Balozi wa Marekani awatukana waarabu kuwa hawajastaarabika

Balozi wa Marekani awatukana waarabu kuwa hawajastaarabika

Kiarabu kimezaliwa na lugha mama za Aramaic so enzi hizo number ndizo zilitumika kihesabu hadi unapata kuelewa maandiko waarabu even Mtume wenu walikuwa wanaitwa umiin yaani unlearn people ndio maana Allah aliwaita watu wakitabu mean wasomi. so story za agano la kale na jipya kuingia kwenye Quran zimetafsiliwa na wasomi ilipofika issue za maneno ambayo yangemvuruga Mudy wakayaandika hivyo hivyo kisha wakamuambia Mudy Allah only know jambo ambal linapingana na aya za Quran kuwa Quran ya kiarabu ili waarabu waelewe.

Tafsiri ya Sura Mariam verse 1 Kaf, Ha, Ya, Ayn, Saad ni Al Massiah is my Lord. so Just imagine mtafsiri aliamua kumficha mudy ili miaka ya baadae aumbuke. Hizo Code unaweza kutumia hadi leo ukichukua maneno ya Hebrew ukatumia formula hiyo unapata Tafsiri ya uhakika.

KAF HA YA 'AIN SAD' maana yake ni "ALMASHIAH HU ILLAHI" Tafsiri "KRISTO NI MUNGU WANGU" Kaf Ha Ya Ain Sad pia ni herufi za Kiebrania lakini zimeingizwa katika Suratul Maryam kama msimbo wa siri na wakusanyaji wa Quran, ambao yawezekana ni Wakristo.

Secret of Kaf Ha Ya 'Ain Sad​

Katika Maryam (Sura 19):1 imeandikwa sentensi moja ambayo inatafsiriwa tu kama herufi, "Kaf Ha Ya 'Ain Sad." na katika maelezo ya aya hiyo, Waislamu wanasema, "Mungu anajua zaidi kile anachomaanisha kwa herufi hizi." Kwa hivyo, ni nani anayejua maana ya herufi hizo? Ni Mwenyezi Mungu pekee (kwa mujibu wa Muislamu) na swali linalofuata ni kwa nini Mwenyezi Mungu akaziweka herufi hizo katika Maryam (Sura 19):1 ikiwa herufi hizo hazieleweki na haziwezi kuwa dalili kwa yeyote?

Kabla hatujaenda mbali zaidi, kwanza inabidi tuelewe kwamba Muhammad mara nyingi ananakili kutoka katika Taurati na Injili na kuandika katika Al Qur'an na ndiyo maana Qur'an ina mfanano kadhaa na Torati na Injili ambayo inamilikiwa na Wakristo. Swali linalofuata ni kutoka kwa nani Muhammad anaijua Taurati na Injili? Jibu ni kutoka kwa watu ambao jina lake ni Bahira (padre kutoka Syria anayefundisha Taurati na Injili mwanzoni kwa Muhammad) na Waraqah bin Naufal (wanaojidai kuhani, lakini amefukuzwa kanisani kwa mafundisho mabaya aliyoyafanya) na maelezo kuhusu Bahira na Waraqah bin Naufal tutayajadili wakati ujao.

Picha hapa chini ni onyesho la tovuti ya Waislamu ya serikali ya Saudi Arabia na hapo tunaweza kuona kwamba Muislamu anaandika tu herufi "Kaf Ha Ya 'Ain Sad" katika Surah Maryam (Surah 19):1 bila kutafsiri maana ya aya hiyo kwa maana herufi hizo hazina maana yoyote. Kwa Muislamu, herufi hizo ni neno la Mwenyezi Mungu na hajui maana yake na ni jibu rahisi sana kwao. Muislamu atasema kuwa ni muujiza wa Allah na hakuna awezaye kuuelewa, lakini herufi hizo zimekuwa katika alfabeti ya Kiarabu.

Hebu fikiria, siku moja tunasema G, M, D, O, O na watu wengine wakiuliza maana ya yale tuliyoyasema hivi punde, kisha tunajibu, "Sijui, ni Mwenyezi Mungu pekee ndiye anayejua. Ni muujiza!" Watu wengine watatufikiria nini? Hilo daima hufanywa na Waislamu wanapojibu maswali kuhusu nini maana ya "Kaf ha ya 'ain sad"

Kisha tutaona nini maana ya "Kaf Ha Ya 'Ain Sad" kupitia uchanganuzi muhimu sana na katika picha hapa chini, tutaona misimbo ya nambari ambayo ni sawa na alfabeti ya Kiarabu. Nambari za nambari kwenye picha hiyo zinaanzia nambari 1-10 kwa herufi ya kwanza hadi herufi ya 10, kisha nambari 20-90 kwa herufi ya 11 hadi herufi ya 18, kisha nambari 100-900 kwa herufi ya 19 hadi herufi ya 27 na kumalizia kwa nambari 1000 kwa herufi ya 28 (alfabeti) ya mwisho ya Kiarabu. Hapo zamani za kale nambari hizo zilitumika kama msimbo wa siri, kwamba tunaweza kuzungumza herufi na hakuna mtu anayeelewa lakini watu walielewa nambari hizo za siri na ni njia ya busara. Labda kuna baadhi yetu wanaouliza, "Nambari hizi za nambari za nini?" na jibu ni kwa herufi "Kaf Ha Ya 'Ain Sad" ni nambari za siri zilizonakiliwa na Muhammad kutoka katika kitabu cha Kikristo lakini hawezi kuvunja siri ya msimbo huo. Kwa nini lazima katika kanuni ya siri? Kwa wakati huo Wakristo walikuwa katika ubaguzi na wangeuawa

