Akili kubwa, Bravo Melo! College mate! Harafu kuna, watu utawasikia wakisema elimu haina maana! Bora uishie la, saba! Mbona Mond ni la saba lakini ana mkwanja mrefu!
Hawa ndio wanaotakiwa nchini, wanatengeneza ukwasi, ajira, lakini wanasiasa, kama samia huwezi, kuwasikia wakiwapigia simu hadharani! Wanampigia "pastor" Kapola! Sasa, unajiuliza hawa MA pastor vijana, wanazalisha nini? Huduma au bidhaa! Nothing ni kulisha watu upepo na makelele tu! Kikubwa wanapiga mapicha picha wakiwa na pamba Kali, na mandinga! Wa kitu onyeshea jinsi walivyofanikiwa! So what!
Wenye pesa, dangote, nk huwezi, kuwaona wakipost magari yao, just for show tu! Ila wale janja janja! Shida tupu