amini(mitume), na Mayahudi na Wakristo, na Wasabai; yeyote atakaye muamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho na akatenda mema basi watapata malipwa yao kwa Mola wao Mlezi, wala haitakuwa khofu juu yao, wala hawatahuzunika.​

Kasome tafsiri ya hiyo aya upate akili
Sabian wanaabudu Malaika na Nyota, je Mola wao mlezi ni Allah?
Christian ma Jews hawamtambui Allah goddess na hajawahi kuwa mlezi na hatuwezi kuongozwa na kilaza Allah

Mnavyotuambia sijui makafiri maneno mabaya sijui creature wabaya tunawachora tu Mola wetu mlezi katuambia tusiwe na khofu wala huzuni atatulipa

Au bado utabishana na Allah hahahaha
 
Nikuambia wewe kichaa kuliko hata makenge unabisha, sa nani anaye amini Mitume wa Mungu katika hao magroup Wayahudi, Wakristo na Sabian wasiamini kuna Mungu mmoja tu? Kwenda peponi na kutomwabudu Mungu mmoja tu, linatokana na kutoelewa mafundisho ya Kiislamu na muktadha wa kihistoria wa neno "Sabian". Qur'an haisemi kwamba Sabian wanaenda peponi ni wale tu wanaomwamini Mungu na kufanya matendo mema wanaweza kuingia Peponi. Neno "Wasabia" lilichukuliwa kihistoria na makundi mbalimbali yaliotafuta ulinzi chini ya utawala wa Kiislamu, na uhusiano wao na Pepo ni kumuamini Mungu mmoja tu kama vile Wakristo na Wayahudi. Kwa hio Mkristo anaye amini Yesu ni Mtume na akamini Mungu ni mmoja tu ndio anaye ingia peponi ni sawa sawa na hao Wayahudi na Sabian wanao amini Mungu mmoja tu ndio wanaingia peponi sio wale wanao abudu nyoka na nyota au Wayahudi wanao amini Uzeir ni Mungu na Wakristo wanao amini Yesu ni Mungu.

Qur'an 2:62 na 5:69 inazungumzia Mayahudi, Masabii, na Wakristo kwenda mbinguni lakini Qur'an 4:150-152 inasema waliowakataa mitume wataadhibiwa? Wayahudi walimkataa Yesu kwamba si Mtume

Watiifu kwa Mungu ni wale wanaomwabudu Mungu pekee na kuishi maisha ya haki. Ingawa kila dini imeathiriwa na uvumbuzi, mapokeo, na imani za uwongo, Wawasilishaji wa kweli wanaweza kupatikana katika imani zote. Wanaweza kuwa Wakristo, Wayahudi, Waislamu, Wahindu, Wabudha, au washiriki wa dini nyingine yoyote lakini weka akilini bada ya Mtume Muhammad hakuna atakaye ingia peponi kama si Muislam labda huyo ujumbe uwe haukumfikia lakini nani siku hizi haumfikii ujumbe.

[Qur'ani 2:62, 5:69] Hakika walio amini, ambao ni Mayahudi, na Wakristo, na waongofu; mtu yeyote / yeyote kati yao ambaye
(1) kumwamini MUNGU, na
(2) anaiamini Siku ya Mwisho, na
(3) huishi maisha ya haki,
watapata malipo yao kwa Mola wao Mlezi; Hawana cha kuogopa, wala hawatahuzunika.
Hamtapambanua Mitume wa Mwenyezi Mungu

Katika Qur'an, Mungu anadhihirisha kwamba kila mwanadamu alifundishwa shahada ya kweli (لا إله إلا الله) kabla ya kuingia hapa duniani, na madhumuni ya mafundisho haya yamebainishwa waziwazi kwenye Qur'an 7:172

Any way nilikuwa sitaki kukujibu najua utanipotezea mda, lakini nimejibu sababu unapoteza watu kwa uwongo humu kudai Qur'an inasema wanao abudu nyoka na nyota wanaenda peponi ni uwongo mtupu.
 