Tutageuza herufi 'Kaf Ha Ya 'Ain Sad " katika nambari za siri ambazo zimejadiliwa hapo juu na tutapata matokeo ya Kaf=20, Ha=5, Ya=10, Ain=70 na Sad=90, kisha tutajumlisha nambari hizo na tutapata matokeo ya jumla ya 20+5+10+70+90=195, kama inavyoonyeshwa kwenye picha hapa chini.

Kisha tutatafsiri nambari 195 katika sentensi inayoweza kueleweka na kuvunja herufi "Kaf Ha Ya 'Ain Sad". Katika picha hapa chini, tutaona kwamba kwa njia ngumu sana, nambari 195 imetafsiriwa kwa herufi A+L+M+Shi+Ya+Ha+I+L+Ha+Ya ambayo ina jumla ya 1+30+40+60+10+8+1+30+5+1=195 (sawa na jumla ya hapo chini), kama inavyoonyeshwa kwenye picha hapa chini.

Herufi hizo zinatengeneza sentensi "ALMASHIA HU ILLAHI" maana yake "KRISTO NI MUNGU WANGU", kama inavyoonyeshwa kwenye picha hapa chini.

Tumegundua kuwa herufi "Kaf Ha Ya 'Ain Sad" ni sawa na nambari 195 na nambari 195 sawa na herufi A+L+M+Shi+Ya+Ha+I+L+Ha+Ya ambayo maana yake ni "KRISTO NI MUNGU WANGU" na kujibu swali la kwa nini herufi "Kaf Ha Ya 'Ain Sad" iliyowekwa ndani ya 9am na Qur'an 1 haiwezi kutafsiriwa sana na Maryam (1) Uhusiano mkubwa baina ya Isa na Maryam aliyemzaa Isa na tumejua katika maelezo ya hapo awali kuwa Mkristo wakati huo walikuwa kwenye ubaguzi na watauawa na ndio maana wakaitafsiri sentensi "ALMASHIA HU ILLAHI" katika herufi ambazo zinaweza kueleweka tu kwa watu wanaoelewa kanuni za siri zilizoelezwa hapo awali, kisha Muhammad ambaye hakuelewa kuwa msimbo wa siri alinakili katika Qur'an.

Kumbuka tu, Mungu hajiachi peke yake bila mashahidi, hata katika Qur-aan anajifanya kuwa ni Mola kupitia sentensi "ALMASHIA HU ILLAHI" ingawa imefichwa kwenye msimbo wa siri wa herufi "Kaf Ha Ya 'Ain Sad" katika Maryam (Sura 19):1
🙏🙏🙏🙏
 
Hapo hujajibu kitu unaposema Hakuna Mungu tayari unakuwa atheist and unaposema kuna Allah mean mpagan unaaabudu Miungu maana Allah ni two-word in one, katika lugha ya kiebrania il = Mungu waarabu wanatamka baada ya language kuchange wanatumia AL, and Lah = Moon Ndio maana Musilam akibanwa anasema neno Allah limetoholewa kutoka Aramaic language illah. so Lah ni name kama name zingine tu so huyo Lah alikuwa goddess anaye control Moon na Moon ni nguzo halisi ya uislam wenye dini zao za kipagani walikuwa wakiabudu Mwezi haswa Sabian dini halisi ya Mohammad.

Kwa Hiyo unaposema hakuna Mungu ila kuna jamaa anajiita Mungu Lah ni ukosefu wa adabu.

Ni kukuonesha kuwa mungu wa kiislam ni just a name ile kitu inaitwa kwa jina la Lah yaani Bismil li Lah
Bism = meaning 'with', 'by', or 'name'. ilah = Arabic word meaning “God” - hamna hapo Allah you see? ilah sio Mungu

So God of Islam anaitwa LAH na Lah sio Mungu so Muslim hamna Mungu.
Full elimu, asipobatizwa hapa basi huyu ni wa jehanum
 
Unajua hata maana ya hilo Jina Zakaria? Mnaamuamini Yahweh kume na Sio Allah hahahaha Mungu wa Kweli then mnajisahau ghafla mnasema There is no God but Allah who is Allah Allah ni Yahweh? hebu kubali basi Dogo tucheke kisha tukubatize

God/YHWH has remembered

Zakariya (also transliterated as Zakaria, Zakariyya, Zachariah, Zekariya, Zakaryah etc, Arabic: زَكَرِيَّاء or زَكَرِيَّا) is a masculine given name, the Arabic form of Zechariah which is of Hebrew origin, meaning "God/YHWH has remembered".

