Uchaguzi 2020 Balozi wa Marekani nchini anatarajia kukutana na wagombea Urais wote

Uchaguzi 2020 Balozi wa Marekani nchini anatarajia kukutana na wagombea Urais wote

Akikutana na Meko Bashiru awepo aweke mambo sawa kwa upande wa lugha au huyu mjumbe kisukuma kinapanda?
 
I enjoyed talking with NCCR-Mageuzi’s James Mbatia and hearing his insights gained from 30 years in Tanzanian politics. I hope to meet with candidates and leaders from ALL PARTIES to share America's interest in a genuinely free, fair, transparent, and peaceful electoral process.


Onaezekana anatafuta bwana wa kibongo huyu
 
Ndo maana Trump hawapendi yaani Rais Wa nchi aende ubalozini kumsikiliza barozi Wa usa? Pumbavu sana
Kwahiyo balozi alitakiwa kwenda kwenye ofisi za kila mgombea. Wagombea urais Wengine najua hawatakubali kutembelewa.
 
Angekutana nao wote kwa pamoja....siti ya kwanza rungwe,anafatia magufuli,anafatia LISSU,anafatia member,anafatia maalim,anafatia mwinyi,halafu queen na wengineo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu hakuna kwenda na mkalimani wala bodyguard..
 
Back
Top Bottom