Uchaguzi 2020 Balozi wa Marekani nchini anatarajia kukutana na wagombea Urais wote

Uchaguzi 2020 Balozi wa Marekani nchini anatarajia kukutana na wagombea Urais wote

Stupid CCM member huoni wanavyosalimiana ili wasiambukizane Covid-19 ambayo bado ipo kwa wingi maana ule mtishamba wa Magufuli toka Madagascar haukufua dafu?
Halafu tujue kuwa kuna tofauti kati ya kuwepo kwa virusi vya corona na kuwepo kwa wagonjwa wa corona.
Kuprove uwepo wa virusi lazima zitumike principles za kisayansi.
Mwishowe kama sayansi inasema virusi vipo hapo tutazidi kujiuliza kwa nini watu hawaigui.
Basi utaweza kusema kwa kunukuu maandishi matakatifu kwa imani." Hata mkilishwa sumu haitawadhuru ..." Au pia tutaweza kutafiti kisayansi ni kwa nini hii?


Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Kwani Mbatia alikwenda kumpigia muziki wa kisiasa ambao Balozi ali enjoy??--- kama ni mazungumzo positive basi huyo Mbatia atupe muhtasari.

Hahahahaha Rais awezi kukutana na kila mtu hasa watu wa hovyo hovyo
 
Stupid mpinzani. Huoni hatujaenda lockdown pamoja na vitisho vyote vya mabeberu. Hilo igizo tu la salamu, balozi angekua anaogopa kuambukizwa corona angevaa mask na kukaa mita nyingi mbali na mbatia

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni Viva Magufuli. Watu tulipiga nyungu kabla hata ya hio dawa ya Madagascar.

Corona haipo Tanzania
Trial and error

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Balozi Haiti watu kwenda wanajipeleka wenyewe mtu hajaitwa anaenda kubwabwaja na kisuti chake cha mtumba
Hiyo suit yake ni ya hali ya juu sana mtumba toka Marekani Viwanda 4000 vya cherehani 4 vya Mwijage vilipotea na Mwijage mwenyewe baada ya kutumbuliwa. Asingetumbuliwa wimbo wa Viwanda ingekuwa bado upo!
 
Dkt Magufuli asiende kwa huyu beberu, wanaweza muwekea sumu, maana hamu yao ni kuona nchi inakuwa loose ili waibe. Yaani asiende kabisa labda huyu beberu akaribishwe ikulu pahala penye usalama tunaouamini
Asiende kwani yeye ni mbuzi?
 
Aonane na wagombea wote!!! Who is he in this country!?
For which reason by the way!?
Tuache siasa za kitumwa.
Its one of their foreign policy kila nchi kwenye yenye uchaguzi wanafanya hivo...shida yako your not exposed upo kienyeji mno
 
Democracy is not what these people need, it's not even what they want
America has been trying to install democracy in Nations for a century
And it hasn't worked one time!
These countries don't have the basic building blocks to support a democracy
Little things like "we ought to be tolerant of those who disagree with us"
"We ought to be tolerant of those who worship a different God than us"
That a journalist ought to be able to disagree with the president
And you think that you can just march into these countries based on some
Fundamentalist religious principals, drop a few bombs, topple a dictator
And start a democracy?!!

Nilikuta kwenye game ya call of duty naanza kuelewa sasa
 
Haitatokea nuru ikae pamoja na giza, Lissu huko tayari kukaa na giza (Magufuli) ila giza litamkwepa nuru kwa gharama yoyote ile
 
Mbatia is the shadiest maafaka I dont trust ever...

Nigga too sneaky aisee

Magu akatae kwenda aone
 
Hii inastajaabisha kweli kweli, yeye ni nani hadi awe na mamlaka ya kuingilia masuala ya kisiasa nchini kwetu? Basi na sisi balozi wetu kule Marekani afanye mpango wa kukutana na wagombea urais wote wa marekani.
Maskini hana jeuri mbwa wewe
 
Na balozi wetu nchini Marekani angefanya kama anavyo fanya balozi mwezie huku kwetu.
Ange waita wagombea wote wa urais nchini Marekani na kufanya mahojiano nao.

NB: Nakerwa kuishi zama hizi za Ukiloni.
 
How can I be positive on this matter!?
Who is Balozi wa Marekani in this country.
Yeye yupo hapa kwaajili ya kuwakilisha nchi yake.
USA is not our master. Wanatuzidi uchumi tu.

Unachekesha
 
How can I be positive on this matter!?
Who is Balozi wa Marekani in this country.
Yeye yupo hapa kwaajili ya kuwakilisha nchi yake.
USA is not our master. Wanatuzidi uchumi tu.
Have you ever forgotten the head prefect syndrome? That is where we are. And truly speaking, there must be head prefect somewhere as to bring in the so called,balance of terror.
 
Lisu uongio wake ohhh Tanzania Corona ipo balozi wa marekani kakataa ushahidi huu hapa hakuna cha Barakoa wala nini? Lisu alidanganya wazungu kufika wakakuta uongo

1602051572851.png
 
Back
Top Bottom