Wao kama nani?halafu mabeberu wote kwenye matamko koko yao hayasemi uchaguzi urudiwe,bada ya wiki ni business as usualBalozi huyo ameandika:
Reports of arrests of opposition leaders are extremely concerning. I urge the Government to ensure the safety and security of all opposition leaders, cease these targeted arrests, release detainees, restore telecommunications, and afford due process under the law to all citizens.
View attachment 1617807
Kama wamevunja SHERIA kuwa mpinzani kisiwe kigezo Cha kutumia fursa hiyo kuvunja amani ya nchi ambayo watu walipoteza maisha yao. Mtu KWa ajili ya maslahi binafsi ndo anataka kuvunja amani embu tujiulize 2015 waliunda ukawa na ulikuwa na nguvu kubwa na kupitia umoja ule wabunge wapinzani asilimia kubwa walipata nafsi ya kuingia bungeni lakini wengi wao walikuwa wa CHadema na awakuandamana wala kuongea chochote na chama kilikuwa na nguvu mwaka huu chama akikikuwa na nguvu kubwa na watu walishtukia umoja huo wakaamua kuachana nao wakaunda umoja wao wa kinafiki kutetea maslahi yao na sio maslahi ya Chama wala nchi Leo mnataka kuandamana Sasa muandane na filia zenu Msije mkachafua nchi hiiBalozi huyo ameandika:
Reports of arrests of opposition leaders are extremely concerning. I urge the Government to ensure the safety and security of all opposition leaders, cease these targeted arrests, release detainees, restore telecommunications, and afford due process under the law to all citizens.
View attachment 1617807
Mwambie huyo.Unawaza kunyonya? Kiwango chako cha uelewa bado. Huyo anasema alikuwa Tz miaka thelathini iliyopita kama daktari wa kujitolea. Sasa kaja kama balozi wa nchi yake. Anachosema anakijua. Hawashwi kwa maana yoyote. Mimi niliwaandikia waelewa. Huelewi kitu. Kaa kimya kujisitiri. Unapayuka!
Sasa hutaki kutii sheria kwanini usishurutishwe, kwani nchi ya baba yako hii. Tii Sheria Bila ShurutiSi mmezoea kuonea watu na hao policcm wenu.acha balozi awashike tackle.
Acha kutisha watu balozi ana majukumu yake mahususi acha kumpakazia fikra zako ni finyu sana unafikiri ujinga hatuwezi kubali wapinzani waharibu amani ya nchi yetu kamwe afu watakao patashida ni watanzania wanyonge ambao hawawezi hata kukimbiaBarozi amesema zimebaki Sekunde Muwe mmeisha tekeleza magizo sasa kuweni wabishi
We ulidhani ni nchi ya Babako peke yako?Sasa hutaki kutii sheria kwanini usishurutishwe, kwani nchi ya baba yako hii. Tii Sheria Bila Shuruti
😂😂😂Hatuwaachii, fanya unavyotaka
Verification of Twitter accounts blackmailing Tanzania Was a Help from US Embassy.
Wewe unasema hivyo unajua deligation power ya marekani yote au unaongea kwa mhemko ambao hauna tija na faida kwa Tanzania yatuKwa vile alikuwa anadanganya ili kutafuta sababu ya kuuvuruga uchaguzi. Kwa nini mlizitia moto hizo karatasi feki? Kwa nini huyo aliyezibumba, aliyekamatwa nazo, mlienda kumficha???
Si wamejua wanawajinga wao wanaofarijika na hizo tweets ndo maana wanawajaza upepo kila wakatiMkuu balozi jiongeze na wewe! Kiburi cha watawala kimesha komaa kiasi cha kuwatia upofu! Tweets pekee haziwashtui tena!!!
Afu ona jina lake jina gani hilo kama la kipoyoyo ndo Mana haongei hoja hata kidogo bali ni mhemkoBarozi amesema zimebaki Sekunde Muwe mmeisha tekeleza magizo sasa kuweni wabishi
Mwambie aje tumkune 🤣Huyu balozi wa Marekani naona anawashwa
Mwenye shida na internet angetumia tu hiyo basi wala hatuhitaji uchokonozi wa huyo balozi wenuKwahiyo umetumia VPN ili uje kuunga mkono kufungwa kwa mitandao?