Yesu anafanana kwa lipi na mitume mingine? even Quran kila mara nakupa majibu usome unakwepa soma aya nzima inayosem Yesu ni nani ? useme kama ilivyoandikwa Yesu ni Mtume, Yesu ni neno la Allah ndani ya Yesu kuna roho ya Allah imo humo muda wote. Quran 4:171 au unaogopa kusoma? spirit of Allah proceeding so Yesu alipokuwepo Duniani ni kama Body ila kila kitu ni Allah hahahaha

Kama Yesu hakuwa Mungu why Allah awalalamikie wayahudi na wakristo kuwa kuanza kuabudu viongozi wa dini badala ya Yesu na Allah? Quran 9:31

Unaposema Quran imejibu ni kwamba imejibu kuwa Yesu anastahili kuabudiwa. ndie Neno na ni Spirit of Allah hahahahaha Islam is a joke stupid cult.

Umesahau unapochemsha wenzio wameshindwa kuweka hadharani wewe unaongeza maneno zaidi kweny ekila neno umepagawa au unadhani Allah ni kichaa kaandika kifupisho? hahahaha so Alah ni kama vile vedemu ukichat navyo vinaandika vifupisho tu au maneno ya ajabu eti ''xaxa vp 2je'' so umeona uongeze maneno kwa mdomo wa Allah hujui kuwa Jesus ni Word of Allah?

Mwanzo nilikuambia aya 19:1 ukaanza kujibu aya zilizofuata so wewe ni kichaa unaulizwa kuhusu tomato unajibu popcorn

If you add word on Quran unajua adhabu yake?

Soma hiyo table then kafanye hisabu
View attachment 3458807
anguage Secret Code
Kaf Ha Ya Ain Sad it means "ALMASHIAH HU ILLAHI" Translation "CHRIST IS MY GOD" Kaf Ha Ya Ain Sad are also Hebrew letters but inserted in Suratul Maryam as a ...

195= 90+70+10+5+20= كۤهیعۤصۤ Surah 19:1 Decoded ... means "Messiah is my God" This was taken from the Aramaic Copied from Waraka Naufal Uzza by Mudy and not translated nor understood by majority Musl!ms.​

-Surah 19 Maryam, Ayah 1
كۤهیعۤصۤ
(Mufti Taqi Usmani)
Kāf, Hā Yā, ‘Ain, Sād
(Dr. Mustafa Khattab)
Kãf-Ha-Ya-’Aĩn- Ṣãd.
(Yusuf Ali)
Kaf. Ha. Ya. 'Ain. Sad.
Aramaic the mother script of Hebrew and Arabic have all their letters with a number code or equivalent.
149 is the numeric value of the following: Messiah is Epithet for King a title of God
“King of the Nations” (מלך גוים)
“He is the God of Gods” (הוא אלהי האלהים)
“I will deliver you” (אחלצך)
The Numerical value Gematria
Name Value
Aleph ) 1
Beth 2
Gimel 3
Daleth 4
Heh/Ha 5
Vau 6
Zayin 7
Cheth 8
Teth 9
Yod/Ya 10
Kaph/Kaf 20 500
Lamed 30
Mem 40 600
Nun 50 700
Samekh 60
Ayin/Ain 70
Peh 80 800
Tzaddi/Sad 90 900
Qoph 100
Resh 200
Shin 300
Tau 400
Hii elimu mtu anatakiwa alipie kuipata

Ni elimu kubwa sana hii
 
Huyo kenge hana analo lijua nimemuambia hio Qur'an labda imetafsiriwa kanisani eti Kaf Ha Ya `Ayn Sad mana yake Yesu ndio muamba na mungu wangu hahaha ukipoteza mda na kichaa ndio matekeo yake hayo. Huyo kenge hajui lolote nimemuambia Qur'an yote ina ongelea Mungu ni mmoja tu na Yesu ni Mtume.
Wazee mmepaniki jamaa kawagonga nyundo haswa🤣🤣
 
Wazee mmepaniki jamaa kawagonga nyundo haswa🤣🤣
Sawa Mlaleo hili jina lako langapi vipi, unajitekenya mwenyewe sio eti umetoa point sijaona hata point uliyo toa zaidi ya ku copy na kupaste
 
Watu wanataka kuona ukijibu hoja wewe unamshambulia Mlaleo

Hapa waislamu mnakwama sana na tatizo sio nyie ni dini yenu inakosa misingi yakujisimamia
We kama hujaona hoja lazima utakuwa kenge tu na nina uhakika wewe ndio huyo Mlaleo sababu ukenge wenu ni exactly 💯
 
Balozi wa Marekani nchini Lebanon amewapa vidonge vyao waarabu kwa kuwaambia hawajastaarabika.
Tom Barrack ambye ni balozi wa Marekani nchini Uturuki na mwakilishi maalum wa nchi hiyo nchini Syria alikuwa akizungumza na waandishi wa habari mara tu baada ya ujumbe wa Marekani kuzungumza na raisi Joseph wa Lebanon katika juhudi ya kuishinikiza nchi hiyo kuwanyanganya silaha Hizbullah.

Matamshi hayo yalimtoka bi Tom wakati waandishi wakiwa na hamas ya kujua mambo yalivyokwenda kwenye mkutano na kila mmoja kutaka suali lake lisikike kwa haraka.Ndipo alipoanza kuwatukana na kuwataka waache ushamba wa mashariki ya kati na wawe wastaarabu,

Matamko hayo yamemkasirisha raisi wa Lebanon na jamii ya waarabu wote ijapokuwa ni kweli.

