Balozi wa Marekani: Kwa Miaka 3 Marekani imetoa msaada Tanzania Dola Bilioni 7.5 sawa na Trilioni 25 za Tanzania. Sio Mkopo ni Msaada tu

Balozi wa Marekani: Kwa Miaka 3 Marekani imetoa msaada Tanzania Dola Bilioni 7.5 sawa na Trilioni 25 za Tanzania. Sio Mkopo ni Msaada tu

Ameenda mbali kwa kusema kwa miaka mitatu tu Marekani imetoa msaada kwa Tanzania wa dola bilioni 7.5 na hizi sio mkopo ni msaada tu! Kwa msio jua hizi ni karibu na trilion 25 za Kitanzania
Nyenyeli nyenyeli kumbe hata Risasi wanazotufumulia ubongo ni za mikopo au misaada.

Ukiwaona sasa wanavyojifanya wajanja😂😂
 
Kusoma sijui lakini najua kuandika!! Binafsi sizungumzii kauli, nazungumzia matendo!!

Hakuna binadamu mwenye akili timamu atashiliki na kutetea mauaji ya mwanadamu mwenzie!! Huo ni unyama

Mwisho
@@@!==+÷=÷$^[[>&*[(,:%#÷/77=#$$22$":&&

It my hope [emoji120] you f@cked up
Aliyetetea na Kushiriki ni nani ? Kwa taarifa yako sijatetea Serikali kwa kufanya uzembe na mpaka leo kutokushughulikia kinachoendelea na mbili katika wauwaji historically tena walioondoa viongozi wa nchi nyingi Afrika na Duniani USA ni among ya Vinara..., (hata hao waliopo pale sasa wapo pale kwa kuwaondoa red Indians); Kwahio kabla haujaandika kwanza soma kilichoandikwa angalau ujue unachojibu.....
 
Jana katika Mkutano wa Kituo cha Demokrasia Balozi wa Marekani kamjibu yule aliyewatishia. Kasema Vitendo vya Ukatili, Utekaji na Mauaji havikubaliwi na Demokrasia yeyote. Si Marekani si Tanzania.

Ameenda mbali kwa kusema kwa miaka mitatu tu Marekani imetoa msaada kwa Tanzania wa dola bilioni 7.5 na hizi sio mkopo ni msaada tu! Kwa msio jua hizi ni karibu na trilion 25 za Kitanzania

Kazi kwenu wananzengo. Mie naongeza popcorn.🤣🤣🤣View attachment 3100891
Mbona sasa Balozi anatudhalilisha?
Vile umerudi nyumbani furushi watoto wanafurahi ghafla mshenzi mmoja anatokea kujidai Nyama zenyewe ulizeta amekupa bure baada ya kumpigia magoti😂😂😂
 
Mabalozi wengi ni wanajeshi wa zamani au mashushushu wa zamani.

Empty

Unawafokea na kuwachamba wanakupa msaada wa matrilioni na mikopo ya matrilioni imf na world bank ni zao. Mashirika na NGO nyingi ni zao, zinazotoa misaada ya matrilioni
Pamoja na misaada yao,lakini hawana haki ya kuingilia utawala wetu, na wanatakiwa kuheshimu mamlaka zetu, na kama wameona kuna mapungufu mahali waje kwa utaratibu kushauri,siyo kwenda kwenye majukwaa huko na kutupigia kelele!!
 
Tz hatuna nguvu hii unayoionyesha hapa. Tusitake kuongopeana. Marekani hapaswi kweli kuingilia mambo ya nchi yoyote, lakini ili asiingilie unapaswa kuwa na nguvu. Sio Tanzania tu, Africa yote hakuna wa kumzuia kuingilia.

Nchi zenye nguvu tu wanashindwa kumzuia, ndio ije kuwa Tanzania
 
Pamoja na misaada yao,lakini hawana haki ya kuingilia utawala wetu, na wanatakiwa kuheshimu mamlaka zetu, na kama wameona kuna mapungufu mahali waje kwa utaratibu kushauri,siyo kwenda kwenye majukwaa huko na kutupigia kelele!!
Viongozi wa kitaifa wanatakiwa watunze kauli zao, (public figures have to keep their words) and that any decision you make in life you are responsible for it, pia

Maamuzi yoyote utakayo yafanya maishani mwako utawajibika nayo
 
Deni lipo katikat dola, sasa angalia Tzsh against dolla imepanda kiasi gani Tangu kuondoka kwa JPM. Jumlisha na alizokopa Mwenyewe mama yenu.
Isingekuwa Viongozi kutanguliza maslahi yao mbele, hizo Kodi zetu zilikuwa zinatosha sana kufanya miradi ya maendeleo bila kuwa na madeni makubwa.

Muhimu ilikuwa tungekuwa na vipaumbele vya miradi ipi ifanyike lini na wapi, pia tungeona namna ya kushirikisha baadhi ya miradi ifanywe Kwa njia ya PPP ili kupunguza gharama za Serikali kutekeleza miradi

Mfano huo Mradi wa SGR, Bwawa la Umeme la Mwl Nyerere pia ATCL.

Serikali ingekuwa inakusanya Kodi tu lakini Mashirika binafsi pamoja na watu binafsi wangepewa wawekeze then Serikali ingekuwa inapata Kodi ya Mapato.

Hapo inakuwa imeokoa Investment cost, pamoja na running cost ikiwemo Mishahara ya hao MaCEO ambao huteuliwa na Rais
 
Jana katika Mkutano wa Kituo cha Demokrasia Balozi wa Marekani kamjibu yule aliyewatishia. Kasema Vitendo vya Ukatili, Utekaji na Mauaji havikubaliwi na Demokrasia yeyote. Si Marekani si Tanzania.

Ameenda mbali kwa kusema kwa miaka mitatu tu Marekani imetoa msaada kwa Tanzania wa dola bilioni 7.5 na hizi sio mkopo ni msaada tu! Kwa msio jua hizi ni karibu na trilion 25 za Kitanzania

Kazi kwenu wananzengo. Mie naongeza popcorn.🤣🤣🤣View attachment 3100891
Wewe bawacha billion 7.5$ ni sawa na trillion 25Tshs?
 
Mbona Magufuli alikuwa anasema kutwa , hakuna lolote msaada sio lazima ...Wangeacha tungeishi maana hata pesa wanaprint wao ....Hatuwezi kufa njaa ng'o hizo pesa wanakula wachache .

Ukweli ni kwamba hwana ubavu wa kuingilia mambo ya ndani ya nchi yoyote hatutaki machafuko ....Afrika inaweza kuwepo bila ya hao , wanaimarisha uhusiano tu ...Huko kwao kuna homeless si wafute umaskini usome zero .! watu ambao wanafadhili mpaka vita ili wengine wauawe.
We kweli kiazi kabisa hivi shule uliishia la ngapi?
 
Mbona Magufuli alikuwa anasema kutwa , hakuna lolote msaada sio lazima ...Wangeacha tungeishi maana hata pesa wanaprint wao ....Hatuwezi kufa njaa ng'o hizo pesa wanakula wachache .

Ukweli ni kwamba hwana ubavu wa kuingilia mambo ya ndani ya nchi yoyote hatutaki machafuko ....Afrika inaweza kuwepo bila ya hao , wanaimarisha uhusiano tu ...Huko kwao kuna homeless si wafute umaskini usome zero .! watu ambao wanafadhili mpaka vita ili wengine wauawe.
Wakiacha kukupa msaada wa dawa za Ukimwi hata wewe utakufa maana unaonekana una Ukimwi
 
Back
Top Bottom