Uchaguzi 2020 Balozi wa Marekani nchini anatarajia kukutana na wagombea Urais wote

Uchaguzi 2020 Balozi wa Marekani nchini anatarajia kukutana na wagombea Urais wote

Angeanza yule zingekua kelele siku nzima
Yupi huyo?. Yule aliyekula faru John na kwenda kula vitu maalum kisha kuvunja mguu, huku akidai kavamiwa na CCM?. CHADEMA chama cha kipuuzi Sana. Washabiki wa hilo genge, nyote akili zenu Sawa Sawa.
 
Atulie uko asitake kupenyeza vi political agenda vyake
Mana hakuna la mana anaweza kuongea zaidi ku shawishi wale anao wa target
 
Kwani Mbatia anagombea Urais?!
Candidates ni wagombea. Mbatia ni Mgombea wa Ubunge huko Vunjo. I hope atampa fursa hiyo pia Kiwelu na Kimei.
Kasema candidates bila kuspecify ni level gani, it can be ward, parliamentary or presidential?
We umeibuka na heading unayoiwaza mwenyewe kichwani kwako.
 
Yupi huyo?. Yule aliyekula faru John na kwenda kula vitu maalum kisha kuvunja mguu, huku akidai kavamiwa na CCM?. Chadema chama cha kipuuzi Sana. Washabiki wa hilo genge, nyote akili zenu Sawa Sawa.
Swali moja majibu mia, panic mode.
 
Aonane na wagombea wote!!! Who is he in this country!?
For which reason by the way!?
Tuache siasa za kitumwa.
He is just an American ambassador in Tanzania, for the purpose of maintaining good mutual relationship!

Another question?
 
Kwani Mbatia anagombea Urais?!
Candidates ni wagombea. Mbatia ni Mgombea wa Ubunge huko Vunjo. I hope atampa fursa hiyo pia Kiwelu na Kimei.
Kasema candidates bila kuspecify ni level gani, it can be ward, parliamentary or presidential?
We umeibuka na heading unayoiwaza mwenyewe kichwani kwako.
Kwa akili yako ya kawaida wagombea wa udiwani wako zaidi ya elfu 6 atakutana nao vipi. Possibly ni wagombea urais na viongozi wakuu wa vyama.
 
Nawewe Balozi uwe unauliza wenyeji, huyu uliye naye ni msaliti wa demokrasia. Huyo ni genge moja na Magufuli, mtesi wa demokrasia.
 
Kwani Mbatia anagombea Urais?!
Candidates ni wagombea. Mbatia ni Mgombea wa Ubunge huko Vunjo. I hope atampa fursa hiyo pia Kiwelu na Kimei.
Kasema candidates bila kuspecify ni level gani, it can be ward, parliamentary or presidential?
We umeibuka na heading unayoiwaza mwenyewe kichwani kwako.
Mkuu una akili nyingi kuliko huyo balozi wa Marekani.Umeongea kwa upeo mkubwa sana
 
Ingependeza pia kusikia ni kitu gani walichongea sio "Just enjoying talking----" tu
Anachoongea magufuli huwa unakisia? Sana sana wanakuwekea vi clip wakina wanacheka cheka baada ya mmoja wao kuingizwa king
 
Kwa akili yako ya kawaida wagombea wa udiwani wako zaidi ya elfu 6 atakutana nao vipi. Possibly ni wagombea urais na viongozi wakuu wa vyama.
Statement ya kibalozi inatakiwa iwe very clear kusiweko na hayo maneno ya possibily alimaanisha !!!!

Balozi ana IQ ndogo ndio maana katoa statement unclear!!!;
 
kuna baadhi ya wagombea atahitajika mkalimani.

mimi hapa Mwalimu M-Mbabe najitolea bure kabisa kwenye eneo hili ili kusiwe na kizingizio chochote kwa watu kutotaka kuonana na huyu balozi.
 
Aonane na wagombea wote!!! Who is he in this country!?
For which reason by the way!?
Tuache siasa za kitumwa.
Ni "beberu".
Kwani beberu huzuiwa na mbuzi asifanye atakacho?
Naona hapo umejivimbisha kwelikweli uonekane mzalendo hasa.
"Utumwa" hata maana yake huijui!
 
Hii inastajaabisha kweli kweli, yeye ni nani hadi awe na mamlaka ya kuingilia masuala ya kisiasa nchini kwetu? Basi na sisi balozi wetu kule Marekani afanye mpango wa kukutana na wagombea urais wote wa marekani.
Kwani kakatazwa Cha msingi awe sababu za kukutana ,mbona wenzetu wako fair Sana,Kama Kuna shida akitaka ni rahisi Sana kukutana nao kuliko hata huku afrika
 
Statement ya kibalozi inatakiwa iwe very clear kusiweko na hayo maneno ya possibiliy !!!! Balozi ana IQ ndogo ndio maana katoa statement unclear!!!;
Eti balozi ana IQ ndogo, statement iko very clear ‘I hope to meet with candidates and leaders from ALL PARTIES’, mwenye IQ ndogo kama yako atafikiri anataka kukutana na wagombea udiwani wa vyama vyote kitu ambacho hakiwezekani, hata wagombea ubunge tu haiwezekani kwa sababu wako maelfu.
 
Hii inastajaabisha kweli kweli, yeye ni nani hadi awe na mamlaka ya kuingilia masuala ya kisiasa nchini kwetu? Basi na sisi balozi wetu kule Marekani afanye mpango wa kukutana na wagombea urais wote wa marekani.
Mkuu kweli hujui kwamba ubalozi ni nchi ndani ya nchi, na balozi ni mwakilishi wa nchi husika,? mbona unauliza swali jepesi Sana ni kweli hujui au umeamua tu
 
Mkuu kweli hujui kwamba ubalozi ni nchi ndani ya nchi, na balozi ni mwakilishi wa nchi husika,? mbona unauliza swali jepesi Sana ni kweli hujui au umeamua tu
Mkuu hawa huwa wanaamua kujitoa akili ila tusichoke kuwaelewesha.
 
Back
Top Bottom