Kama waarabu si washamba wasingeacha ndugu zao kuuliwa Palestina kila leo bila kuchukua hatua yoyote na huku wakifanya juhudi za kunyamazishana kwa kila anayejaribu kuwatetea.
View attachment 3454398

US envoy prompts outrage in Lebanon after telling media to ‘act civilised’​

Wendawazimu wanaohamasisha wanaume kwa wanaume kuoana wanapata wapi uhalali wa kifundisha wengine ustarabu🚮🚮🚮🚮
 
Huyo kenge hana analo lijua nimemuambia hio Qur'an labda imetafsiriwa kanisani eti Kaf Ha Ya `Ayn Sad mana yake Yesu ndio muamba na mungu wangu hahaha ukipoteza mda na kichaa ndio matekeo yake hayo. Huyo kenge hajui lolote nimemuambia Qur'an yote ina ongelea Mungu ni mmoja tu na Yesu ni Mtume.
Unajua maana ya neno au jina ZAKARIA humo ndani ya Quran au maana ya neno Israel?
 
Unajua maana ya neno au jina ZAKARIA humo ndani ya Quran au maana ya neno Israel?
Zakaria mana yake amekumbukwa na Mungu, na Mungu alimpa mtoto bada ya kuwa umri wake mkubwa hakumsahau, na Israel mana yake mtu ambaye anaye fata amri za Mungu ni mwenye kusali sana na kumnyenyekea Mungu na kufata sheria za Mungu.
 
Hivi KWANINI Waislamu MNAPENDA sana kutumia uongo kutetea dini?

Hivi ni moja ya nguzo muhimu iliyojificha?

Hebu acha uongo na UPOTOSHAJI,

Umesema maana za majina lakini hujaonyesha unazitoa wapi wala katika mizizi ya lugha gani.,😂

Tafadhali niambie, hizo maana zako zinatoka katika lugha gani?

Na huyo Mungu unayesema ni nani haswa?

Kwa sababu ukweli ni huu 👇

Zakaria (זְכַרְיָה – Zekharyah)

Linatokana na Kiebrania.

Zakar = kukumbuka

Yah = kifupi cha YHWH (Yahweh)

Maana yake

“Yahweh amekumbuka”.

Hivyo jina hili linamtaja waziwazi YHWH, si “Mungu fulani” asiyejulikana.

Israel (יִשְׂרָאֵל – Yisra’el)

Pia limetoka Kiebrania.

Isra = kushindana/kupambana

El = Mungu (El hapa akimaanisha YHWH, Mungu wa Agano la Kale)

Maana yake

“Anayeshindana na Mungu (YHWH)”.

Sio kama ulivyosema eti “anayefata amri za Mungu.” hahaaa 😂😂😂😂

Hiyo ni tafsiri ya kubuni isiyo na mizizi ya lugha.,jibu kama msomi basi

Kwa hiyo majina haya mawili yote mawili Zakaria na Israel yanamrejea YHWH moja kwa moja.

Hii ndiyo maana ya majina kwa mujibu wa Kiebrania, lugha asili.

Kwa hiyo ukitamka majina haya, tayari unakiri jina la YHWH, Mungu wa Israeli, ambaye Biblia inamfunua.

Swali langu kwako, kwa nini hutaki kukiri hili waziwazi, bali unatafuta maana za kubuni ambazo hazina msingi wa lugha wala historia?😂😂

Ndio maana Mlaleo anawapiga sana spana ,acheni UONGO
 
Nikikuambia wewe ni kenge unabisha hivi kuna Mungu wa kwako na wa Israel tofouti, kuita Mungu kwa kiswahili hakuna tofouti na kumuita Israel YHWH kwa tarifa yako waisrael wanamuita Mungu majina matatu mengine Elohim na Hashem pia. Mungu ni mmoja tu, kwa hio Msukuma anamuita Mungu YHWH hahaha.

Wapi nimesema Qur'an imesema Israel ni lugha ya kiarabu nipe, nilicho sema mana ya Israel imelezwa hivyo sababu ya Yakobo kuitwa Israel kwa lugha yao alikuwa mwenye kusimamisha salaa na kusikia amri za Mungu.

Zakaria pia ni vile vile alikuwa kisha zeeka akawa hana dalili ya kupata mtoto, lakini Mungu hakumsahau.

Qur'an haikutufundisha sisi tusimuheshimu Yakobo na Zakaria sa we kama unadai huyo ni Mungu peke wa Kiyahudi we Mungu wako nani hahaha.

Tukiwambia nyie ni makenge mnabisha.

Mungu ni huyo huyo mmoja awe anaitwa kiyahudi au kisukuma. Unless uwe kenge ndio utadhani kila mtu ana Mungu wake.

Mzungu nani Mungu wao? Kwa hio God si YHWH hahaha.

Sisi Qur'an imetufundisha Mitume wote wa Mungu tuwafate awe aliongea kiyahudi au kibantu hakuna tofouti.

Akili jamani ni mali sana.

Huyo Mlaleo si kenge tu kama wewe ni si ajabu wewe ndiye huyo huyo kenge.
 
Ona unavyojichanganya aisee ,umeona ukimbilie kusema Mungu ni mmoja huyo huyo😂😂

Acha dharau ,Allah huyu huyu dhaifu ibilisi ndio unataka kusema ni huyo huyo Mungu wa Israel YWHW?

