zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Ongeza ndio alieleta deal la kucheza ile movie na Mr PHarafu kuna kenge wa CCM, anasema, hii nchi huru hatupangiwi! Pambafu!
Hongera America, bravo Mr Michael battle(balozi wa USA), na kwa wale vilaza wa CCM,
Huyo balozi, Mwanajeshi, mstaafu, ni pastor, na ni carrier diplomat,
Sio hawa, wa kwenu,kikubwa walichonacho, ni kadi za TANU, za, babu zao,na PHD za kuokota,
ujipendekeze mwenyewe then umeachwe halafu unakuja kulia lia ati nilitoa nini sijui na nini, useless kabisa,Tulia dawa itaingia taratibu
Ila si wamemchagua kenya na sio TanzaniaBalozi huyo pia aliendelea kusema America itaendelea kumsaidia Tanzania kwa hali na mali bila kuchoka, na pia inakusudia kufanya Tanzania kuwa mashirika wake nambari moja katika maswala ya kimaendeleo!
Braza huu mchezo hauhitaji hasira. Tuombe tu kikao tuwaite ikulu tuweke mambo sawa. Haitupunguzii chochote.ujipendekeze mwenyewe then umeachwe halafu unakuja kulia lia ati nilitoa nini sijui na nini, useless kabisa,
kwan uliombwa?🤣
Jana katika Mkutano wa Kituo cha Demokrasia Balozi wa Marekani kamjibu yule aliyewatishia. Kasema Vitendo vya Ukatili, Utekaji na Mauaji havikubaliwi na Demokrasia yeyote. Si Marekani si Tanzania.
Ameenda mbali kwa kusema kwa miaka mitatu tu Marekani imetoa msaada kwa Tanzania wa dola bilioni 7.5 na hizi sio mkopo ni msaada tu! Kwa msio jua hizi ni karibu na trilion 25 za Kitanzania
Kazi kwenu wananzengo. Mie naongeza popcorn.🤣🤣🤣
Ataondolewa?Balozi wa Marekani ana tatizo gani? Kwani kutoa misaada ndio kutuingilia mambo yetu ya ndani? Naamini within few months ataondolewa, tangia ile siku ameenda kumuona Sugu nilijua kabisa huyo balozi wa Marekani hapa Tz ni Chadema 100%, balozi gani kila siku anaingilia mambo ya ndani ya serikali..!!
hatutembezi bakuli popote,Acheni kutembeza bakuli sasa
Imekuaje tena?View attachment 3100886
Huyu hapa Mwamba, kaonja nguvu ya wananchi wenye hasira huko Bunda
View attachment 3100887
Wanaitwa masikini jeuriManeno ya masikini asiye na akili. Endelea kujipa moyo
kwamba wao ndio wanaleta hizo hela au nyie ndio mnaomba? Nani namwomba mwenzake? Na nani anazitoa?hatutembezi bakuli popote,
ukijitia kimbelembele tunapita nazo na huwezi fanya chochote...
na ukileta kimbelembele tunapita na wew vizuri tu bila mbambamba yoyote 🐒
Umekalia msumariBalozi wa Marekani ana tatizo gani? Kwani kutoa misaada ndio kutuingilia mambo yetu ya ndani? Naamini within few months ataondolewa, tangia ile siku ameenda kumuona Sugu nilijua kabisa huyo balozi wa Marekani hapa Tz ni Chadema 100%, balozi gani kila siku anaingilia mambo ya ndani ya serikali..!!
Nilijua una akili kumbe ni chizi. Basi tuishie hapahatutembezi bakuli popote,
ukijitia kimbelembele tunapita nazo na huwezi fanya chochote...
na ukileta kimbelembele tunapita na wew vizuri tu bila mbambamba yoyote 🐒
Ataondolewa?
Endelea kusubiri meli airport
Sio kuwa sijui. Najua sana.Kumbe hujui how diplomats wanaweza ondolewa katika nchi yoyote, Mkuu wa nchi akisema anataka huyo balozi abadilishwe anaondolewa haraka, kumbuka ni Mh. Rais ali accept barua yake ya kuwa balozi hapa nchini na barua ya balozi Mh. Rais akiikubali anaweza pia kuikataa kama anaenda kinyume na maadili ya diplomats, moja wapo ni kuingilia mambo ya ndani ya nchi husika
Jana katika Mkutano wa Kituo cha Demokrasia Balozi wa Marekani kamjibu yule aliyewatishia. Kasema Vitendo vya Ukatili, Utekaji na Mauaji havikubaliwi na Demokrasia yeyote. Si Marekani si Tanzania.
Ameenda mbali kwa kusema kwa miaka mitatu tu Marekani imetoa msaada kwa Tanzania wa dola bilioni 7.5 na hizi sio mkopo ni msaada tu! Kwa msio jua hizi ni karibu na trilion 25 za Kitanzania
Kazi kwenu wananzengo. Mie naongeza popcorn.🤣🤣🤣
Hayo maswali sasa magumu sana! Htaki wazitumie kujenga mahekalu na miradi yao nini?Kama tumepewa msaada wa zaidi ya trilioni 25 ndani ya hii miaka 3, kwanini Deni letu la Taifa limepanda kutoka trilioni 60 enzi za JPM hadi Trilioni 92 Mwaka huu?