Balozi wa Marekani: Kwa Miaka 3 Marekani imetoa msaada Tanzania Dola Bilioni 7.5 sawa na Trilioni 25 za Tanzania. Sio Mkopo ni Msaada tu

Na sisi mbona balozi zetu hazikemei watu kupigwa risasi kila siku huko kwao ...Wasitishe hiyo misaada na nyie muende huko mkaishi
Yu@×÷$%^7_^%$÷÷'tyyuyeedfy7htrscgy822689jjfw369jvrt66rxv95t4cycbh bvv ghbbxfy
 
Mmarekani kukemea mauaji imewakera sana machawa

Sisi mtu yeyote anaye ungana nasi kutetea Haki za binadamu tunamkaribisha
Africa Mashariki kwa ujumla tutawakemea wawakilishi wa nchi mbalimbali humu duniani wanaokiuka Sheria za kimataifa na ustaarabu wa kidipomasia...

mwanadiplomasia yeyote yule bila kujali anatoka wapi atakemewa, asiposkia, atakaripiwa, asipobadilika atapewa onyo kali, na asipojirekebishwa atafurushwa na kurejeshwa kwao bila mbambamba yoyote ile akaeleze vizuri alichotumwa 🐒
 
Hayo maswali waulize viongozi wako wanaopokea hiyo misaada.Ukipewa msaada au mkopo wewe ukaenda kuufuja usifanye cha maana kosa nila aliyekupa au wewe uliyepewa?.Au hujui matatizo ya viongozi wa Afrika tukupe mifano.
 
Kuongoza taifa ni akili wala sio hisia. Ukiweka hisia kwenye uwongozi wa Taifa unajiandalia kaburi lako binafsi maana presha itakuondoa
 
Hasira za Nini dogo
Mmarekani kakemea vitendo viovu vya samia vya kutekwa watu na kuwauwa

Ubaya wake Nini dogo
Ccm ndo Huwa wanashangilia wakipewa misaada, imekuwaje tena mnamchamba don wenu kisa kuwaambia mfuate haki za binadamu??
Mshamba mtoto nakupa ukweli , hunikuti kwa chochote hata kweny ukoo wenu hakuna wa kunikuta ...Mkitekwa mtapiga kelele kutafuta huruma 😀 😀 😀 ...Raisi kashasema kawaambie mabwana zako .....
 
Leo asubuhi huku mbezi beach nikifanya jogging nimekutana na landrover tano zimejaa polisi zinashuka kutoka Maringo zinaelekea rainbow.

Mungu apishie mbali haya masuala ya siasa yamalizike kwa amani. Rais wa nchi sio malaika ni mtekelezaji wa ilani za uchaguzi na haimfanyi kufanana na kiumbe asiye na ubinadamu ndani yake.
 
Balozi atekwe Kwa kumkosoa Chura kiziwi.
Balozi kaambiwa ukweli na aufanyie kazi la sivyo jaramba litamkuta la kurudi home, akae akijua yeye siyo balozi wa kwanza kua Tanzania na hatakua balozi wa mwisho,watakuja wengi tu,wa muda mrefu au wa muda mfupi!!
 
Mwana una fikra za kitumwa sana,na lazima riziki yako sasa hivi bila wazungu hupati,ndiyo maana umekua muwoga hadi unamruhusu mfadhili wa faida akupangie maisha! Wwe unazani kama Marekani angekua hafaidiki na chochote kile na Tanzania unazani ungemuona huku!!??
 
Viongozi wa kitaifa wanatakiwa watunze kauli zao, (public figures have to keep their words) and that any decision you make in life you are responsible for it, pia

Maamuzi yoyote utakayo yafanya maishani mwako utawajibika nayo
Amiri Jeshi Mkuu kesha ongea wwe nani upinge!!??
 
Ujui hata Dunia inaelekea wapi mjinga wewe .Bora ukae kimya ufiche upumbavu wako!!!
 
Ujui hata Dunia inaelekea wapi mjinga wewe .Bora ukae kimya ufiche upumbavu wako!!!
Umekariri hamna unachojua 😀 😀 😀 ...Yaani dogo unajidanganya, jiulize tu pesa zetu wanaprint wao si watupe access tuwe tunaprint wenyewe.

Raisi kashasema sasa chukua hata maana unabwatuka kama mtoto wa kike.
 
Eti Msaada tu 😆😆😆

Naunga mkono Samia Must Go
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…