Kichaa anajijibu mwenyewe
Mlaleo ndio huyo huyo
hamis77
Sa nijibu nini sababu umeisha sema Mungu wa Waislam sio Mungu wa Israel mwenyewe umemaliza mchezo.
Mimi navyo jua Mungu ni mmoja tu sa we ulipo sema Israel Mungu wake ni tofouti nikaona bora niwawachane na hi mada sababu Mungu naye mjua mimi hana taifa nyie Mungu mnao muongelea ni wataifa moja tu la Israel.
Kuna Mungu wa wote na kuna Mungu wa Israel tu 😆 😂
Huyo Mungu wa Israel tu. mimi simjui ndio sababu nikaona vichaa kumbe wana Mungu wao tofouti na sisi.
Afu Yakobo/Zakaria wa Mungu wa Israel si Yakobo/Zakaria wa Qur’ani kumbe wako tofauti hahaha
Sa mnataka tuonge nini tena kila mmoja abaki na ujinga wake, wacheni mimi nibaki na ujinga wangu na nyie bakini na ujinga wenu.