Ngoja nikupe elimu ,Ukweli ni kwamba Allah na YHWH si Mungu mmoja. Historia inajieleza wazi, kabla ya Uislamu, Waarabu wa kabila la Kureshi walikuwa wakimwabudu Allah kama mungu mkuu wa kipagani pamoja na miungu wengine wa kike (Al-Uzza, Manat, na Al-Lat). Huyo Allah ndiye Qur’an imempa hadhi Hadi mnamuabudu bila kujua ndiye shetani mwenyewe , sio YHWH wa Israeli.

YHWH ndiye Mungu wa kweli wa Israeli, jina lake liko wazi kwenye maandiko na majina ya mitume.

Nilikuuliza hilo swali labda akili yako ingeamka uone jinsi Allah Mungu wa kipagani anavyojikuta anataja jina la Mungu mwingine YHWH ,ili Hali mnasema Hakuna Mungu ila Allah😂😂😂😂😂

Zakaria maana yake “Yahweh amekumbuka.”

Israel maana yake “anayeshindana na Mungu (YHWH).”

Hayo majina yote yana mzizi wa YHWH, si Allah.

Uliogopa kusema Allah na YHWH ni tofauti maana ulijua ningekubana kwenye CRAMP 😂

Qur’an ikiwataja Yakobo na Zakaria inatumia majina ya Kiebrania yanayomtukuza YHWH ,MUNGU WA ISRAEL ,MUNGU MUUMBAJI ,lakini humo humo inasema hakuna Mungu isipokuwa Allah wa Kureshi, jambo linaloleta VICHEKESHO 😂

Halafu kuhusu kusema “Mungu ni mmoja tu, awe Kisukuma au Kiyahudi,” hiyo ni hoja dhaifu Tena dhaifu sana ,Wasukuma Walikuwa na mungu wao, kila kabila lilikuwa na miungu Yao, ndio maana wakureshi mungu wao alikuwa Hubal au Allah ,moon goodness.

Ni kweli Mungu wa kweli ni mmoja, lakini Mungu huyo mmoja anafahamika kwa jina lake YHWH.

Halafu nimeshangaa hujui kuwa “God(MUNGU)” ni cheo tu, sio jina.

Hivyo wakisukuma au mzungu akisema God/Mungu(akimaanisha MUNGU WA KWELI), anamrejelea yule YHWH wa Israeli.,akitaja majina Yao anarejea miungu Yao ya kabila lao

Allah wa Kureshi hakuwa YHWH, unatakiwa ujue hilo hata kwa viboko ,bali Allah ni mungu wa kipagani aliyepewa heshima ya uongo.

Allah si Mungu wa Israeli, bali ni roho ya uongo ,ni ibilisi mwenyewe aliyejifunika kwa jina la “mungu.”
FB_IMG_1754571009690.jpg
 
View attachment 3469720
"Two things are infinity: the universe and human stupidity and I'm not sure about universe."
AAlbert Einstein
 
Haya angalia ulivyo kuwa kenge eti Israel mana yake anaye shindana na Mungu hahahaha bora nikuwache na ujinga. Hebu tuambie kashindana naye vipi alimpiga mtama Mungu akazimia sio hahaha.

Mimi nilicho ongea jina la Mungu wanaitwa tofauti na kila taifa sikukusudia wale wajinga wanao abudu vingine isipo kuwa Mungu.

Nimekuliza kama Mungu mnadai ni wa Israel sa wewe Mungu wako ni nani naona hukunijibu na hili neno Mungu ni nini kama mnasema Mungu jina lake ni YHWH sa we kwanini uite Mungu si ungesema tu YHWH 😆 😂

Allah hata siku moja hakuwa shetani na shetani hawezi hata siku moja kuwa Allah. Nyie wakanisa ni vichaa aisay kama mnadhani Allah si Mungu.

Ukiongea na vichaa aisay unaweza kuwa kichaa.
 
Sawa Mlaleo hili jina lako langapi vipi, unajitekenya mwenyewe sio eti umetoa point sijaona hata point uliyo toa zaidi ya ku copy na kupaste
Ujinga uliofunzwa na Quran umeharibu akili yako kuna siku ulisema Ahmed ni sawa na Mihammad nilicheka sana nikaacha ubaki na Ujinga wako ila nasikitika umezidi kupotea so kila mtu unamafananisha na mimi hahaha kweli huna pa kutokea ila jua Uislam ni hovyo huwezi kuutetea sababu hamna Muislam muaminifu kuanzia Mtume wenu Mudy aliyezini na mwanae wa kufikia Zaydi huku akamuia akisaidiwa na stupid Allah
 
Kama waarabu si washamba wasingeacha ndugu zao kuuliwa Palestina kila leo bila kuchukua hatua yoyote na huku wakifanya juhudi za kunyamazishana kwa kila anayejaribu kuwatetea.
Eti ndugu zao, wakati wote inatuhusu waislamu,,,, waislamu kote duniani ni ndugu. Atengue kauli yake ya kusema "wasingeacha ndugu zao kuuliwa palestina"😄😄😄
 
