Baltazar Engongo
JF-Expert Member
- May 6, 2024
- 604
- 932
Kushangaa marekani kuingilia siasa za ndani ni kukosa akili. Marekani hiyo ndio kaze yake kubwa, sio Tanzania tu bali kwa nchi nyingi duniani. Sijui Kama unahitai mifano au hujui kinachoendelea duniani sio sasa tu hata huko nyumaSbb balozi wa Marekani anaingilia siasa za ndani ya nchi ya Tanzania, umeelewa? That only is enough to expel him with immediate effect..!!
Nafahamu wages bills ya Tanzania ni zaidi ya bilioni 650 Kwa Mwezi, lakini mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) huwa wanasema wanakusanya wastani ya shilingi trilioni 1.7 Kwa Mwezi.Hayo maswali sasa magumu sana! Htaki wazitumie kujenga mahekalu na miradi yao nini?
Unajua ni miaka mingapi ishapita tangia waanze hii misaada? Na imetufikisha wapi.Muda utaongea
anatoa misaada lakin wasituingilie mambo yetu yandani na hakuna mtu anaye penda mauaji wala utekaji nasisi tuna mbinu za kuyazuia wasitupangie sana watushauri tuJana katika Mkutano wa Kituo cha Demokrasia Balozi wa Marekani kamjibu yule aliyewatishia. Kasema Vitendo vya Ukatili, Utekaji na Mauaji havikubaliwi na Demokrasia yeyote. Si Marekani si Tanzania.
Ameenda mbali kwa kusema kwa miaka mitatu tu Marekani imetoa msaada kwa Tanzania wa dola bilioni 7.5 na hizi sio mkopo ni msaada tu! Kwa msio jua hizi ni karibu na trilion 25 za Kitanzania
Kazi kwenu wananzengo. Mie naongeza popcorn.🤣🤣🤣View attachment 3100891
Watu hawaelewi wanajua zile kodi wanazotaja TRA ndo zinajenga SGRMama ana nguruma haradhani akitoka, anatuma wasaidizi wake wakimbie haraka balozini wakanyooshe maneno..... kuwa hakumaanisha alichokisema..kwakweli kwa uduchu wakodi zetu siku misaada ikikoma ni lazima tuite maji mma........
UN aliandaliwa red carpet na diaspora akaingia chaka.Akiwa wapi? UN kagoma kwenda
Mat*****ko yakohata kama w
anatoa misaada lakin wasituingilie mambo yetu yandani na hakuna mtu anaye penda mauaji wala utekaji nasisi tuna mbinu za kuyazuia wasitupangie sana watushauri tu
we huna tena yako unayatumia kama chooo yanakojolewaMat*****ko yako
Mkuu tunafanya kazi lakini haiondoi ukweli Tanzania ni nchi maskini inayotegemea misaada ya wahisani kujikimu. Na wananchi wake wengi ni maskini pia....yote ni kutokana na sera mbovu za chama chenuMaskini ni wewe choko , eti unapewa msaada fanya kazi mtoto wa kiume ...Unashobokea watu wala hwakujui kiande 😀 😀 😀
Ukipewa na kutegemea msaada utapangiwa na kuingiliwa bwege wewe....hata kama w
anatoa misaada lakin wasituingilie mambo yetu yandani na hakuna mtu anaye penda mauaji wala utekaji nasisi tuna mbinu za kuyazuia wasitupangie sana watushauri tu
Mbona Magufuli alikuwa anasema kutwa , hakuna lolote msaada sio lazima ...Wangeacha tungeishi maana hata pesa wanaprint wao ....Hatuwezi kufa njaa ng'o hizo pesa wanakula wachache .
Ukweli ni kwamba hwana ubavu wa kuingilia mambo ya ndani ya nchi yoyote hatutaki machafuko ....Afrika inaweza kuwepo bila ya hao , wanaimarisha uhusiano tu ...Huko kwao kuna homeless si wafute umaskini usome zero .! watu ambao wanafadhili mpaka vita ili wengine wauawe.
Sawa sio watu wema kwa kutupa msaada wa pesa!!! Je kukemea mauaji ya ndugu zetu?? Utekaji?Kauli ya Samia ilikuwa haina maana wala faida...
Ingawa mentality ya kwamba kuna watu tunawategemea ili tuishi au wanatoa tu bila kufaidika na lolote ni mentality mbovu..., na pia ukiishi kwa kutegemea fadhira za wengine wewe ni mtumwa...
Mabeberu Interest yao ni Viongozi watakaowasaidia kwenye Maslahi yao (JK Nyerere)
Reminiscing from the Past; Hotuba ya Nyerere kuhusu Flip Flopping ya kina USA et al... https://youtu.be/lcu329NAWtM?si=me5_3i-aA6xcJ-Odwww.jamiiforums.com
Deni lipo katikat dola, sasa angalia Tzsh against dolla imepanda kiasi gani Tangu kuondoka kwa JPM. Jumlisha na alizokopa Mwenyewe mama yenu.Kama tumepewa msaada wa zaidi ya trilioni 25 ndani ya hii miaka 3, kwanini Deni letu la Taifa limepanda kutoka trilioni 60 enzi za JPM hadi Trilioni 92 Mwaka huu?
Unaumia?So What?
Unajua hata kusoma ? Nani amesema kauli ya Samia ni Sawa ? Au nani kasema tusipokee misaada ? Moja nimekwambia kutegemea misaada au fadhira ni utumwa na mentality mbovu kuliko zote..., mbili nimekwambia kuwa kwako tegemezi utajikuta unalipia kuliko hata ulichopewa...Sawa sio watu wema kwa kutupa msaada wa pesa!!! Je kukemea mauaji ya ndugu zetu?? Utekaji?
Nyie sijui *"('yjssy iisysny id jsysjtae*_-#>#?&>-#
Izshkjm.jddisdddulsusutsutsiysdhumd-$#@#/$$
Kushangaa marekani kuingilia siasa za ndani ni kukosa akili. Marekani hiyo ndio kaze yake kubwa, sio Tanzania tu bali kwa nchi nyingi duniani. Sijui Kama unahitai mifano au hujui kinachoendelea duniani sio sasa tu hata huko nyuma
Ukweli mchungu sio Tz tu, nchi nyingi hazina uwezo wa kumzuia aisiingilie
Kusoma sijui lakini najua kuandika!! Binafsi sizungumzii kauli, nazungumzia matendo!!Unajua hata kusoma ? Nani amesema kauli ya Samia ni Sawa ? Au nani kasema tusipokee misaada ? Moja nimekwambia kutegemea misaada au fadhira ni utumwa na mentality mbovu kuliko zote..., mbili nimekwambia kuwa kwako tegemezi utajikuta unalipia kuliko hata ulichopewa...
Acheni kutembeza bakuli sasa
Umetukana bure tu, nimekuambia marekani huwa anaingilia siasa za ndani vizuri sana. Hizo diplomatic laws huwa kwake hazifanyi kazi. Miaka yote ambayo anaingilia siasa za ndani kuna nani amemfanya chochote? Marekani anapoamua kushirikiana na baadhi ya kivundi kupindua hadi serikali ni Nani amewahi kuwafanya chochote?Wewe ni nyoko, hujui kitu, diplomatic laws and its regs zipo, so acha kukariri, sio kazi ya Marekani kuingilia siasa za ndani ya nchi yoyote ile.