Uchaguzi 2020 Balozi wa Marekani nchini Tanzania: Serikali ihakikishe usalama wa Viongozi wa Upinzani, iwaachie waliokamatwa na kurejesha mawasiliano kwa wananchi

Baada ya miaka michache watamuelewa sana John Pombe Magufuli na mioyo itawashuhudia ubaya wao.
Muda ni mwalimu mzuri zaidi

Hajaeleweka kwa miaka mitani ya awali, ataeleweka kwa hii miaka mitano ya kuchaguliwa na vyombo vya dola? 2/3 ya watanzania hawakujitokeza kupiga kura kuonyesha kuwa hawamuelewi wala kumkubali. Na hiyo 1/3 mbali ya uchakachuaji wa wazi kabisa, bado hakupata kura zote.
 
Baada ya miaka michache watamuelewa sana John Pombe Magufuli na mioyo itawashuhudia ubaya wao.
Muda ni mwalimu mzuri zaidi
Your browser is not able to display this video.
 
Hii ni Nchi huru inayofata utawala wa Sheria...Wamarekani waheshimu maamuzi ya Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
La sivyo tutaufunga ubarozi huo

Huo wizi wa kura sidhani kama ndo utawala wa sheria ni aibu tu kwakweli huo uchaguzi usipofutwa ni sawa na mtihani ulioleak ukafumbiwa macho na kusifia watoto walivyofaulu wakati kila mtu anajuwa kuwa mtihani ulileak.
 
83% wamemuelewa hiyo 17% nao muda si mrefu watamuelewa sana
 
Ni kweli ila tuwe makini na hao wanaotuunga mkono. Uzalendo kwanza kuungana mkono badae,historia ya Marekani inafahamika kumuunga mkono Marekani ni upumbavu. Marekani ni taifa linaloishi kwa unyang'anyi.
Si Kusini wala Kaskazini, si Magharibi wala Mashariki,wote ni wanyang'anyi.
 
83% wamemuelewa hiyo 17% nao muda si mrefu watamuelewa sana
83% ya kura zilizoletwa vituoni na vyombo vya dola kuhalalisha huo ushenzi uitwao uchaguzi. Lakini 2/3 au 20m+ hawakujitokeza kabisa kushiriki huo utoto uitwao uchaguzi.
 
In additional to that , haya Jiwe kazi kwako mwana kunitafuta ,mwana kulipata
 
Mwenye hasira ni Yule aliyeiba kura alafu bado akakamata wenzie.
John "A"
Tundu "F"
Emu imagine darasani wanafunzi hao wawili. Mmechapwa vbaya mno na ninashukuru mnaendelea kuchapa kazi zenu kama kawaida, japo kwenye keyboard ndo pakumalizia hasira zenu mnazofundishwa na mabeberu, poleni.
 
83% ya kura zilizoletwa vituoni na vyombo vya dola kuhalalisha huo ushenzi uitwao uchaguzi. Lakini 2/3 au 20m+ hawakujitokeza kabisa kushiriki huo utoto uitwao uchaguzi.

83% wamechagua kwenda na rais John Pombe Magufuli

99% wamegoma kutumika kwenye maandamano ya kumtafutia Tundu na amstadam ushahidi wa kuhujumu nchi yetu
 
83% wamechagua kwenda na rais John Pombe Magufuli

99% wamegoma kutumika kwenye maandamano ya kumtafutia Tundu na amstadam ushahidi wa kuhujumu nchi yetu

Vyombo vya dola ndio vimempa hiyo 84%, lakini 2/3 ya watanzania wamepuuza huo utoto uitwao uchaguzi.
 
Vyombo vya dola ndio vimempa hiyo 84%, lakini 2/3 ya watanzania wamepuuza huo utoto uitwao uchaguzi.
Hiyo 2/3 ingemchagua Tundu kweli Jana kungekua na maandamano yasiyozuilika na sio maandamano ya kuwalipa vijana wachache wafanye uharibifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…