Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
HahaaHiki kijiwe mbona kinatembelewa sana na mabeberu ,sie ma ayatola kuna amani kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahaaHiki kijiwe mbona kinatembelewa sana na mabeberu ,sie ma ayatola kuna amani kweli
HahahaHii ni baada ya balozi ya kuwa mnazi mkubwa wa nyuzi za hawa members wa JF; Etwege ChoiceVariable Magonjwa Mtambuka Lucas Mwashambwa MamaSamia2025 GENTAMYCINE na johnthebaptist ..
Umesahau na pale UkraineMada kuinanga Isiraeli na washirika wake zitakatiza kweli tena, kwa mtaji huu?
MK254 hebu utupe meongozo wako huku tafadhali.
Hiki kijiwe mbona kinatembelewa sana na mabeberu ,sie ma ayatola kuna amani kweli
Mkuu mbon humueshimu moderator atakupg burn 😁😄Kwahiyo na huyo mdada miguu mizuri ni wa ubalozini au JF?? 😋😋😋
Hakika loInapendeza sana...
Ndo umchore kopa?😂Huyu Guy niliye mchora [emoji3590], km yupo humu kwenye uzi naomba anifate Pm,
Au modes mnipe mawasiliano yake huyu Guy.
SERIOUSLY!!!!!View attachment 2982795
Wajukuu zangu nshawakataza mazoea na Wangoni!!Huyu Guy niliye mchora [emoji3590], km yupo humu kwenye uzi naomba anifate Pm,
Au modes mnipe mawasiliano yake huyu Guy.
SERIOUSLY!!!!!View attachment 2982795
Ahahahaha my lack namber 5 and 2Huyu Guy niliye mchora [emoji3590], km yupo humu kwenye uzi naomba anifate Pm,
Au modes mnipe mawasiliano yake huyu Guy.
SERIOUSLY!!!!!View attachment 2982795
Huyo Guy kani turn on mbayaaa!!! [emoji8][emoji8][emoji182][emoji182]Ndo umchore kopa?[emoji23]
Kumbe X wako ni mod kwenye mtandao fulani[emoji1732]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] em acha zako wewee!!Wajukuu zangu nshawakataza mazoea na Wangoni!!
Bora maharage ya Mbeya, kuliko...... wangoni waliokimbia South Africa wakaja kuishi Tanzania [emoji1241]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tulizanaaa wee!! Mie niko buzzy kumpata huyo Guy.Ahahahaha my lack namber 5 and 2
😂Khaaaa! Kwahiyo unataka namba yake ya nini? Huoni kavaa pete ya ndoaHuyo Guy kani turn on mbayaaa!!! [emoji8][emoji8][emoji182][emoji182]
X wangu yupiii? Mtandao gan? Ninong'onezee.