Haya angalia ulivyo kuwa kenge eti Israel mana yake anaye shindana na Mungu hahahaha bora nikuwache na ujinga. Hebu tuambie kashindana naye vipi alimpiga mtama Mungu akazimia sio hahaha.
Usisahau Musa alimpiga Malaika mtoa roho ngumi akamngoa jicho hadi likaning'inia na kumvunja mkono, akagoma kufa
Mimi nilicho ongea jina la Mungu wanaitwa tofauti na kila taifa sikukusudia wale wajinga wanao abudu vingine isipo kuwa Mungu.
Mnapata Shida sababu Allah hana Akili na nyie mnamuongelea then mnasema ameongea yeye eti Qur'an yote ni maongezi ya Allah
Nimekuliza kama Mungu mnadai ni wa Israel sa wewe Mungu wako ni nani naona hukunijibu na hili neno Mungu ni nini kama mnasema Mungu jina lake ni YHWH sa we kwanini uite Mungu si ungesema tu YHWH 😆 😂
Acha kumuuliza low IQ questions When you say Mungu wa Israel ni kwamba aliitwa hivyo na alikataza kutajwa tajwa bila sababu kama nyie kila mda Allahu allahu ni keko,

And tambua yhwh mean katika Hebrew ni i am who I am wasomi wametafsirisiri kuwa I am I can be want I want nadhani kwangu ina make sense

lah hata siku moja hakuwa shetani na shetani hawezi hata siku moja kuwa Allah. Nyie wakanisa ni vichaa aisay kama mnadhani Allah si Mungu.
Aya zote nilizokupa zina prove Allah ndie Shetan

Kasome Quran 15:39 42 maongezi ya nani na nani na Allah anaongea verse gani na Shetan Aya ipi ?

Soma kwa kiarabu sio wapuuzi walio tafsiri na ku add word corrupt

Allah alimdanganya Iblis na Iblis wakakubaliana na Allah anawapoteze mankind, Allah akasema as long utawapoteza ili waje kwangu hahaha ndio ujue yaani shetan ampoteze mtu na huyo mtu ataelekea kwa Allah hahahaha

Quran 15:39 Qaala Rabbi bimaaa aghwaitanee la uzayyin anna lahum fil ardi wa la ughwiyan nahum ajma’een
40 Illaa ‘ibaadaka minhumul mukhlaseen
41 Qaala haaza Siraatun ‘alaiya Mustaqeem
Ukiongea na vichaa aisay unaweza kuwa kichaa.
Unamuambia mwenzio kichaa na huna cha kufundisha kichaa ukweli
 
Ndugu,Webabu, wacha nimjibu huyu kenge naona kani quote huko kunizulia uwongo, anatafuta Surah ya Qur'an ambazo anasema zote ni taka taka mimi nampa Surah fupi tu kama anaweza kutoa taka taka zake atuonyeshe
Sijakuzushia bali mfuasi wako alikuambia anakuona kama Mtume Mohammad yupo ndani yako, ukafurahi bila kumkemea kichaa wewe huna tofauti na Mudy kweli kitabia kwani Mudy nae aliambiwa Allah and Mohammad knows best yaani uwezo wa Allah na Mudy upo sawa Mudy hakupinga wala kukemea kichekesho akasema jua linazama kwenye matope hahahaha,

Surah al kawthar
إِنَّآ أَعْطَيْنَـٰكَ ٱلْكَوْثَرَ ١
Vichekesho vya waislam hapo umetoa kwenye Quran Allah ndie anatamka Bismillah hir Rahman nir raheem si ndio hahahaha
Indeed, We have granted you ˹O Prophet˺ abundant goodness.

فَصَلِّ لِرَبِّكَ وَٱنْحَرْ ٢
Kiarabu wameandika Innaaa a'tainaa kal kauthar = hakika tumekupa Al kauthar
Tafsir yako umeona Allah ni jinga umemuwekea maneno hahaha
So pray and sacrifice to your Lord ˹alone˺.

إِنَّ شَانِئَكَ هُوَ ٱلْأَبْتَرُ ٣
Fasallii li rabbika wanhar = hivyo swali kwa Mola wako na utoe kafala kichekesho hiyo Lord pekee haipo kwenye aya corrupt uthibitisho Allah hana akili
Only the one who hates you is truly cut off ˹from any goodness˺.
Kichekesho huyo aliemcheka Mudy akimuita "Abtar"(Aliyekatwa mkia au uzao)baada ya kufiwa na watoto wa kiume mara mbili akisema Mudy kafungiwa uzao na Allah, eti Mudy ndio akaja na ujinga wa Aya fupi kuwa mchekaji yeye ndie amekatiwa uzao

kichekesho huyo jamaa alikuja pata uzao so Allah hana anachojua ya kesho yake wala siku zijazo , hata Malaika wanajua kuliko Allah kisa cha kuumbwa Adam aliambiwa unaumba binadamu ambaye baadae atakuwa sio muaminifu? Akasema haitakuwa akasema mimi najua kuliko nyie kisha akawapa adhabu kwa kutojua majina ya viumbe waliopewa na Adam, sasa baadae Adam akatenda kosa hahahaha Malaika walikuwa sawa na Allah hakujua see Allah ni kipofu
What is surah al kawthar about?
Surah al kawthar (سورة الكوثر) is the 108th chapter of the Qur'an and the shortest surah, consisting of only three verses.

