Balozi wa Marekani: Kwa Miaka 3 Marekani imetoa msaada Tanzania Dola Bilioni 7.5 sawa na Trilioni 25 za Tanzania. Sio Mkopo ni Msaada tu

Mmi sio mkimbizi dogo acha kuleta ujinga , maskini kibao huko kwao mpaka wanwafukuza sehemu za mjini....Tafuta kazi utakuja kuolewa hamna pesa ya msaada.

Masikini kibao na nyie wengi mnaishi kama wakimbizi wa kubeba box ...Watu wamesababisha asilimia 90 ya vita vyote duniani.
Acha kutisha watu Museven kauliwa ?


Rais kashasem wewe taahiri kaa kwa kutulia , wakisema kuhusu ushoga tukubali!?
kama ulivyokuwa wewe na ujinga wako
 
Nakupa laki moja lakini kwa masharti ,nipe namba ya dada ako😁
 
Haya ndiyo maswala yanayo takiwa kunyooshwa sasa hivi kabla ya kuendelea na ujinga wanaotufanyia hawa watu.
Wanakuja hapa kututawala na kunyang'anya mali zetu eti tuna Muungano ambao wao ndio wanaoufaidi huo muungano.
Uwepo wa Samia wakati huu ndipo imejionyesha waziwazi ni namna gani hawa watu wanavyo wachukulia na kuwadharau waTanzania wenzao wa Tanganyika.
Hili la Muungano pekee linatosha kumwondoa madarakani Samia; kwa sababu sasa hivi ni kama mtawala/gavana tu wa koloni
 
Katika majuha unaongoza huna akili, kiwango cha masikini wao na sisi huku tunalingana? Social security fund nyinyi huku mnalipwa sh ngapi?

Mimi sikaririshwi ujinga na wapuuzi kama wewe, prove hivyo vita? Mnatesa raia wenu wakishtuka wakianza harakati marekani? Mnavamia wenzenu wakisaidia wabaya?

Wanaobeba mabox wanaishi nyie machinga walikuwa wanaporwa na kukimbizwa unataka kujilinganisha nao?
Toa mifano relevant ukiukwaji wa haki ya kuishi kwa wapinzani lazima wenye akili timamu watakemea majuha furahieni hamlazimishwi, na ushoga ni maamuzi yako. Nitajie nchi ambayo haina mashoga! Wanafiki tuzungumzie human rights mfuga majini wewe
 
Tanganyika kwa sasa ni koloni la Zanzibar tupu
 
Hao UWT wanajazwa ujinga na wanaccm wachache wanaiba mali za umma na kutuacha kwenye umasikini wa kutupwa, sasa hivi bara imekuwa ni koloni la Zanzibar
 
Ameenda mbali kwa kusema kwa miaka mitatu tu Marekani imetoa msaada kwa Tanzania wa dola bilioni 7.5 na hizi sio mkopo ni msaada tu! Kwa msio jua hizi ni karibu na trilion 25 za KitanzaniaπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ˜­
Siri zinafichuliwa sasa mwaga mboga nimwage ugali
 
Ameenda mbali kwa kusema kwa miaka mitatu tu Marekani imetoa msaada kwa Tanzania wa dola bilioni 7.5 na hizi sio mkopo ni msaada tu! Kwa msio jua hizi ni karibu na trilion 25 za KitanzaniaπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ˜­
Siri zinafichuliwa sasa mwaga mboga nimwage ugali
 
Mama alivimba kama hachukui msaada vile. 😁
 
Ameenda mbali kwa kusema kwa miaka mitatu tu Marekani imetoa msaada kwa Tanzania wa dola bilioni 7.5 na hizi sio mkopo ni msaada tu! Kwa msio jua hizi ni karibu na trilion 25 za KitanzaniaπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ˜­
Siri zinafichuliwa sasa mwaga mboga nimwage ugali
Mimi nilijua hawatapata tafsiri iliyonyooka kwa sababu hotuba ilikuwa kwa kindengereko.
Ameenda mbali kwa kusema kwa miaka mitatu tu Marekani imetoa msaada kwa Tanzania wa dola bilioni 7.5 na hizi sio mkopo ni msaada tu! Kwa msio jua hizi ni karibu na trilion 25 za Kitanzania
 
Hizo pesa zimeenda kwenye miradi gani?
Zile za mikopo nazo zimeenda kwenye miradi gani?
Hapa isije kuwa za msaada zinaishia......
 

Hapo nilipokoleza;
Funga kauli yako na Mungu apishilie mbali kauli kama hizo kwa wahusika.

Iwapo wewe ni msahalifu nikukumbushe kidogo,
Kilichotokea Iraq na Libya ni kitu gani?
Na wale jamaa hawakuwa kapuku kama wewe na mimi walikuwa wana Mamlaka,Misuli na maguvu yao.
 
Labda China inampa jeuri!

God Bless Tanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…