much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 11,461
- 17,183
Kwa mujibu wa BOT Kwa exchange rate ya Leo 19.9 trillionPiga hesabu kwa exchange rate ya dola
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mujibu wa BOT Kwa exchange rate ya Leo 19.9 trillionPiga hesabu kwa exchange rate ya dola
Ni kama Richard Nixon alipokwenda China.Mama ana nguruma hadharani akitoka, anatuma wasaidizi wake wakimbie haraka balozini wakanyooshe maneno..... kuwa hakumaanisha alichokisema na ndio maana bado Chadema ipo kwenye payroll ya serikali ..kwakweli kwa uduchu wakodi zetu siku misaada ikikoma ni lazima tuite maji mma........
Pesa zote hizi zinatumika wapi!? Maana hatuoni hata nchi ikipiga hatua kimaendeleo. Na Kodi bado tunalipa. Utalii na madini ndio usiseme.Jana katika Mkutano wa Kituo cha Demokrasia Balozi wa Marekani kamjibu yule aliyewatishia. Kasema Vitendo vya Ukatili, Utekaji na Mauaji havikubaliwi na Demokrasia yeyote. Si Marekani si Tanzania.
Ameenda mbali kwa kusema kwa miaka mitatu tu Marekani imetoa msaada kwa Tanzania wa dola bilioni 7.5 na hizi sio mkopo ni msaada tu! Kwa msio jua hizi ni karibu na trilion 25 za Kitanzania
Kazi kwenu wananzengo. Mie naongeza popcorn.🤣🤣🤣View attachment 3100891
Sawa Battle.Jana katika Mkutano wa Kituo cha Demokrasia Balozi wa Marekani kamjibu yule aliyewatishia. Kasema Vitendo vya Ukatili, Utekaji na Mauaji havikubaliwi na Demokrasia yeyote. Si Marekani si Tanzania.
Ameenda mbali kwa kusema kwa miaka mitatu tu Marekani imetoa msaada kwa Tanzania wa dola bilioni 7.5 na hizi sio mkopo ni msaada tu! Kwa msio jua hizi ni karibu na trilion 25 za Kitanzania
Kazi kwenu wananzengo. Mie naongeza popcorn.🤣🤣🤣View attachment 3100891
Nini fafsiri ya - kwa mwaka?Hii misaada haipo fixed ni kiasi fulani. Inategema budget na mambo mengine. Soma report ya US State department au USAID report.
Nifahamishe kwanza "fafsiri" ni kitu gani.Nini fafsiri ya - kwa mwaka?
Nani kama mmarekaniTz inapata msaada zaidi ya $1 billion annually toka Marekani.
Hizi shule za kata tuliwaambia mapema mno kwamba hazina ubora mkatubishia.Mbona Magufuli alikuwa anasema kutwa , hakuna lolote msaada sio lazima ...Wangeacha tungeishi maana hata pesa wanaprint wao ....Hatuwezi kufa njaa ng'o hizo pesa wanakula wachache .
Ukweli ni kwamba hwana ubavu wa kuingilia mambo ya ndani ya nchi yoyote hatutaki machafuko ....Afrika inaweza kuwepo bila ya hao , wanaimarisha uhusiano tu ...Huko kwao kuna homeless si wafute umaskini usome zero .! watu ambao wanafadhili mpaka vita ili wengine wauawe.
Huwezi kuwa kama mzungu wala huwezi kuwa na akili za mzungu .Hizi shule za kata tuliwaambia mapema mno kwamba hazina ubora mkatubishia.
Sifi ng'o waache kabisa wafunge media zao kila mtu aishi kwao , nani alianza kumfuata mwenzie?Wakiacha kukupa msaada wa dawa za Ukimwi hata wewe utakufa maana unaonekana una Ukimwi
Muulize mama yako kwanza , nenda kwa mashoga wenzio.We kweli kiazi kabisa hivi shule uliishia la ngapi?
Na sisi mbona balozi zetu hazikemei watu kupigwa risasi kila siku huko kwao ...Wasitishe hiyo misaada na nyie muende huko mkaishiSawa sio watu wema kwa kutupa msaada wa pesa!!! Je kukemea mauaji ya ndugu zetu?? Utekaji?
Nyie sijui *"('yjssy iisysny id jsysjtae*_-#>#?&>-#
Izshkjm.jddisdddulsusutsutsiysdhumd-$#@#/$$
Labda sisi CIA tunaolipwa kwa mkataba tumekufaMimi nilijua hawatapata tafsiri iliyonyooka kwa sababu hotuba ilikuwa kwa kindengereko.
Marekani kuna maskini hiyo ndio ukweli ....North korea hata maisha ya huyo ulaya hawajui so hawana mda wa kubabaishwa na mtu ...Tunaweza kuamua tukaishi tunavyotaka kama unataka wazungu kaombe uraia wa huko .Mkuu tunafanya kazi lakini haiondoi ukweli Tanzania ni nchi maskini inayotegemea misaada ya wahisani kujikimu. Na wananchi wake wengi ni maskini pia....yote ni kutokana na sera mbovu za chama chenu
Wewe jamaa umegeuka kibaraka wa mabeberu.Jana katika Mkutano wa Kituo cha Demokrasia Balozi wa Marekani kamjibu yule aliyewatishia. Kasema Vitendo vya Ukatili, Utekaji na Mauaji havikubaliwi na Demokrasia yeyote. Si Marekani si Tanzania.
Ameenda mbali kwa kusema kwa miaka mitatu tu Marekani imetoa msaada kwa Tanzania wa dola bilioni 7.5 na hizi sio mkopo ni msaada tu! Kwa msio jua hizi ni karibu na trilion 25 za Kitanzania
Kazi kwenu wananzengo. Mie naongeza popcorn.🤣🤣🤣View attachment 3100891
Huyo sio mwanaume .Wewe jamaa umegeuka kibaraka wa mabeberu.