Let’s discover meaning of surah al Kawthar:

Abundant Blessings – The surah begins with Allah granting the Prophet Muhammad Muhammad “Al-Kawthar,” which is often interpreted as a river in Paradise or immense blessings, including prophethood, followers, and success in both worlds.
Usisahu kawthar ni ziwa la Firdaus ukinywa maji yake unapata shabaha nyingi so ni kama viagra ya Allah usidhani ni la maana hii Aya zaidi ya upumbavu ziwa mifereji yako inatoa pombe hahahahaha
Gratitude and Worship – Allah commands the Prophet Muhammad to pray and sacrifice for Him in gratitude for the blessings given to him.
Tutajie kafara ya mnyama gani?
The Defeat of Enemies – The surah ends with a powerful reassurance that the Prophet’s Muhammad enemies, who mocked and opposed him, would be cut off from all good and forgotten.

This surah was revealed at a time when the Quraysh were mocking the Prophet Muhammad after the death of his sons, claiming that he had no male descendants and would be forgotten. Allah revealed Surah Al-Kawthar to counter their insults and assure the Prophet Muhammad that his legacy would last forever, while his enemies would be forgotten.
Hii mikitu nilishakuelezea wewe na wenzako siku za nyuma so kwangu ni kama natafuna karanga ndani ya Chupa ya Soda, Qur'an inathibitisha Mudy hakuwa na mjukuu so hawa kina Agakhan, King hussein kujifanyia wanatoka uzao wa Mudy ni waongo msiwaamini, Mudy alichekwa na Arabs akiitwa Abtar Allah akamuongopea eti jamaa ndio Abtar hahahahaha
quran 108:3 inna shaani"aka Huwal abtar
Lessons from Surah Al-Kawthar
, despite being the shortest surah in the Qur'an, holds powerful lessons about gratitude, patience, worship, and divine victory. Here are some key takeaways:

From surah al kawthar : Allah’s Blessings Are Limitless
Allah says in surah al kawthar

“Indeed, We have granted you Al-Kawthar.” (Qur'an 108:1)
Amgesema tutakuja kukupa na sio tumekupa ahadi ya uongo
Allah’s blessings are far greater than any hardship we face. Even when life seems difficult, we should remember the countless favors Allah has given us.
Allah lini kawasaidia? Au kwa Hamas October 7 2023?
Always focus on what you have, rather than what you lack. Express gratitude in both good and difficult times.

Worship Is the Best Way to Show Gratitude
Allah Almighty says in surah al kawthar l

“So pray to your Lord and sacrifice.” (Qur'an 108:2)
Kafala ya nini? Kuku?
The best way to thank Allah is through Salah (prayer) and sacrifice. Worship should always be sincere and for Allah alone.

Stay consistent in your Salah, give charity, and make sacrifices for the sake of Allah.

From surah al kawthar Enemies of Truth Will Be Forgotten
“Indeed, your enemy is the one cut off.” (Qur'an 108:3)

Those who oppose truth and righteousness will not succeed. The Prophet Muhammad’s enemies mocked him, yet today he is the most honored person in history, while his enemies have disappeared.

Never fear criticism when standing for truth. Those who oppose goodness and justice will eventually be forgotten.

True Success Is Measured by Faith, Not Wealth or Status.

The Quraysh judged people based on their children and wealth. But Allah showed that real honor comes from faith and good deeds, not material success.

Haya we toa mfano wa hio taka taka kama unavyo dai kama utaweza, kumbuka ndio Surah fupi kabisa ya Qur'an afu kujikusanye wewe na family yako na mizimu yenu na watafute wakristo wote duniani na wayahudi na wachawi na kila kitu kinacho weza kukusaidia, toa Surah mfano wa hio.

Nani kakuambia Allah hajui ya kesho, we kichaa hebu tupe Surah inayo sema Allah hajui ya kesho, we tukikuambia kichaa unabisha.
Allah hajui cha kesho kasome Quran 2:30 Malaika wanajua binadamu atasababisha corruption na umwagaji damu , Allah akasema Indeed I know that which you do not know, baadae Binadamu akaasi na akamwaga demu kama Hamas wanavyoua Allah hakujua kama itatokea but Malaika walijua mapema tu hahahaha hamna Mungu nyie Allah kipofu,

Hatuishii hapo tu Mudy aliambiwa na Allah akapigane vita akusanye magaidi 1,000 akapigane na Wanajeshi 2,000 battle of Hunayn eti Allah atampa ushindi akaenda wakapigwa hadi wakakimbia waislam wakamuuliza vipi mchizi mbona Tumepigwa na ulisema Allah anajua tutawashinda jeshi kubwa, Allah akasema amegundua kuna unadhaifu jeshi la Mohammad, utetezi wa kijinga ndio maana muslims hamshindi same like Hamas Allahu akbar zimeisha
Qur'an 8:65 watashinda vita jeshi kubwa and Quran 8:66 baada ya kichapo Allah anagundua udhaifu wa Mohammad na vibaka wake wezi wa caravan za wafanyabiashara hahaha

now Allah has lightened your burden, for he knows that there is weakness in you
Allah anajua yaliopo ndani ya kifua chako ashindwe kuja ya kesho hahaha
Prove Aya yeyote anajua kitakachotokea any hata mvua tu tucheke hahahaha
Surah Al-Hadid (57:6):
"And Allah is Knowing of that within the breasts". This reinforces the idea that Allah has perfect knowledge of what is in the human heart, even before one expresses it.
Me naomba proof,
Kama Mohammad hajui kusoma Jibril anamuambia read read huku anamkaba Mudy anamuambia sijui kusoma Jibril aliingizwa mkenge na Allah hahahahaha