Hii makala waislamu wamekula sana za uso

Mlaleo Umejifunzia wapi uislamu aisee
 
Nikuambia wewe kichaa kuliko hata makenge unabisha
iunajua I know all stupidity of your Allah and Mohammad Bakaji,kabati,Mwizi ambaye siku yake ya 40 alipopolewa usoni akang'oka meno ya mbele mapengo akiresite Quran anatamka kama kithembe huyo ndio kenge wangu,
, sa nani anaye amini Mitume wa Mungu katika hao magroup Wayahudi, Wakristo na Sabian wasiamini kuna Mungu mmoja tu?
I thought wewe ni mwerevu ila ni very naive hiyo aya si kwamba hizo tafsir ipo sawa la hasha umeingia mtego wa kijinga kabisa aya imeweka makundi manne unajua kiarabu wao mean and so 1 Wayahudi wakiamini mitume wao na 2 Wakristo na 3 Wasabai yeyote 4 atakayemuamini Allah بِاللَّهِ

Wapi wamesema Mungu mmoja? Aya inasema hayo makundi hayatajuta yatalipwa kwa Mola wao Mlezi,

Tujiulize wakristo Mola wao mlezi ni Allah?
Wayahudi Mola wao mlezi ni Allah?
Wasabai Mola wao mlezi ni Allah?
Wanaomuamini Allah ni Waislam na Mola wao mlezi ni Allah,

Just go and google maybe your idiot Sabian wanaamini nini? Mara zote nakufahamisha wanaamini Nyota na Malaika 70% muslims wamekopy Sabian kasome Quran yao Kanza Rabba ni Islamic tupu

Christian hawamuamini Allah Allah ni satan and ni idiot with proof

Kwenda peponi na kutomwabudu Mungu mmoja tu
nishakupa aya kibao Mara kadhaa angekuwa mmoja asingejiita Sisi
, linatokana na kutoelewa mafundisho ya Kiislamu na muktadha wa kihistoria wa neno "Sabian". Qur'an haisemi kwamba Sabian wanaenda peponi ni wale tu wanaomwamini Mungu na kufanya matendo mema wanaweza kuingia Peponi.
Qur'an ipi hiyo na hiyo aya ndio hii tunayojadili umewehuka ?au Umecopy maoni ya mtu unaproof kuwa huna akili, use your own brain kilaza wewe,
Unaongeza maneno kwenye Quran?

Neno "Wasabia" lilichukuliwa kihistoria na makundi mbalimbali yaliotafuta ulinzi chini ya utawala wa Kiislamu,
hahahaha taahira mkuu Sabian walikuwepo before Islam even Pharao was a Sabian they use to worship Star and Angel Sabian wanamchukia Yahweh na hawafanyi tohara sababu ni amri ya Yahweh aliyemuua Pharao, ujinga uliokuwa unahitaji upasuaji kama Mudy kuwekewa Hakima kifuani
na uhusiano wao na Pepo ni kumuamini Mungu mmoja tu
Sabian hawajawahi amini kama akili zake zilivyo kama akili za kuku, Kasome imani za wajinga wenzio Allah pia anaapa kwa miungu ya Sabian kasome Quran 50:53 Lord of Sirius ambayo ni nyota iliyoabudiwa na makafiri pagani

And that it is He Who is the Lord of Sirius} [Quran 50:53]
Mohammad was a Sabian too
kama vile Wakristo na Wayahudi. Kwa hio Mkristo anaye amini Yesu ni Mtume na akamini Mungu ni mmoja tu ndio anaye ingia peponi ni sawa sawa na hao Wayahudi na Sabian wanao amini Mungu mmoja tu ndio wanaingia peponi sio wale wanao abudu nyoka na nyota au Wayahudi wanao amini Uzeir ni Mungu na Wakristo wanao amini Yesu ni Mungu.
Hamna maneno katika aya yeyote kwenye Quran achana na Taqiyya, Allah anapa kwa nyota ziangukazo ndio muumini wa Nyota
Al-Barwani
Quran 53:1 Naapa kwa nyota inapo tua,

Kuhusu Yesu mjadala wake mshajibiwa miaka yote Na kama mnafuata Torat and injil Jesus and his Father are same so Jesus is Devine, Holly

