Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Wanadhani wazungu ni wajinga kama wanaccmPale lugha zote zinatafsiriwa. Hata mkihutubia kiiraq ama kigogo sijui kiwe kisandawe. Balozi inakila kitu. 😃😃😃
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanadhani wazungu ni wajinga kama wanaccmPale lugha zote zinatafsiriwa. Hata mkihutubia kiiraq ama kigogo sijui kiwe kisandawe. Balozi inakila kitu. 😃😃😃
Mmi sio mkimbizi dogo acha kuleta ujinga , maskini kibao huko kwao mpaka wanwafukuza sehemu za mjini....Tafuta kazi utakuja kuolewa hamna pesa ya msaada.Majuha utawajua kwa kauli zao za kukurupuka, hivi alivyoingia Samia kwa nini alienda magharibi kuomba misaada na mikopo ambayo ilikuwa imesitishwa irudi?
Ujuha eti wangeacha tusingekufa njaa hii ni kauli ya juha ambaye hajaenda shule na asiyejua lolote kuhusu uchumi na mahusiano ya kimataifa. Au shule imeshindwa kukusaidia.
Eti hatitaki machafuko kwa hiyo kutekwa, kuuliwa na kuvunjwa katiba na haki ya kuishi kwa wapinzani haiwezi kusababisha machafuko?
Nenda kwao kila ijumaa wanatoa posho kwa wasio na kazi inaitwa social security fund, au lini wewe umewasaidia kiuchumi juha.
Juha wewe mbona huwasemi Urusi waliovamia Ukraine
Haya ndiyo maswala yanayo takiwa kunyooshwa sasa hivi kabla ya kuendelea na ujinga wanaotufanyia hawa watu.Kwanini iwe kosa sisi kununua ardhi kwao, fursa za ajira, kitambulisho cha mzanzibar na kugombea nafasi za kisiasa kama wao walivyo huru? hawa wajinga hakuna kucheka nao hata kama Nyerere alisema kwani Nyerere yeye alikuwa malaika? binafsi hata simkubali hata kidogo
Katika majuha unaongoza huna akili, kiwango cha masikini wao na sisi huku tunalingana? Social security fund nyinyi huku mnalipwa sh ngapi?Mmi sio mkimbizi dogo acha kuleta ujinga , maskini kibao huko kwao mpaka wanwafukuza sehemu za mjini....Tafuta kazi utakuja kuolewa hamna pesa ya msaada.
Masikini kibao na nyie wengi mnaishi kama wakimbizi wa kubeba box ...Watu wamesababisha asilimia 90 ya vita vyote duniani.
Acha kutisha watu Museven kauliwa ?
Rais kashasem wewe taahiri kaa kwa kutulia , wakisema kuhusu ushoga tukubali!?
kama ulivyokuwa wewe na ujinga wako
Tanganyika kwa sasa ni koloni la Zanzibar tupuHaya ndiyo maswala yanayo takiwa kunyooshwa sasa hivi kabla ya kuendelea na ujinga wanaotufanyia hawa watu.
Wanakuja hapa kututawala na kunyang'anya mali zetu eti tuna Muungano ambao wao ndio wanaoufaidi huo muungano.
Uwepo wa Samia wakati huu ndipo imejionyesha waziwazi ni namna gani hawa watu wanavyo wachukulia na kuwadharau waTanzania wenzao wa Tanganyika.
Hili la Muungano pekee linatosha kumwondoa madarakani Samia; kwa sababu sasa hivi ni kama mtawala/gavana tu wa koloni
Hao UWT wanajazwa ujinga na wanaccm wachache wanaiba mali za umma na kutuacha kwenye umasikini wa kutupwa, sasa hivi bara imekuwa ni koloni la ZanzibarKatika majuha unaongoza huna akili, kiwango cha masikini wao na sisi huku tunalingana? Social security fund nyinyi huku mnalipwa sh ngapi?
Mimi sikaririshwi ujinga na wapuuzi kama wewe, prove hivyo vita? Mnatesa raia wenu wakishtuka wakianza harakati marekani? Mnavamia wenzenu wakisaidia wabaya?
Wanaobrba mabox wanaishi nyie machinga walikuwa wanaporwa na kukimbizwa unataka kujilinganisha nao?
