Balozi wa Marekani: Kwa Miaka 3 Marekani imetoa msaada Tanzania Dola Bilioni 7.5 sawa na Trilioni 25 za Tanzania. Sio Mkopo ni Msaada tu

Ni kama Richard Nixon alipokwenda China.
Walipokuwa wapo ndani ya gari wanakuja kutoka airport anaona mabango kila pahali:"DOWN WITH AMERICA"
Chou El Lai akamwambia,:"Do not mind these posters. They are just for public consumption."
 
Pesa zote hizi zinatumika wapi!? Maana hatuoni hata nchi ikipiga hatua kimaendeleo. Na Kodi bado tunalipa. Utalii na madini ndio usiseme.
 
Sawa Battle.
 
Hizi shule za kata tuliwaambia mapema mno kwamba hazina ubora mkatubishia.
 
Yeye Rais Samia azingatie maneno anayosema Balozi wa Marekani.
Lakini James Bond 007 hafuati sheria
Ni makosa kumwambia 007 James Bond afuate sheria.
 
"Wasitupangie cha kufanya" Nye Nye Nye!! Baniani mbaya kiatu chake dawa ,kiko wapi ,mi nilijua tu hatutoboi bila wazungu.
 
Sawa sio watu wema kwa kutupa msaada wa pesa!!! Je kukemea mauaji ya ndugu zetu?? Utekaji?

Nyie sijui *"('yjssy iisysny id jsysjtae*_-#>#?&>-#
Izshkjm.jddisdddulsusutsutsiysdhumd-$#@#/$$
Na sisi mbona balozi zetu hazikemei watu kupigwa risasi kila siku huko kwao ...Wasitishe hiyo misaada na nyie muende huko mkaishi
 
Mkuu tunafanya kazi lakini haiondoi ukweli Tanzania ni nchi maskini inayotegemea misaada ya wahisani kujikimu. Na wananchi wake wengi ni maskini pia....yote ni kutokana na sera mbovu za chama chenu
Marekani kuna maskini hiyo ndio ukweli ....North korea hata maisha ya huyo ulaya hawajui so hawana mda wa kubabaishwa na mtu ...Tunaweza kuamua tukaishi tunavyotaka kama unataka wazungu kaombe uraia wa huko .
 
Wewe jamaa umegeuka kibaraka wa mabeberu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…