Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Nyenyeli nyenyeli kumbe hata Risasi wanazotufumulia ubongo ni za mikopo au misaada.Ameenda mbali kwa kusema kwa miaka mitatu tu Marekani imetoa msaada kwa Tanzania wa dola bilioni 7.5 na hizi sio mkopo ni msaada tu! Kwa msio jua hizi ni karibu na trilion 25 za Kitanzania
Aliyetetea na Kushiriki ni nani ? Kwa taarifa yako sijatetea Serikali kwa kufanya uzembe na mpaka leo kutokushughulikia kinachoendelea na mbili katika wauwaji historically tena walioondoa viongozi wa nchi nyingi Afrika na Duniani USA ni among ya Vinara..., (hata hao waliopo pale sasa wapo pale kwa kuwaondoa red Indians); Kwahio kabla haujaandika kwanza soma kilichoandikwa angalau ujue unachojibu.....Kusoma sijui lakini najua kuandika!! Binafsi sizungumzii kauli, nazungumzia matendo!!
Hakuna binadamu mwenye akili timamu atashiliki na kutetea mauaji ya mwanadamu mwenzie!! Huo ni unyama
Mwisho
@@@!==+÷=÷$^[[>&*[(,:%#÷/77=#$$22$":&&
It my hope [emoji120] you f@cked up
Akili za uvccm hizi.Wewe ni nyoko, hujui kitu, diplomatic laws and its regs zipo, so acha kukariri, sio kazi ya Marekani kuingilia siasa za ndani ya nchi yoyote ile.
Mbona sasa Balozi anatudhalilisha?Jana katika Mkutano wa Kituo cha Demokrasia Balozi wa Marekani kamjibu yule aliyewatishia. Kasema Vitendo vya Ukatili, Utekaji na Mauaji havikubaliwi na Demokrasia yeyote. Si Marekani si Tanzania.
Ameenda mbali kwa kusema kwa miaka mitatu tu Marekani imetoa msaada kwa Tanzania wa dola bilioni 7.5 na hizi sio mkopo ni msaada tu! Kwa msio jua hizi ni karibu na trilion 25 za Kitanzania
Kazi kwenu wananzengo. Mie naongeza popcorn.🤣🤣🤣View attachment 3100891
Simba mwendo pole iko gonjwa, na mtaka cha uvunguni iko inua MatandaNgoja nikazane kula huenda minofu nitaikuta chini.
Baniani iko baya kiatu yake iko dawa
Pamoja na misaada yao,lakini hawana haki ya kuingilia utawala wetu, na wanatakiwa kuheshimu mamlaka zetu, na kama wameona kuna mapungufu mahali waje kwa utaratibu kushauri,siyo kwenda kwenye majukwaa huko na kutupigia kelele!!Mabalozi wengi ni wanajeshi wa zamani au mashushushu wa zamani.
Empty
Unawafokea na kuwachamba wanakupa msaada wa matrilioni na mikopo ya matrilioni imf na world bank ni zao. Mashirika na NGO nyingi ni zao, zinazotoa misaada ya matrilioni
Jaribuni muone kilichomtokea Manuel Noriega kama ilikuwa movie au uhalisia?Balozi atekwe Kwa kumkosoa Chura kiziwi.
Tz hatuna nguvu hii unayoionyesha hapa. Tusitake kuongopeana. Marekani hapaswi kweli kuingilia mambo ya nchi yoyote, lakini ili asiingilie unapaswa kuwa na nguvu. Sio Tanzania tu, Africa yote hakuna wa kumzuia kuingilia.Pamoja na misaada yao,lakini hawana haki ya kuingilia utawala wetu, na wanatakiwa kuheshimu mamlaka zetu, na kama wameona kuna mapungufu mahali waje kwa utaratibu kushauri,siyo kwenda kwenye majukwaa huko na kutupigia kelele!!
Naunga mkonoBalozi atekwe Kwa kumkosoa Chura kiziwi.
Viongozi wa kitaifa wanatakiwa watunze kauli zao, (public figures have to keep their words) and that any decision you make in life you are responsible for it, piaPamoja na misaada yao,lakini hawana haki ya kuingilia utawala wetu, na wanatakiwa kuheshimu mamlaka zetu, na kama wameona kuna mapungufu mahali waje kwa utaratibu kushauri,siyo kwenda kwenye majukwaa huko na kutupigia kelele!!
Atakuja tu hapa🤣🤣🤣Chawa choicevariables anasemaje kwani??😀
Isingekuwa Viongozi kutanguliza maslahi yao mbele, hizo Kodi zetu zilikuwa zinatosha sana kufanya miradi ya maendeleo bila kuwa na madeni makubwa.Deni lipo katikat dola, sasa angalia Tzsh against dolla imepanda kiasi gani Tangu kuondoka kwa JPM. Jumlisha na alizokopa Mwenyewe mama yenu.
Wewe bawacha billion 7.5$ ni sawa na trillion 25Tshs?Jana katika Mkutano wa Kituo cha Demokrasia Balozi wa Marekani kamjibu yule aliyewatishia. Kasema Vitendo vya Ukatili, Utekaji na Mauaji havikubaliwi na Demokrasia yeyote. Si Marekani si Tanzania.
Ameenda mbali kwa kusema kwa miaka mitatu tu Marekani imetoa msaada kwa Tanzania wa dola bilioni 7.5 na hizi sio mkopo ni msaada tu! Kwa msio jua hizi ni karibu na trilion 25 za Kitanzania
Kazi kwenu wananzengo. Mie naongeza popcorn.🤣🤣🤣View attachment 3100891
We kweli kiazi kabisa hivi shule uliishia la ngapi?Mbona Magufuli alikuwa anasema kutwa , hakuna lolote msaada sio lazima ...Wangeacha tungeishi maana hata pesa wanaprint wao ....Hatuwezi kufa njaa ng'o hizo pesa wanakula wachache .
Ukweli ni kwamba hwana ubavu wa kuingilia mambo ya ndani ya nchi yoyote hatutaki machafuko ....Afrika inaweza kuwepo bila ya hao , wanaimarisha uhusiano tu ...Huko kwao kuna homeless si wafute umaskini usome zero .! watu ambao wanafadhili mpaka vita ili wengine wauawe.
Piga hesabu kwa exchange rate ya dolaWewe bawacha billion 7.5$ ni sawa na trillion 25Tshs?
Wakiacha kukupa msaada wa dawa za Ukimwi hata wewe utakufa maana unaonekana una UkimwiMbona Magufuli alikuwa anasema kutwa , hakuna lolote msaada sio lazima ...Wangeacha tungeishi maana hata pesa wanaprint wao ....Hatuwezi kufa njaa ng'o hizo pesa wanakula wachache .
Ukweli ni kwamba hwana ubavu wa kuingilia mambo ya ndani ya nchi yoyote hatutaki machafuko ....Afrika inaweza kuwepo bila ya hao , wanaimarisha uhusiano tu ...Huko kwao kuna homeless si wafute umaskini usome zero .! watu ambao wanafadhili mpaka vita ili wengine wauawe.