Balozi wa Marekani, Michael A. Battle atembelea ofisi za JamiiForums

Balozi wa Marekani, Michael A. Battle atembelea ofisi za JamiiForums

Kuna mod's 3 sijawaona hapo.
Ukute walibaki server room kutembeza ban.
Btw hongereni sana uongozi wa Jf, ni hatua nzuri sana.
Siku mkitaka na nyie kwenda huko kwao ubalozini, msituache wadau wenu🥴
 
[emoji23]Khaaaa! Kwahiyo unataka namba yake ya nini? Huoni kavaa pete ya ndoa
Sio Pete, hata hiyo ndoa yake siihitaji.
Mie namtakaa yeye km yeyee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Utampata we tulizana tu...
Mi pia nina shida ujue [emoji23][emoji23][emoji23]
Shida gan? Kuna mtu nimemuona ktk hizo picha,
Nikajisemea akimuona ubongo mbovu ameishaaaa,

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ili ofisi ipendeze jitahidi kuajiri mabinti wazuri .... Kauli ya boss wetu hii

Naona mkubwa mello anaitendea haki
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba leo tarehe 06/05/2024, Balozi wa Marekani Nchini Tanzania amefika kwenye ofisi ya JamiiForums, Dar es Salaam

Habari kamili hii hapa

Screenshot_2024-05-06-20-30-51-1.png
Screenshot_2024-05-06-20-30-30-1.png
Screenshot_2024-05-06-20-31-13-1.png
 
Back
Top Bottom