Toa mifano relevant ukiukwaji wa haki ya kuishi kwa wapinzani lazima wenye akili timamu watakemea majuha furahieni hamlazimishwi, na ushoga ni maamuzi yako. Nitajie nchi ambayo haina mashoga! Wanafiki tuzungumzie human rights mfuga majini wewe
Rais kasema kitu gani?Rais kashasem wewe taahiri kaa kwa kutulia
Ameenda mbali kwa kusema kwa miaka mitatu tu Marekani imetoa msaada kwa Tanzania wa dola bilioni 7.5 na hizi sio mkopo ni msaada tu! Kwa msio jua hizi ni karibu na trilion 25 za Kitanzania🥺🥺🥺🥺😭Jana katika Mkutano wa Kituo cha Demokrasia Balozi wa Marekani kamjibu yule aliyewatishia. Kasema Vitendo vya Ukatili, Utekaji na Mauaji havikubaliwi na Demokrasia yeyote. Si Marekani si Tanzania.
Ameenda mbali kwa kusema kwa miaka mitatu tu Marekani imetoa msaada kwa Tanzania wa dola bilioni 7.5 na hizi sio mkopo ni msaada tu! Kwa msio jua hizi ni karibu na trilion 25 za Kitanzania
Kazi kwenu wananzengo. Mie naongeza popcorn.🤣🤣🤣View attachment 3100891

Wanabaki na cheap propaganda kweli hawa ni UWTHao UWT wanajazwa ujinga na wanaccm wachache wanaiba mali za umma na kutuacha kwenye umasikini wa kutupwa, sasa hivi bara imekuwa ni koloni la Zanzibar
Kifupi nchi ipo kwenye payroll ya beberu.Tz inapata msaada zaidi ya $1 billion annually toka Marekani.
Mi nawafahamu karibu wote humu wakiongozwa na Lucas MwashambwaWanabaki na cheap propaganda kweli hawa ni UWT
Tena katika wapuuzi wanaoongoza humu huyo anaongozaMi nawafahamu karibu wote humu wakiongozwa na Lucas Mwashambwa
Ameenda mbali kwa kusema kwa miaka mitatu tu Marekani imetoa msaada kwa Tanzania wa dola bilioni 7.5 na hizi sio mkopo ni msaada tu! Kwa msio jua hizi ni karibu na trilion 25 za Kitanzania🥺🥺🥺🥺😭Jana katika Mkutano wa Kituo cha Demokrasia Balozi wa Marekani kamjibu yule aliyewatishia. Kasema Vitendo vya Ukatili, Utekaji na Mauaji havikubaliwi na Demokrasia yeyote. Si Marekani si Tanzania.
Ameenda mbali kwa kusema kwa miaka mitatu tu Marekani imetoa msaada kwa Tanzania wa dola bilioni 7.5 na hizi sio mkopo ni msaada tu! Kwa msio jua hizi ni karibu na trilion 25 za Kitanzania
Kazi kwenu wananzengo. Mie naongeza popcorn.🤣🤣🤣View attachment 3100891
Ameenda mbali kwa kusema kwa miaka mitatu tu Marekani imetoa msaada kwa Tanzania wa dola bilioni 7.5 na hizi sio mkopo ni msaada tu! Kwa msio jua hizi ni karibu na trilion 25 za KitanzaniaMimi nilijua hawatapata tafsiri iliyonyooka kwa sababu hotuba ilikuwa kwa kindengereko.
Mbona Magufuli alikuwa anasema kutwa , hakuna lolote msaada sio lazima ...Wangeacha tungeishi maana hata pesa wanaprint wao ....Hatuwezi kufa njaa ng'o hizo pesa wanakula wachache .
Ukweli ni kwamba hwana ubavu wa kuingilia mambo ya ndani ya nchi yoyote hatutaki machafuko ....Afrika inaweza kuwepo bila ya hao , wanaimarisha uhusiano tu ...Huko kwao kuna homeless si wafute umaskini usome zero .! watu ambao wanafadhili mpaka vita ili wengine wauawe.
Mama ana nguruma hadharani akitoka, anatuma wasaidizi wake wakimbie haraka balozini wakanyooshe maneno..... kuwa hakumaanisha alichokisema na ndio maana bado Chadema ipo kwenye payroll ya serikali ..kwakweli kwa uduchu wakodi zetu siku misaada ikikoma ni lazima tuite maji mma........