Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ndiyo hotuba ya US Ambassador to Tanzania Mr Michael Battle. Ni very strong and bold speech...Jana katika Mkutano wa Kituo cha Demokrasia Balozi wa Marekani kamjibu yule aliyewatishia. Kasema Vitendo vya Ukatili, Utekaji na Mauaji havikubaliwi na Demokrasia yeyote. Si Marekani si Tanzania.
Ameenda mbali kwa kusema kwa miaka mitatu tu Marekani imetoa msaada kwa Tanzania wa dola bilioni 7.5 na hizi sio mkopo ni msaada tu! Kwa msio jua hizi ni karibu na trilion 25 za Kitanzania
Kazi kwenu wananzengo. Mie naongeza popcorn.🤣🤣🤣View attachment 3100891
Unajitisha mwenyewe kwa kukubali kuwa omba omba wa kujitakia. Ukishakubali kuwa mtu wa kusaidiwa huwezi kuwa na jeuri tena kwa anayekusaidia. Sana sana utaonekana mbwa kibogoyo anayebweka bila tija. Kesho mapema asubuhi tunarudi tena kuwalamba miguu watusaidie walau dawa za Malaria na kifua kikuu, bila kusahau ARV, vyandarua, ujenzi wa vyoo, ujenzi wa masoko, miradi ya afya, lishe, kilimo, elimu n.k.Wasitishe acha kutisha watu .
hongera kwa kulijua hilo kuhusu mabalozi.Mabalozi wengi ni wanajeshi wa zamani au mashushushu wa zamani.
Empty
Unawafokea na kuwachamba wanakupa msaada wa matrilioni na mikopo ya matrilioni imf na world bank ni zao. Mashirika na NGO nyingi ni zao, zinazotoa misaada ya matrilioni
Kati ya hizo ni ngapi zimebaki kwao?Jana katika Mkutano wa Kituo cha Demokrasia Balozi wa Marekani kamjibu yule aliyewatishia. Kasema Vitendo vya Ukatili, Utekaji na Mauaji havikubaliwi na Demokrasia yeyote. Si Marekani si Tanzania.
Ameenda mbali kwa kusema kwa miaka mitatu tu Marekani imetoa msaada kwa Tanzania wa dola bilioni 7.5 na hizi sio mkopo ni msaada tu! Kwa msio jua hizi ni karibu na trilion 25 za Kitanzania
Kazi kwenu wananzengo. Mie naongeza popcorn.🤣🤣🤣View attachment 3100891
Sister angu mbona kama umepanic?Mjinga wa kwanza baba yako kwa kuzaa gay , kama unategemea pesa za msaada kaa pembeni siongei na mashoga.
Mbona hwasitishi ...kwani waliitwa ?Unajitisha mwenyewe kwa kukubali kuwa omba omba wa kujitakia. Ukishakubali kuwa mtu wa kusaidiwa huwezi kuwa na jeuri tena kwa anayekusaidia. Sana sana utaonekana mbwa kibogoyo anayebweka bila tija. Kesho mapema asubuhi tunarudi tena kuwalamba miguu watusaidie walau dawa za Malaria na kifua kikuu, bila kusahau ARV, vyandarua, ujenzi wa vyoo, ujenzi wa masoko, miradi ya afya, lishe, kilimo, elimu n.k.
Kunywa maji utulie kwanza, naona hapa ni lugha gongana tu, hatutofikia muafaka.Mbona hwasitishi ...kwani waliitwa ?
We ngojea wanaume watafute upewe pesa , umesikia choko!? 😀 😀Sister angu mbona kama umepanic?
Sister leo umeamka na hasira sn sijui kwanini? sijakuzoea hivyoWe ngojea wanaume watafute upewe pesa , umesikia choko!? 😀 😀
Wangekuwa wanaume kweli wangeanza na Putin, kule Ukraine umefanywa unyama kwa miaka miwili mfululizo hawa mabalozi mikia imerudi tumboni hawana chochote wanachoweza kufanya.Mbona Magufuli alikuwa anasema kutwa , hakuna lolote msaada sio lazima ...Wangeacha tungeishi maana hata pesa wanaprint wao ....Hatuwezi kufa njaa ng'o hizo pesa wanakula wachache .
Ukweli ni kwamba hwana ubavu wa kuingilia mambo ya ndani ya nchi yoyote hatutaki machafuko ....Afrika inaweza kuwepo bila ya hao , wanaimarisha uhusiano tu ...Huko kwao kuna homeless si wafute umaskini usome zero .! watu ambao wanafadhili mpaka vita ili wengine wauawe.
Ngoja pesa za kupewa maana kazi hutaki , angalia marinda hayo maana unakosa msimamo kwa mabwana zako 😀 😀Kunywa maji utulie kwanza, naona hapa ni lugha gongana tu, hatutofikia muafaka.
Angalia marinda maana ndio agenda yao , tafuta pesa hamna cha bure 😀😀😀😀😀Sister leo umeamka na hasira sn sijui kwanini? sijakuzoea hivyo
Kwani wamekuita kwenda kuchukua misaada au shida zenu na kukosa akili ndiyo kinawapeleka kwenda kuombaWangekuwa wanaume kweli wangeanza na Putin, kule Ukraine umefanywa unyama kwa miaka miwili mfululizo hawa mabalozi mikia imerudi tumboni hawana chochote wanachoweza kufanya.
Upo sahihi dada anguAngalia marinda maana ndio agenda yao , tafuta pesa hamna cha bure 😀😀😀😀😀
Hawa jamaa hata Museven aliwachana kuhusu ushoga.Wangekuwa wanaume kweli wangeanza na Putin, kule Ukraine umefanywa unyama kwa miaka miwili mfululizo hawa mabalozi mikia imerudi tumboni hawana chochote wanachoweza kufanya.
Hao ni binadamu tu, kisa wanawapa pesa nyinyi wanaharakati wa siasa za bongo haIwafanyi wakawa wamefikia hatua za umalaika, ni binadamu wenye kukosolewa na kuambiwa ukweli pale wanapokengeuka.Kwani wamekuita kwenda kuchukua misaada au shida zenu na kukosa akili ndiyo kinawapeleka kwenda kuomba
Hata hja ya ushoga umekubali kenge wewe , ukiwa maskini unaitika tu...Kaangalie kwenu mashoga kibao maana hamna msimamo 😀 😀 😀Upo sahihi dada angu