Uchaguzi 2020 Balozi wa Marekani nchini Tanzania: Serikali ihakikishe usalama wa Viongozi wa Upinzani, iwaachie waliokamatwa na kurejesha mawasiliano kwa wananchi

Uchaguzi 2020 Balozi wa Marekani nchini Tanzania: Serikali ihakikishe usalama wa Viongozi wa Upinzani, iwaachie waliokamatwa na kurejesha mawasiliano kwa wananchi

Balozi huyo ameandika:

Reports of arrests of opposition leaders are extremely concerning. I urge the Government to ensure the safety and security of all opposition leaders, cease these targeted arrests, release detainees, restore telecommunications, and afford due process under the law to all citizens.

View attachment 1617807

🎵🎵🎵🎸Tanzania Tanzania nchi yenye mali nyingi, watu wengi wa ulaya wanaililia sana🎶🎼🎺🥁
- nilikuaga namsikia bimkubwa mmoja hivi akiuimba huu wimbo zaamaniiiii nikiwa hata chekechea sijaanza

Mwenye ana huu wimbo nauomba .... iwe audio, video au lyrics nitashukuru
 
Hayo unayajua wewe, sisi UVCCM tunajua huduma za maji,umeme,afya,elimu bure na miundo mbinu ya usafiri(reli,barabara na vivuko sehemu zenye maziwa kama huko ziwa Tanganyika,Nyasa na ziwa Nyanza).
Mnapiga sana majungu kwa videm vyenu, navyo vinakuja kutoa siri vikikojozwa huku. Na tutawadukua sana . Subirini tu.
 
Huu ni mwanzo Kama manji tu hakuwa na effect ndo akashughulikiwa vile ngoja aapishwe, tutegemee kina Sugu kutembelea ndala watafilisiwa wote
 
Alikuja rais Clinton wa Marekani hapa TZ. Mbona mitandao yote ya simu ilizimwa kwa masaa zaidi ya 6 huwezi kupiga simu popote. Ubalozi huu huu wa US mbona haukulalamika??? Serikali inawajibika kwa usalama na inapoona mawasiliano fulani yanaweza kuleta shida wanafunga.
sisi si nchi huru kwanini tuliruhusu beberu akatuzimia mtandao?
 
N nyie nani aliyewapandikiza akili za kuiba kura?.huyo ndo aliyewaponza
John "A"
Tundu "F"
Emu imagine darasani wanafunzi hao wawili. Mmechapwa vbaya mno na ninashukuru mnaendelea kuchapa kazi zenu kama kawaida, japo kwenye keyboard ndo pakumalizia hasira zenu mnazofundishwa na mabeberu, poleni.
 
Iv balozi wa China hana VpN au...

mbona kimya sanaa🤔🤔
 
Na unaziamini hizo pumba za TISS ya Shoga Magu fool ??
Screenshot_20201101-211726~2.png
Emu zione akili zako..
 
Balozi anakiri kuwa viongozi wa upinzani wanayo haki ya kupelekwa mahakamani kama kuna makosa wamefanya.
 
Hao wanajeshi wenye vimisharahara vya laki 5 wanaoshia kubebwa kwenye makarandiga wana uwezo wa kupigana vita gani ?
Mwanajeshi gani wa Tz analipwa laki 5?

Kama ulikuwa haujui, jua sasa

Wanajeshi wetu wanalipwa mamilion ya dollar tena na pension nzuri kuwazidi hata wabunge ndio maana wana uzalendo wa hali ya juu sana.
 
Mwambieni balozi hao viongozi wapo salama ndio mana wanahifadhiwa central police ili iwe rahisi kufuatilia nyendo zao wakati wote. [emoji125][emoji125]
 
Huyu baba hanaga kazi zingine? Kwa Kenya huwaga aanaside na serikali kukandamiza wapinzani kwa Tanzania wanaside na wapinzani dhidi ya serikali. Wamerekani wanafiki sana jamani
Tatizo lako ni kuishia shule za kata hujui dunia inavyokwenda
 
Kwani yule Prof wa jalalani, hajaongea kitu mpaka sasa??
😅ngoja aje awafokee!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Huyu baba hanaga kazi zingine? Kwa Kenya huwaga aanaside na serikali kukandamiza wapinzani kwa Tanzania wanaside na wapinzani dhidi ya serikali. Wamerekani wanafiki sana jamani
Marekani hajawahi kuwa Rafiki wa kweli wa nchi yoyote ile ya Afrika sana sana Urafiki wao mkubwa na Waafrika ni 'Kuwachochea' tu wazidi Kuuana.
 
Kwa Urafiki wa dhati kabisa kati ya Tanzania na China ningeshangaa sana kuona Marekani inapenda Tanzania kwa sasa. Na hili siyo kwetu tu angalieni / chunguzeni nchi karibia zote ambazo zimewakaribisha Wachina Kimaendeleo zimeanza Kuchukiwa na Marekani huku zikitafutiwa sababu za Kuwakandamiza kwa Kigezo cha Ubabe na Utajiri wao duniani kwa sasa. Ya Tanzania tutamalizana Watanzania wenyewe hayawahusu.
 
Back
Top Bottom