Qur'an 2:62 na 5:69 inazungumzia Mayahudi, Masabii, na Wakristo kwenda mbinguni lakini Qur'an 4:150-152 inasema waliowakataa mitume wataadhibiwa? Wayahudi walimkataa Yesu kwamba si Mtume
Ujinga wako hujui uislam na huujui uyahudi hahahaha umeweka aya mbili kuonesha Contradictions ya Qur'an so ume proof kwa Allah kuwa Quran sio ya Allah hahahaha Quran 4:82
Watiifu kwa Mungu ni wale wanaomwabudu Mungu pekee na kuishi maisha ya haki.
Uislam hakuna maisha ya haki
Ingawa kila dini imeathiriwa na uvumbuzi, mapokeo, na imani za uwongo, Wawasilishaji wa kweli wanaweza kupatikana katika imani zote. Wanaweza kuwa Wakristo, Wayahudi, Waislamu, Wahindu, Wabudha, au washiriki wa dini nyingine yoyote lakini weka akilini bada ya Mtume Muhammad hakuna atakaye ingia peponi kama si Muislam labda huyo ujumbe uwe haukumfikia lakini nani siku hizi haumfikii ujumbe.
Mohammad alisema akifa hajui Allah atamfanya nini? YESU ndie alisema yeye ni Njia na no one will enter heaven without yeye Allah siku ya kiama yeye ndie utaweka mguu wako motoni aunge pia,
Umesahahu Firdaus Allah atachukua makungwi ya kusex from hell ?

[Qur'ani 2:62, 5:69] Hakika walio amini, ambao ni Mayahudi, na Wakristo, na waongofu; mtu yeyote / yeyote kati yao ambaye
(1) kumwamini MUNGU, na
(2) anaiamini Siku ya Mwisho, na
(3) huishi maisha ya haki,
watapata malipo yao kwa Mola wao Mlezi; Hawana cha kuogopa, wala hawatahuzunika.
Hamtapambanua Mitume wa Mwenyezi Mungu
Aya haijaandikwa hivyo huyoooo

إِنَّ ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَٱلَّذِينَ هَادُواْ وَٱلنَّصَٰرَىٰ وَٱلصَّـٰبِـِٔينَ مَنۡ ءَامَنَ بِٱللَّهِ وَٱلۡيَوۡمِ ٱلۡأٓخِرِ وَعَمِلَ صَٰلِحٗا فَلَهُمۡ أَجۡرُهُمۡ عِندَ رَبِّهِمۡ وَلَا خَوۡفٌ عَلَيۡهِمۡ وَلَا هُمۡ يَحۡزَنُونَ

Innal lazeena aamanoo wallazeena haadoo wan nasaaraa was Saabi’eena man aamana billaahi wal yawmil aakhiri wa ‘amila saalihan falahum ajruhum ‘inda Rabbihim wa laa khawfun ‘alaihim wa laa hum yahzanoon
Katika Qur'an, Mungu anadhihirisha kwamba kila mwanadamu alifundishwa shahada ya kweli (لا إله إلا الله) kabla ya kuingia hapa duniani, na madhumuni ya mafundisho haya yamebainishwa waziwazi kwenye Qur'an 7:172
Aya haina uhusiano wowewe Shahada Allan pia anasoma shahda hahaha
Any way nilikuwa sitaki kukujibu najua utanipotezea mda, lakini nimejibu sababu unapoteza watu kwa uwongo humu kudai Qur'an inasema wanao abudu nyoka na nyota wanaenda peponi ni uwongo mtupu.
Allah ndie mpotoshaji na ndio alichoandika
 
iunajua I know all stupidity of ypur Allah and Mohammad Bakaji,kabati,Mwizi ambaye siku yake ya 40 alipopolewa usoni akang'oka meno ya mbele mapengo akiresite Quran anatamka kama kithembe huyo ndio kenge wangu,

I thought wewe ni mwerevu ila ni very naive hiyo aya si kwamba hizo tafsir ipo sawa la hasha umeingia mtego wa kijinga kabisa aya imeweka makundi manne unajua kiarabu wao mean and so 1 Wayahudi wakiamini mitume wao na 2 Wakristo na 3 Wasabai yeyote 4 atakayemuamini Allah بِاللَّهِ

Wapi wamesema Mungu mmoja? Aya inasema hayo makundi hayatajuta yatalipwa kwa Mola wao Mlezi,

