Uchaguzi 2020 Balozi wa Marekani nchini anatarajia kukutana na wagombea Urais wote

Uchaguzi 2020 Balozi wa Marekani nchini anatarajia kukutana na wagombea Urais wote

ALL PARTIES to share America's interest in a genuinely free, fair, transparent, and peaceful electoral process.
CCM wakiona kipengele hiki cha "free, fair, transparent, and peaceful electoral process" wanaumia mno.

Wao wanataka kusikia AMANI, AMANI, AMANI... masuala ya haki hayawahusu.
 
CHAMA CHA MAPINDUZI CANT AND NEVER BE HAPPY WITH THIS ONGOING EXERCISES
 
CHAMA CHA MAPINDUZI CANT AND NEVER BE HAPPY WITH THIS ONGOING EXERCISES
American AMBASSADOR is not our voter!!!! CCM we are seeking votes from our voters not non voters whether they are ambassodors or whatever
 
Mkuu kweli hujui kwamba ubalozi ni nchi ndani ya nchi, na balozi ni mwakilishi wa nchi husika,? mbona unauliza swali jepesi Sana ni kweli hujui au umeamua tu

Mkuu kweli hujui kwamba ubalozi ni nchi ndani ya nchi, na balozi ni mwakilishi wa nchi husika,? mbona unauliza swali jepesi Sana ni kweli hujui au umeamua tu
Suala la kufahamu ni suala jingine na suala la Ubalozi wa Marekani kuwaita wagombea urais ni suala jingine. Hivi ina maana Ubalozi ni wa marekani tu peke yake hapa Tanzania??
 
American AMBASSADOR is not our voter!!!! CCM we are seeking votes from our voters not non voters whether they are ambassodors or whatever
IN CASE OF INSISTING THE OPENLY EXRCISES OF ELECTION YOU MUST BECAME A ENEMY WHETHER YOU LIKE OR NOT
 
Suala la kufahamu ni suala jingine na suala la Ubalozi wa Marekani kuwaita wagombea urais ni suala jingine. Hivi ina maana Ubalozi ni wa marekani tu peke yake hapa Tanzania??
Mkuu balozi zipo ila elewa marekani ndo kiranja wa dunia,chief commands ya mataifa ,akisema neno hakuna nchi ya kuinua mkono Kama inajikuna
 
I promise u siku US wakiwa na free, fair na transparent and peaceful election na Tanzania tutafikia hapo...

Uchaguzi ulionwinguza Bush JR madarakani ulikuwa wa ovyo...
Uchaguzi wa Trump ulimalizika kwa maandamano.

Mama Kilintona alishinda akaambiwa no kuna house blah blah umeshindwa... nchi ambayo votes za wananchi hazina value ni US.

Viva Magu 2020 to 2030
..."America's interest in a genuinely free, fair, transparent, and peaceful electoral process."

Hata Watanzania wengi ndio matamanio yetu kuwa na uchaguzi huru kabisa, wazi na amani, tatizo serikali ya CCM kwa makusudi wameweka vizingiti katika katiba ya nchi na hatuna tume huru.
 
Sawa masuala ya kidiplomasia huwa unamsaidia wewe...

Sad kuona kuna wajinga wanaamini English ni kipimo cha intelligence

Viva Magu 2020 to 2030
Yule bwana haendi kwasababu course yake pale kwa Rasi simba aliambiwa lazima akazaliwe upya ulaya
 
Labda lugha iwe ya kiswahili hapo hakuna kuelewana kitu! Zamu ya chizi wa mbowe ni lini?
 
Hata mimi niliwaza hiyo kitu sikupata picha jiwe na lissu sijui kama pangetosha..
Mkuu,mimi nasubiri kwa hamu mdahalo siku hiyo sikai mbali na TV mashaka yangu watatumia lugha ipi??
 
Back
Top Bottom