Uchaguzi 2020 Balozi wa Marekani nchini anatarajia kukutana na wagombea Urais wote

Uchaguzi 2020 Balozi wa Marekani nchini anatarajia kukutana na wagombea Urais wote

Aonane na wagombea wote!!! Who is he in this country!?
For which reason by the way!?
Tuache siasa za kitumwa.
Ukiwa kiongozi wa ya nchi ndio ungepata kutambua beberu ana mkono mrefu ila kwa kuwa wewe ni kimwananchi cha kawaida huwezi tamnbua
 
Mkuu umenifanya nicheke bila kupenda.
Wangesema katumwa na mabeberuuu, ndio ingekuwa nyimbo ya siku nzima😂😂
Balozi ni smart lengo ni yule tu na babu ila anaanza na vidagaa kwanza kuondoa kelele kwa hii hatua wote kimyaa hakuna wa kuongea tofauti angenza kwa yule na babu hapo hawa dagaa wasingepata uzito na kelele nyingi na hii imewapa nguvu walengwa wahili zoezi. kuna watu watakuja kuwatukana hawa USA ila sote tunajuwa hatuwezi kudharau nguvu zao wako waliojaribu na tunajuwa matokeo ila wakitaka kuleta fitna ni hatari sana. Tufanye uchaguzi huru na haki tusiwape lakusema mbona hilo ndio lengo letu uhuru na haki....
 
Hahahahah. Si tuliambiwa Lisu ndio anakutana na hao mabalozi siku tatu nyuma?
 
Hii inastajaabisha kweli kweli, yeye ni nani hadi awe na mamlaka ya kuingilia masuala ya kisiasa nchini kwetu? Basi na sisi balozi wetu kule Marekani afanye mpango wa kukutana na wagombea urais wote wa marekani.
 
How can I be positive on this matter!?
Who is Balozi wa Marekani in this country.
Yeye yupo hapa kwaajili ya kuwakilisha nchi yake.
USA is not our master. Wanatuzidi uchumi tu.
USA wako hapa kuwakilisha maslahi yao ya kiuchumi na kiusalama sasa unajuwa maslahi yao ya kiuchumi na kiusalama ni yapi? kumbuka wanaunganisha maslahi yao zone yote hii ya kwetu hawa watu ni hatari hizi kauli kwani wao kina nani tuache wanawaburuza nchi za waarabu wenye hela zao sembuse sisi? Sio master wetu ila master wa dunia.....
 
Basi mgombea wa kikundi fulani akifika hapo atajilambisha miguu.
 
How can I be positive on this matter!?
Who is Balozi wa Marekani in this country.
Yeye yupo hapa kwaajili ya kuwakilisha nchi yake.
USA is not our master. Wanatuzidi uchumi tu.
Usiongee kwa mhemuko kuna vitu vingi vya ku share na Marekani, kuna misaada, mikopo, biashara, usalama, utalii, elimu na teknology.
 
1
Kwa CCM, hatopata fursa ya kuongea na JPM.
Kwa heshima tu, ataongea na Kabudi.
 
Yeye ni nani hasa kuna kitu cha kwao tumechukuwa kwenye uchaguzi huu, apereke ubeberu wake huko, uchaguzi wetu haumuusu.
 
Hii inastajaabisha kweli kweli, yeye ni nani hadi awe na mamlaka ya kuingilia masuala ya kisiasa nchini kwetu? Basi na sisi balozi wetu kule Marekani afanye mpango wa kukutana na wagombea urais wote wa marekani.
Mbona mnajitoa akili kaingilia wapi, unajua maana na kazi za balozi.
 
Ingependeza pia kusikia ni kitu gani walichongea sio "Just enjoying talking----" tu
Sasa Mbatia kajipekeka mwenyewe ohhh nataka kuongea na balozi ulitaka balozi asemaje?

He just enjoyed the talk. Mwingine aende balozi aka enjoy the talk!!!
 
Back
Top Bottom