Tujiulize wakristo Mola wao mlezi ni Allah?
Wayahudi Mola wao mlezi ni Allah?
Wasabai Mola wao mlezi ni Allah?
Wanaomuamini Allah ni Waislam na Mola wao mlezi ni Allah,

Just go and google maybe your idiot Sabian wanaamini nini? Mara zote nakufahamisha wanaamini Nyota na Malaika 70% muslims wamekopy Sabian kasome Quran yao Kanza Rabba ni Islamic tupu

Christian hawamuamini Allah Allah ni satan and ni idiot with proof

nishakupa aya kibao Mara kadhaa angekuwa mmoja asingejiita Sisi

Qur'an ipi hiyo na hiyo aya ndio hii tunayojadili umewehuka ?au Umecopy maoni ya mtu unaproof kuwa huna akili, use your own brain kilaza wewe,
Unaongeza maneno kwenye Quran?

hahahaha taahira mkuu Sabian walikuwepo before Islam even Pharao was a Sabian they use to worship Star and Angel Sabian wanamchukia Yahweh na hawafanyi tohara sababu ni amri ya Yahweh aliyemuua Pharao, ujinga uliokuwa unahitaji upasuaji kama Mudy kuwekewa Hakima kifuani

Sabian hawajawahi amini kama akili zake zilivyo kama akili za kuku, Kasome imani za wajinga wenzio Allah pia anaapa kwa miungu ya Sabian kasome Quran 50:53 Lord of Sirius ambayo ni nyota iliyoabudiwa na makafiri pagani

And that it is He Who is the Lord of Sirius} [Quran 50:53]
Mohammad was a Sabian too

Hamna maneno katika aya yeyote kwenye Quran achana na Taqiyya, Allah anapa kwa nyota ziangukazo ndio muumini wa Nyota
Al-Barwani
Quran 53:1 Naapa kwa nyota inapo tua,

Kuhusu Yesu mjadala wake mshajibiwa miaka yote Na kama mnafuata Torat and injil Jesus and his Father are same so Jesus is Devine, Holly

Ujinga wako hujui uislam na huujui uyahudi hahahaha umeweka aya mbili kuonesha Contradictions ya Qur'an so ume proof kwa Allah kuwa Quran sio ya Allah hahahaha Quran 4:82

Uislam hakuna maisha ya haki

Mohammad alisema akifa hajui Allah atamfanya nini? YESU ndie alisema yeye ni Njia na no one will enter heaven without yeye Allah siku ya kiama yeye ndie utaweka mguu wako motoni aunge pia,
Umesahahu Firdaus Allah atachukua makungwi ya kusex from hell ?

Aya haijaandikwa hivyo huyoooo

إِنَّ ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَٱلَّذِينَ هَادُواْ وَٱلنَّصَٰرَىٰ وَٱلصَّـٰبِـِٔينَ مَنۡ ءَامَنَ بِٱللَّهِ وَٱلۡيَوۡمِ ٱلۡأٓخِرِ وَعَمِلَ صَٰلِحٗا فَلَهُمۡ أَجۡرُهُمۡ عِندَ رَبِّهِمۡ وَلَا خَوۡفٌ عَلَيۡهِمۡ وَلَا هُمۡ يَحۡزَنُونَ

Innal lazeena aamanoo wallazeena haadoo wan nasaaraa was Saabi’eena man aamana billaahi wal yawmil aakhiri wa ‘amila saalihan falahum ajruhum ‘inda Rabbihim wa laa khawfun ‘alaihim wa laa hum yahzanoon

Aya haina uhusiano wowewe Shahada Allan pia anasoma shahda hahaha

Allah ndie mpotoshaji na ndio alichoandika
Nilijua utakwepa afu hio hio Aya unatuwekea tena. Wewe Unasema Allah ni shetani afu huyo huyo Shetani ndio unathibitisha kwenda kwenu peponi hujioni fala.

Usinipotezee time huna unala lijua.
 
Allah ndie Iblis,

Sina cha kukwepa issue za dini lazima uweke source na sio maoni yako au yangu, soma kilichoandikwa kama kilivyo tatizo lenu mnaendekeza uongo kimeandikwa hivi nyie mnamrekebisha Allah wenu hahahaha

Sasa nitajie kazi za Iblis ambazo Allah hafanani tuone utofuti wao am challenging you, distingush between them tucheke wote

And wewe ujuavyo shetani ni cheo au jina?

