Uchaguzi 2020 Balozi wa Marekani nchini anatarajia kukutana na wagombea Urais wote

Uchaguzi 2020 Balozi wa Marekani nchini anatarajia kukutana na wagombea Urais wote

How can I be positive on this matter!?
Who is Balozi wa Marekani in this country.
Yeye yupo hapa kwaajili ya kuwakilisha nchi yake.
USA is not our master. Wanatuzidi uchumi tu.

Shida yako ni nini? Ama atakaza wizi wa kura?
 
Hahhaha pipo used to die in the raki😂😂😂😂
 
Heeee.. kama wewe nadhani umezidiwa kila kitu.
How can I be positive on this matter!?
Who is Balozi wa Marekani in this country.
Yeye yupo hapa kwaajili ya kuwakilisha nchi yake.
USA is not our master. Wanatuzidi uchumi tu.
 
Taarifa inasema balozi wa US atakutana na wagombea urais wote, ila Mbatia sio mgombea urais, bali chama chake ambacho yeye ni mwenyekiti kina mgombea wa urais.
 
Dkt Magufuli asiende kwa huyu beberu, wanaweza muwekea sumu, maana hamu yao ni kuona nchi inakuwa loose ili waibe. Yaani asiende kabisa labda huyu beberu akaribishwe ikulu pahala penye usalama tunaouamini
 
Kuna dadili zote uchaguzi huu utaiweka Tanzania pabaya na utakuwa mwanzo wa baadhi ya viongozi wakubwa kuwajibika kwa matendo yao.
 
Kuna Mgombea mmoja "inasemekana hajui kingereza" ama atakuwa anaongea kwa picha? anamuonyeshea madaraja ya mfugale na Ubungo?
Nawaza tu ataelezeaje mareri yake, namna alivyo wa pekee kuliko hata Nyerere ambaye hakujenga uwanja butiama wala taa za barabarani.
 
Amgefocus kwenye uchaguzi wao tu
Dunia imekuwa moja kama kiumbe kimoja ambapo kila kiungo ni sehemu muhimu ya hicho kiumbe. That is, for example, USA ikitikisika dunia itatikisika pia. Vivo hivo japo TZ ni nchi ndogo ikitikisika dunia pia itatikisika!
Dunia lazima itawaliwe na common priniples kama democracy, humanity, human rights nk.
Kwa hiyo kusema wahangaike na ya kwao ni upingufu wa ufahamu

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Safi kabisa balozi yupo safe hakuna cha mask wala distance. Viva Magufuli kuifukuza corona Tanzania
Stupid CCM member huoni wanavyosalimiana ili wasiambukizane Covid-19 ambayo bado ipo kwa wingi maana ule mtishamba wa Magufuli toka Madagascar haukufua dafu?
 
Kama namwona Magu akianza kuomba vitabu vya English vya nursery School
 
Stupid mpinzani. Huoni hatujaenda lockdown pamoja na vitisho vyote vya mabeberu. Hilo igizo tu la salamu, balozi angekua anaogopa kuambukizwa corona angevaa mask na kukaa mita nyingi mbali na mbatia

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni Viva Magufuli. Watu tulipiga nyungu kabla hata ya hio dawa ya Madagascar.

Corona haipo Tanzania
Stupid CCM member huoni wanavyosalimiana ili wasiambukizane Covid-19 ambayo bado ipo kwa wingi maana ule mtishamba wa Magufuli toka Madagascar haukufua dafu?
 
Angekuwa Lisu hapo sasa hivi chadema wangekuwa wanasherekea kwamba wameahashinda
 
Kumbe ni mmoja mmoja, that's fine, nilianza kuimagine hapa Lissu, pale bwana yule mbona kusingekalika.

Let's meet at the top, cheers [emoji482]

Balozi ndiye anaomba kukutana na Rais siyo vinginevyo hahahahha
 
Back
Top Bottom