Balozi huyo ameandika:
Reports of arrests of opposition leaders are extremely concerning. I urge the Government to ensure the safety and security of all opposition leaders, cease these targeted arrests, release detainees, restore telecommunications, and afford due process under the law to all citizens.
View attachment 1617807
Mnapiga sana majungu kwa videm vyenu, navyo vinakuja kutoa siri vikikojozwa huku. Na tutawadukua sana . Subirini tu.Hayo unayajua wewe, sisi UVCCM tunajua huduma za maji,umeme,afya,elimu bure na miundo mbinu ya usafiri(reli,barabara na vivuko sehemu zenye maziwa kama huko ziwa Tanganyika,Nyasa na ziwa Nyanza).
Baniani mbaya kiatu chake dawaUmekandamizwa nini wewe? Internet yetu ina muhusu nini yeye? Na mbona haulizi kama tunakula?
Shitukeni huyo balozi ni ibilisi kavaa ngozi ya kondoo
sisi si nchi huru kwanini tuliruhusu beberu akatuzimia mtandao?Alikuja rais Clinton wa Marekani hapa TZ. Mbona mitandao yote ya simu ilizimwa kwa masaa zaidi ya 6 huwezi kupiga simu popote. Ubalozi huu huu wa US mbona haukulalamika??? Serikali inawajibika kwa usalama na inapoona mawasiliano fulani yanaweza kuleta shida wanafunga.
Wewe ni kiazi kweli, em ficha aibu yako..Hao wanajeshi wenye vimisharahara vya laki 5 wanaoshia kubebwa kwenye makarandiga wana uwezo wa kupigana vita gani ?
John "A"N nyie nani aliyewapandikiza akili za kuiba kura?.huyo ndo aliyewaponza
Sijui kwanini wanadileyKitaeleweka tu
Na unaziamini hizo pumba za TISS ya Shoga Magu fool ??
Yaani analazimisha kusonywa huyu Balozi, baadhi yetu hatupendi mambo haya ya kusonyana!!Huyu balozi anafikri Tanzania ni koloni la Marekani!
Mwanajeshi gani wa Tz analipwa laki 5?Hao wanajeshi wenye vimisharahara vya laki 5 wanaoshia kubebwa kwenye makarandiga wana uwezo wa kupigana vita gani ?
Tatizo lako ni kuishia shule za kata hujui dunia inavyokwendaHuyu baba hanaga kazi zingine? Kwa Kenya huwaga aanaside na serikali kukandamiza wapinzani kwa Tanzania wanaside na wapinzani dhidi ya serikali. Wamerekani wanafiki sana jamani
Marekani hajawahi kuwa Rafiki wa kweli wa nchi yoyote ile ya Afrika sana sana Urafiki wao mkubwa na Waafrika ni 'Kuwachochea' tu wazidi Kuuana.Huyu baba hanaga kazi zingine? Kwa Kenya huwaga aanaside na serikali kukandamiza wapinzani kwa Tanzania wanaside na wapinzani dhidi ya serikali. Wamerekani wanafiki sana jamani
naona hasira zmeanza kupoa, saafi 😂Akili zako ni askari wa keyboard kumlinda Kwenye JF?
View attachment 1618221