Na Allah ni jina au cheo? Usisahau jina Halisi la unaemuamini aliemtuma Mudy anaitwa Lah
 
Wewe kenge nimekufahamisha nyuma kuhusu Allah ndio mana mnachanganyikiwa. we unadhani Allah ni Lah au Ilah nimekupa somo huko nyuma mpaa nimechoka, hebu msikilize huyu labda utapata akili atakufahamisha kama nilivyo kufahamisha mimi mwanzo na zaidi yangu.

Mimi sitaki kupoteza mda na wewe utaishia kukata mauno ya mduara kama mcheza taarabu.

Msikilize huyu alikuwa mkristo kama wewe sa ni Muislam

View: https://youtu.be/ZNgdqgduC7Q?si=9psDjF5GbIAYDld8
 
Hii makala waislamu wamekula sana za uso

Mlaleo Umejifunzia wapi uislamu aisee
Siwezi sema haswa wapi nimejifunza, ila uislam nimekuwa nikiusikia kwa sifa nyingi za majivuno, when I was a kid tulikuwa tukisikiliza radio and ikifika saa sita usiku after habari kwa ufupi kuna vipindi viwili vya dua dini kikristo na kiislam, nakumbuka majina mawili Gologosi na Ngereza so walikuwa wakimaliza Dua zao kwa Wabillah TAWFIQ so nilisikiliza mawaidha yao sometimes miaka ikaenda nikawa sisikilizi, nikiuogopa haswa uislam na kiarabu kuishi na watu unatishwa kuwa uislam ni majini tu, kukua shule wanaopandisha majini ni muslims tu dah nilikua nauogopa haswa uislam, balaa shule demu mwenye majini akawa ananipenda kudadeki, nikawa Sina raha japo nami nilimpenda after wiki kadhaa ndio kiti chake kikajulikana, siku ya Alhamis then kiti kimasema ijumaa kutakuwa arabuni masjid kuswali ndio kama nilithibitisha ushetani na uislam ni two things in one corn,

Maisha yakaenda nilikuja pata demu akinitaka nimuoe ila nibadilishe dini niwe muslim, nikawa namzuga alete kwanza Shehe anifumdishe niuelewe uislam basi nikawa nakwepa mno basi akatokea mtu akamuoa, japo niliumia sana, pia nilianza kusoma soma nipate aidea ya uislam, kwetu kuna dini mchanganyiko kuna walioa wake waislam wakawabadilisha na kuna walioolewa na waislam wakaslilimishwa so kwangu haikuwa jambo geni, sikuwahi penda majadiliano ya dini kabisa nilikuwa naona kila mtu anastahili upendo kama Yesu alivyofumdisha, ila ukweli niliupemda na upotoshaji nilichukia na kuupinga, even wakristo waliopotoka niliwapa vifungu waelewe maana kuna wapotoshaji wengi pande zote za dini,

Kuna miaka pale mnazi mmoja kulikuwa na midaharo ya dini za kiislam na kikristo nilisikiliza once nikaenda home kuelezea nilichosikia nikapigwa marufuku

Kuna siku nikasikia salman rushdie kahukumiwa fatwa ya kifo popote akipatikana kisa kaandika kitabu cha aya za shetani kwenye Quran nilishangazwa sana hao wa Iran why kama ipo ipo tu

And kuna time mjomba wangu alisema anataka kuwa muislam nikastushwa sana nikatamani niujue japo marafiki zangu walikuwa wakisema maustaadhi wanachapa sana chuoni na kashfa tele

Jambo nililokuwa nachukia ni kuitwa kafir so nikawa nasema hawa vipi wanatuchukia sana, Mitandao ndio ilinifanya niusome uislam kwa matusi tusio waislam,

And zaidi kufuatilia uislam alikuwa ni Zakir Naik nilijua hadanganyi miaka ile ya 1999 2000 kuna channel yake ya piece TV wazee wa cable TV wanaipata sana ukisikiliza video za zamani za huyo jamaa unasikia ni uongo mtupu