Mzalendo maana yake nini. Yule anayeteswa bila kulalamika.Amelaaniwa yule amtegemeaye mwanadamu kama ngao yake.
Kuwa mzalendo.
Yani hapo kwenye twita walipo verify tu account za wapinzani wa nchi hii ndipo nilipojua Marekani ina lake jambo.SECRET REVEALED: WHY AND HOW DON WRIGHT FROM AMERICA IS PUSHING HARD FOR VIOLENCE IN TANZANIA.
Don Wright is an Ambassador of US to Tanzania. The two countries established a diplomatic relations in 1961 where the partnership was based on mutual respect, shared values and aspirations for peaceful and prosperous future. It has been reported that Donald John Wright who is a physician by professional works closely with America's Secret service on various sabotage plans for Tanzania.
WHY TANZANIA?
In 2015 , Dr. John Magufuli (PhD) was elected as the 5th President of United Republic of Tanzania, the reforms minded leader wanted to challenge the status quo and indeed he initiated transformation journey. He has zero tolerance to corruption, poaching, resources exploitation (reasons for mining reforms), public embezzlement and self-centred leadership.
In his first week in office in November 2015, Mr Magufuli halted all unnecessary foreign trips for public servants. In one year the move saved USD 430 Million, this has helped rapid development of infrastructures, decentralization of quality social services, free secondary education, Student's loans to University students and more.
The President focus has been transforming an economy hobbled by bureaucracy and corruption. He started by switching off Symbion ( ), Aggreko and IPTL power generation plants which were the product of controversial contracts resulting in a big burden to the Government. Up today, this move has saved over 719 billion. Currently, Tanzania is building Nyerere Hydropower plant with capacity of 2115 MW, the biggest single project in East Africa.
Cancellation of Contract between the Government of Tanzania and Symbion has been blamed by US Government. Symbion is a New York-based independent power producer that develops and operates projects in several African countries and has operated in the Middle East and Asia as well.
Few weeks before the Election in Tanzania Democratic and Republican members of the U.S. House Subcommittee on Africa packed a resolution urging the government of Tanzania to respect human and economic rights. They have promised to fight against lack of respect for contracts and business operations that threaten future U.S. businesses investment and trade partnerships in Africa.
Records shows that the US Government will always find triggering factors to fight any country that doesn't favour their economic interests. Researchers suggest that Gold export powerhouse Tanzania is now a target by the US. Our source have confirmed of a failed plans to hijack the Election by US embassy in Tanzania.
48 hours before the Election, a secret joint letter between the embassy and opposition leaders were leaked and sparked a hot discussion about US interference in Tanzania 2020 Election. In the same day over 15 Twitter Accounts including anonymous accounts were verified despite having a record of violating Twitter rules before. All the accounts were criticising the Government of Tanzania and discrediting the electoral process.
Since then, those accounts have been reposting different information from US Dignitaries and officials. On Election day they were posting hate speech, fake election results, bogus claims and reports. After Election day they have been posting various contents that shows Tanzania is in chaos, old sex tapes claiming to be Tanzanian officials raping and sodomizing civilians. All these fake news are so disturbing and poses a question to whether this is US Government plan or merely plan by Mr. Donald Wright who is an ambassador in Tanzania.
Following different comments about Wednesday election in Tanzania by US Officials which have been emphasising on people to protest even before the final results were announced , it's clear that there might be a plan to destabilize Tanzania. I argue Tanzanians to stand firm against such unacceptable plans by US Government.
MAY GOD BLESS AFRICA.
Kwa mara ya kwanza katika historia ya USA vimeanzishwa vikundi vya wanamgambo wenye silaha nzito eti wanapigania ukombozi...mtaani raia wananunua bunduki kwa fujo kujihami na mashambulizi ya wanamgambo!
Mhesimiwa Balozi achana na huku kwetu maana tunajua jinsi ya kuwadhibiti hawa wahuni, eti wanataka kuchoma vituo vya mafuta...badala yake waombee wamarekani wenzio kwenye uchaguzi wenu unaokuja!
Right-wing white militia march through Louisville following Breonna Taylor decision
The armed individuals were identified as members of The National Patriotic Defense Team.www.revolt.tv