hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,678
- 27,653
Bado hujajibu hoja zangu, nilitegemea uje na Hayo maneno uelezee yanatokana Na nini ,mzizi wake ni nini ili tujue maana zake ,unachofanya unakwepa maana Unajua utaumbukaHaya angalia ulivyo kuwa kenge eti Israel mana yake anaye shindana na Mungu hahahaha bora nikuwache na ujinga. Hebu tuambie kashindana naye vipi alimpiga mtama Mungu akazimia sio hahaha.
Mimi nilicho ongea jina la Mungu wanaitwa tofauti na kila taifa sikukusudia wale wajinga wanao abudu vingine isipo kuwa Mungu.
Nimekuliza kama Mungu mnadai ni wa Israel sa wewe Mungu wako ni nani naona hukunijibu na hili neno Mungu ni nini kama mnasema Mungu jina lake ni YHWH sa we kwanini uite Mungu si ungesema tu YHWH 😆 😂
Allah hata siku moja hakuwa shetani na shetani hawezi hata siku moja kuwa Allah. Nyie wakanisa ni vichaa aisay kama mnadhani Allah si Mungu.
Ukiongea na vichaa aisay unaweza kuwa kichaa.
Hii ni wazi jinsi Quran na Uislamu ulivyoiba maneno, majina ,n.k kutoka dini na tamaduni za watu
Mimi nimekuwa muwazi, na nimesema uhalisia kabisa ,Jina Israel ni la Kiebrania, si Kiarabu. ,Kama naongopa sema naongopa , Kisha tuletee maana ya hilo jina,au lipo tu kwenye Quran na hamjui maana yake kama ilivyo Quran 19:1?😂😂 Surah Maryam Aya ya kwanza
ISRAEL maana yake halisi ni “anayeshindana na Mungu (YHWH)”.
Hiyo si tafsiri ya kubuni kama wewe unavyoleta tafsiri yako na huoneshi unaitoa wapi,bali ina msingi thabiti wa historia, lugha, na kiisimu.
Shida moja waislamu wengi elimu mlipiga teke..
kusema alimpiga mtama Mungu au kujaribu kubadilisha maana yake ni uongo wa dhahiri., hapa hoja yangu ni MAANA YA HILO NENO ...usikwepe kihuni
Nimeshakwambia ,Mungu ni cheo, si jina.
Jina la kweli la Mungu wa Israeli ni YHWH, na majina ya mitume kama Zakaria na Israel yote yanamtaja YHWH, si Allah.
Allah wa Kureshi si YHWH; ni mungu wa kipagani wa Kiarabu aliyepewa heshima ya uongo, na kwa historia, ni huyo huyo shetani, deceiver, mdanganyifu mkuu aliyejaribu kudanganya watu ,
Quan inasema wazi kwamba Allah ni “mdanganyifu mkuu.” Katika Surah 3:54, inasema
“Wakafanya hila, na Allah akafanya hila. Na Allah ndiye mwerevu zaidi wa hila.” (Qur’an 3:54)
Neno lililotumika hapa ni "makr" (مكر), ambalo linamaanisha hila au udanganyifu.
Tafsiri nyingi za Qur’an, kama vile Sahih International, Pickthall, na Yusuf Ali, zinatamka kuwa Allah ni “mwerevu zaidi wa hila” au “mwenye hila bora zaidi” .
Katika Hadithi, Allah anajitambulisha kama “mwenye hila bora zaidi”:
“Wakafanya hila, na Allah akafanya hila. Na Allah ndiye mwerevu zaidi wa hila.” (Qur’an 3:54)
Hii inathibitisha kwamba Allah mwenyewe anajitambulisha kama mwerevu wa hila, akionyesha udanganyifu wake mkubwa.
Mwenye hila na mwerevu kutumia hila anajulikana ni SHETANI
Katika Biblia, Shetani anatajwa kama “baba wa uongo”:
“Mmesema, ‘Baba yetu ni Ibrahimu.’ Yesu akawaambia, ‘Kama mkiwa watoto wa Ibrahimu, mtakuwa mkitenda kazi za Ibrahimu. Lakini sasa mnataka kuniua Mimi, mtu ambaye amekuambia ile kweli aliyosikia kwa Mungu. Ibrahimu hakufanya hivi. Ninyi mnatenda kazi za baba yenu.’ Wakamjibu, ‘Sisi hatujaokolewa kwa kuzini. Tuna baba mmoja, yaani Mungu.’ Yesu akawaambia, ‘Kama Mungu alikuwa baba yenu, mngenipenda Mimi, kwa maana Mimi nilitoka kwa Mungu na nalikuja; kwa maana sikuja kwa nafsi yangu, bali Yeye alinituma.’” (Yohana 8:39-42)
Hii inaonyesha kwamba Shetani ni baba wa uongo, na Qur’an inasema Allah ni mwerevu wa hila.
HIVYO utagundua ALLAH ndio huyo huyo shetani
Ukikataa maana halisi ya Israel au kujaribu kuficha ukweli, unaonyesha wewe ndiye kenge, unasalia kwenye upotoshaji na ujinga.
Ukweli unabaki,
YHWH ≠ Allah, na historia, lugha, na sifa zinathibitisha hii kwa dhahiri.