Kuna siku jamaa kausifia uislam akasema naweza kuwa muislam pia Jambo la kwanza nisome historia ya Mohammad, so zile sifa zote niliposoma nikakuta vitu tofauti kabisa nikagundua Mudy muongo,Mudy Bakaji,mpenda sex , chuki, Mwizi na mpenda sifa dini ni for himself profits na benefits, after nikawa kila nikisikia uislam natizama source, nikatizama midaharo ya kina mazinge na Shafi n,k waongo mno wanachukua aya za biblia fupi msomaji wao akisoma hamalizi aya wanamuambia basiiii stop

Kuna Aya huwa wanasema muislam akiua mtu ni sawa kaua umma mzima kumbe aya inazungumzia Wayahudi hahaha chapter 5:32 ukisoma 33 unakuta Allah anatoa amri waislam waue na kusurubu hahahaha

Then nilikuja gundua kumbe hata waislam ni makafir too,

so kila nachosikia katika dini lazima nisome aya au hadithi kizuri imeeahisisha uislam hauwezi kujitetea mbele ya ukweli
 
Wewe kenge nimekufahamisha nyuma kuhusu Allah ndio mana mnachanganyikiwa. we unadhani Allah ni Lah
sio kudhani ndio hilo jina anaitwa Lah
Nilikufundisha kabisa Lah ni pagan goddess na Lah was incharge of Moon

Hata kwenye Quran unajua maana ya Bismillah?
= Kwa jina la Lah Al ni kiaramaic mean God So kumuwekea cheo asichokiweza ni kichekesho
au Ilah nimekupa somo huko nyuma mpaa nimechoka,
hujawahi jibu swali langu wewe kilaza hapa tu umekwepa kujibu kazi za Iblis na za Al Lah
hebu msikilize huyu labda utapata akili atakufahamisha kama nilivyo kufahamisha mimi mwanzo na zaidi yangu.
Umekwama enh umeomba msaada?
Mimi sitaki kupoteza mda na wewe utaishia kukata mauno ya mduara kama mcheza taarabu.
Muda unapoteza haswa ukipiga Bismillah na kuingia kwa mguu wa kushoto chooni
Msikilize huyu alikuwa mkristo kama wewe sa ni Muislam

View: https://youtu.be/ZNgdqgduC7Q?si=9psDjF5GbIAYDld8

Nitakuja itizama baadae ila uislam umebase na uongo tu

Naomba nitajie kazi za shetani utofauti wake na Allah
 
sio kudhani ndio hilo jina anaitwa Lah
Nilikufundisha kabisa Lah ni pagan goddess na Lah was incharge of Moon

Hata Quran Unajua maana ya Bismillah?
= Kwa jina la Lah Al ni kiaramaic mean God So kumuwekea cheo asichokiweza ni kichekesho

hujawahi jibu swali langu wewe kilaza hapa tu umekwepa kujibu kazi za Iblis na za Al Lah

Umekwama enh umeomba msaada?

Muda unapoteza haswa ukipiga Bismillah na kuingia kwa mguu wa kushoto chooni

Nitakuja itizama baadae ila uislam umebase na uongo tu

Naomba nitajie kazi za shetani utofauti wake na Allah
We kenge nilisha kueleza Lah anaweza kuwa Mungu orignal na fake lakini Allah ni mmoja tu hakuna cha fake.

Unanipoteza time we tatizo hufahamu.
 
Siwezi sema haswa wapi nimejifunza, ila uislam nimekuwa nikiusikia kwa sifa nyingi za majivuno, when I was a kid tulikuwa tukisikiliza radio and ikifika saa sita usiku after habari kwa ufupi kuna vipindi viwili vya dua dini kikristo na kiislam, nakumbuka majina mawili Gologosi na Ngereza so walikuwa wakimaliza Dua zao kwa Wabillah TAWFIQ so nilisikiliza mawaidha yao sometimes miaka ikaenda nikawa sisikilizi, nikiuogopa haswa uislam na kiarabu kuishi na watu unatishwa kuwa uislam ni majini tu, kukua shule wanaopandisha majini ni muslims tu dah nilikua nauogopa haswa uislam, balaa shule demu mwenye majini akawa ananipenda kudadeki, nikawa Sina raha japo nami nilimpenda after wiki kadhaa ndio kiti chake kikajulikana, siku ya Alhamis then kiti kimasema ijumaa kutakuwa arabuni masjid kuswali ndio kama nilithibitisha ushetani na uislam ni two things in one corn,

