Leo Mei 6, 2024, JamiiForums (JF) imetembelewa na Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Michael A. Battle, kwa lengo la kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na taasisi, ambapo amepitishwa kwa kina na kufahamu utekelezaji wa programu 8 za kitaasisi unaoendelea
Balozi Battle aliyeongozana na Ujumbe wake, wamefanya majadiliano na Uongozi na Watendaji wa JF katika kuangazia namna bora ya kujenga na kuimarisha ushirikiano baina ya pande mbili (Ubalozi na JF)
Picha ya mwisho huyo pisi kama ni mod kanisikitisha sana sio kwa kazi za kutubonyezea banned tufe. Dada wewe muzuri hii kazi inakuongezea dhaaambiiiiiπ€£π€£π€£π€£