Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Nyenyeli nyenyeli kumbe hata Risasi wanazotufumulia ubongo ni za mikopo au misaada.Ameenda mbali kwa kusema kwa miaka mitatu tu Marekani imetoa msaada kwa Tanzania wa dola bilioni 7.5 na hizi sio mkopo ni msaada tu! Kwa msio jua hizi ni karibu na trilion 25 za Kitanzania
Ukiwaona sasa wanavyojifanya wajanja😂😂