Maisha yakaenda nilikuja pata demu akinitaka nimuoe ila nibadilishe dini niwe muslim, nikawa namzuga alete kwanza Shehe anifumdishe niuelewe uislam basi nikawa nakwepa mno basi akatokea mtu akamuoa, japo niliumia sana, pia nilianza kusoma soma nipate aidea ya uislam, kwetu kuna dini mchanganyiko kuna walioa wake waislam wakawabadilisha na kuna walioolewa na waislam wakaslilimishwa so kwangu haikuwa jambo geni, sikuwahi penda majadiliano ya dini kabisa nilikuwa naona kila mtu anastahili upendo kama Yesu alivyofumdisha, ila ukweli niliupemda na upotoshaji nilichukia na kuupinga, even wakristo waliopotoka niliwapa vifungu waelewe maana kuna wapotoshaji wengi pande zote za dini,

Kuna miaka pale mnazi mmoja kulikuwa na midaharo ya dini za kiislam na kikristo nilisikiliza once nikaenda home kuelezea nilichosikia nikapigwa marufuku

Kuna siku nikasikia salman rushdie kahukumiwa fatwa ya kifo popote akipatikana kisa kaandika kitabu cha aya za shetani kwenye Quran nilishangazwa sana hao wa Iran why kama ipo ipo tu

And kuna time mjomba wangu alisema anataka kuwa muislam nikastushwa sana nikatamani niujue japo marafiki zangu walikuwa wakisema mauatadhi wanachapa sana chuoni,

Jambo nililokuwa nachukia ni kuitwa kafir so nikawa nasema hawa vipi wanatuchukia sana, Mitandao ndio ilinifanya niusome uislam kwa matusi tusio waislam,

And zaidi kufuatilia uislam alikuwa ni Zakir Naiki nilijua hadanganyi miaka ile ya 1999 2000 kuna channel yake ya piece TV wazee wa cable TV wanaipata sana

Kuna siku jamaa kausifia uislam akasema naweza kuwa muislam pia Jambo la kwanza nisome historia ya Mohammad, so zile sifa zote niliposoma nikakuta vitu tofauti kabisa nikagundua Mudy muongo,Mudy Bakaji,mpenda sex , chuki, Mwizi na mpenda sifa dini ni for himself profits na benefits, after nikawa kila nikisikia uislam natizama source, nikatizama midaharo ya kina mazinge na Shafi n,k waongo mno wanachukua aya za biblia fupi msomaji wao akisoma hamalizi aya wanamuambia basiiii stop

Kuna Aya huwa wanasema muislam akiua mtu ni sawa kaua umma mzima kumbe aya inazungumzia Wayahudi hahaha chapter 5:32 ukisoma 33 unakuta Allah anatoa amri waislam waue na kusurubu hahahaha

Then nilikuja gundua kumbe hata waislam ni makafir too,

so kila nachosikia katika dini lazima nisome aya au hadithi kizuri imeeahisisha uislam hauwezi kujitetea mbele ya ukweli
Hapo nimekupata ,hakika elimu yako ya Uislamu ni kubwa sana imenishangaza ,na usemayo ni kweli kabisa , waislamu ni waongo sana ,hii dini ni ya ibilisi kabisa maana ndiye Profesa wa uongo

Kila wanachosema ukifatilia unakuta uongo

Jamaa hawasemi ukweli kabisa ,miaka ya nyuma kabla wakristo hawajaingia kuusoma uislamu na kiarabu na kujua ulivyo, wamedanganya wengi sana
 
Toka lini Allah alikuwa Mtume we chizi nini, nimekuambia kapime akili zako kwa kutumia A brain MRI wanaweza kupata results unasumbuliwa na nini.
Mudy alikuwa mtume au nabii? So vyote ni vyeo vyake so Allah sio mtume wala nabii ndio maana hajui chochote kitakachotokea kesho yake, sisi tuna amini Mungu ndie nabii ajuaye yote , Sasa mimi na wewe ni Nani chizi
 
Back
Top Bottom