Balozi wa Marekani, Michael A. Battle atembelea ofisi za JamiiForums

Balozi wa Marekani, Michael A. Battle atembelea ofisi za JamiiForums

Mtani wangu JamiiForums Founder Maxence Melo nitafute haraka nikupe Dawa ya Macho kutoka Uzanakini Wilayani Butiama Mkoani Mara ( Musoma ) uachane na Miwani hiyo.
 
Hii ni baada ya balozi ya kuwa mnazi mkubwa wa nyuzi za hawa members wa JF; Etwege ChoiceVariable Magonjwa Mtambuka Lucas Mwashambwa MamaSamia2025 GENTAMYCINE na johnthebaptist ..
Nasikia Balozi alimuuliza Maxence Melo huyu GENTAMYCINE ni nani mbona ana Uwasilishaji wa Kimitego, Kiuchokozi na wa Kimaarifa sana?

Na kwa Roho za Watani zangu Wahaya nasikia Mtani wangu akamjibu huyu ni Popoma Mmoja hivi kutoka Musoma ila ipo Siku nitakuletea Ofisini Kwako umuone na ukimuona hutoamini kama ndiyo Yeye mwenye Visa vingi hapa JamiiForums.
 
Nasikia Balozi alimuuliza Maxence Melo huyu GENTAMYCINE ni nani mbona ana Uwasilishaji wa Kimitego, Kiuchokozi na wa Kimaarifa sana? Na kwa Roho za Watani zangu Wahaya nasikia Mtani wangu akamjibu huyu ni Popoma Mmoja hivi kutoka Musoma ila ipo Siku nitakuletea Ofisini Kwako umuone na ukimuona hutoamini kama ndiyo Yeye mwenye Visa vingi hapa JamiiForums.
Ni Charismatic fella 🤣🤣
 
Hutu tu dada ndo huwa tunatubadilishia "heading"?!
Yaani binafsi huwa nakereka sana, maana vinapokubadilishia "heading", vinabadili maana ya "thread" yako kabisa
Pascal Mayalla
Mkuu Burkinabe, naunga mkono hoja,kiukweli kabisa it’s not fair kubadili heading na ku change meaning. Mimi mwenyewe huwa natia team JF mara mojamoja.

Big up sana JF kutembelewa na balozi wa Marekani, soon mtanuona Nape, kisha Maza mwenyewe Mama la mama!

P
 
Hivi na sisi wanachama wa kawaida tunaweza kutembelea makao makuu kwa ajili ya kujua mawili matatu?
Na kama tunaruhusiwa, ni vigezo au utaratibu upi tunatakiwa kufuata?
@Maxince Melo
Roving Journalist
 
Huyo Moderator kwenye picha namba saba kushoto,ni mnoko balaa
 
Back
Top Bottom