Allah hakujua Malaika aliyemtuma kumuua Nabii Musa kuwa atapigwa na kungolewa jicho hahahaha
We usiwe mjinga nilicho fanya niliona jibu langu halina tofauti na wikipedia, kwani wewe akili yako wikipedia haina majibu ya kweli hahaha, afa acha kunizulia uwongo ndio mana nime ku Quote kila point hapa ili nikutie adabu.
Adabu ipi hahahaha zaidi umemwaga uharo tu soma vizuri ucheke nawe maana mimi nacheka tu, najua ujinga wote wa Quran,

Wikipedia ulioleta ilianza na according to Islamic source hahahaha mimi nakupa source direct from muslims are ypu getting my point? Sunnah dot com sahihi hadith
Kwanza please wacha kunifananisha mimi na Mtume Muhammad mimi hata thamani ya ukucha wake sifikii. Haya yakuni bandika utume labda mnifananishe na mtume wenu Paulo na pia naona itakuwa umenidhulumu kunifananisha naye mimi sijawahi kuota usingizini nikasema nimekuwa Mtume hahaha. Hebu tazama ujinga wako unasema kuna thread mbili nimetoa majibu maawili tofouti haha, ni kichaa tu ndio atakuwona uko sawa. We mwenyewe umesema kuna thread mbili nimetoa majina tofouti sa vipi thread mbili ziwe zina jibu moja hahahaha 😂
Yule mjinga aliyekuambia anaona Mtume Mohammad yupo ndani yako ungekataa pale pale
Mimi na utume wapi na wapi, labda utume wakuota usingizini nipo chini ya mkunazi nimemuona Yesu na wakati hata simjui, hio ndoto na mimi nikawa Paulo the 2nd.

We kondoa kwani Mungu sio jina, Mungu akisema hakuna Mungu mwingine isipo kuwa Mimi ni kosa. We unacho ongea ni ukosajo wa point umeishiwa hivi wewe unadhani wakristo wale warabu wanamuita Mungu ni Mungu au wanamuita Allah.
Aya ya kusema hakuna Mungu ila Allah kaisome tena Kama Allah angakuwa ni Mungu angesema kuna Mungu na ni yeye pekee na sio kusema Hakuna Mungu ila Allah kwani Allah ni just name not God, kiarabu kinaelezea sawia nyie wadanganywa ma victims mnalazimisha,

Christian Arabs wanaotamka Allah ni waliolazimishwa na mabkhalifa waislam watamke hivyo au wauwawe kasome historia, wewe you don't know your religion unadhani Christian Arabs wameujuaje ukristo? Ni kutoka kwa Wayahudi so wayahudi wanamuita Mungu jina la kipagani! Allah?
Wewe ndiye unaye jichangan'ya
Ni kwenu tu
Kwanza uliwahi kuona wapi Mungu akawa hana jina akajiita I am who I am hahaha kwa hio hata mimi basi ni Mungu sasa hahaha, sababu I am who I am . Na kila binadamu anaye jita I am who I am kisha kuwa Mungu.
Vipi Qur'an wajua ni aya gani Allah kamuambia Mudy anaitwa Allah?

Kama ukikataa alicho ambiwa Musa wewe ni Muslim au fake one?

u ni samehe sababu si kusudi langu kujiita Mungu au kusema binadamu wengine ni Mungu, nikutokana na huyu mjinga naye mjibu anatufanye to cross red line.
Sa we tueleze Mungu kama ni I am who I am mbona unatumia jina la Mungu hahaha tupe tafsiri ya Mungu.

Nimeisha kueleza huko nyuma Mussa hakuwa anajua kihebrew. Wacheni uwongo. Kwa hio hata
Unakataa based on wayahudi, Christian au muslims? Pengine ushageuka kichaa Musa hakuingea Hebrew?
Yesu kwanini alimuita Mungu; Elohim
Elohim ni prular maana yake ni Gods not singular God Reference alisema tumuumbe mtu kwa mfano wetu = mean mtu wa kufanana na Mungu so tunamfanano wake, sio nyie Allah ana mguu mmoja,anavaa hijab,Akakaa juu ya chair kubwa pamoja na mudy
kwanini asiseme I am who I am nikikuambia wewe ni kenge huwa na uhakika wewe ni kenge
Kivipi kenge hahaha wewe ndie Yesu aya kibao anajiita yeye ndie I am hadi wayahudi wakasema anajiita yeye ni Mungu wakataka kumuua akawatoka bila kujua amewatoka vipi, Uislam huujui ndio ukristo uulize maswali mepesi hahahahaha kosa kubwa la Yesu pirato alilopewa ni kuwa Yesu anajiita Mungu na Baba yake ni one God
Yohana 8:58

Learn Christianity unasoma unaenjoy Mashehe wengi tu wanasoma biblia wapate hakima, ukisoma Qur'an ukaiamini unakuwa Gaidi hahahaha mimi nasoma kucheka tu
 
Back
Top Bottom