mayounger
JF-Expert Member
- Aug 17, 2012
- 693
- 670
Nenda marekani wakakuongoze, bweg wewHamkuti jiwe kwa ushetani. Hatuko tayari kuongozwa na wezi wa kura bora kuongozwa na wazungu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda marekani wakakuongoze, bweg wewHamkuti jiwe kwa ushetani. Hatuko tayari kuongozwa na wezi wa kura bora kuongozwa na wazungu.
Nenda marekani wakakuongoze, bweg wew
Nenda marekani wakakuongoze, bweg wew
Kuliko hasira zako?naona hasira zmeanza kupoa, saafi 😂
Baada ya miaka michache watamuelewa sana John Pombe Magufuli na mioyo itawashuhudia ubaya wao.
Muda ni mwalimu mzuri zaidi
Baada ya miaka michache watamuelewa sana John Pombe Magufuli na mioyo itawashuhudia ubaya wao.
Muda ni mwalimu mzuri zaidi
Yaani analazimisha kusonywa huyu Balozi, baadhi yetu hatupendi mambo haya ya kusonyana!!
Hii ni Nchi huru inayofata utawala wa Sheria...Wamarekani waheshimu maamuzi ya Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
La sivyo tutaufunga ubarozi huo
Hajaeleweka kwa miaka mitani ya awali, ataeleweka kwa hii miaka mitano ya kuchaguliwa na vyombo vya dola? 2/3 ya watanzania hawakujitokeza kupiga kura kuonyesha kuwa hawamuelewi wala kumkubali. Na hiyo 1/3 mbali ya uchakachuaji wa wazi kabisa, bado hakupata kura zote.
Si Kusini wala Kaskazini, si Magharibi wala Mashariki,wote ni wanyang'anyi.Ni kweli ila tuwe makini na hao wanaotuunga mkono. Uzalendo kwanza kuungana mkono badae,historia ya Marekani inafahamika kumuunga mkono Marekani ni upumbavu. Marekani ni taifa linaloishi kwa unyang'anyi.
83% ya kura zilizoletwa vituoni na vyombo vya dola kuhalalisha huo ushenzi uitwao uchaguzi. Lakini 2/3 au 20m+ hawakujitokeza kabisa kushiriki huo utoto uitwao uchaguzi.83% wamemuelewa hiyo 17% nao muda si mrefu watamuelewa sana
We jamaa chukua hii [emoji482][emoji482][emoji482][emoji482]wine[emoji482][emoji482][emoji482]Huyu balozi anafikri Tanzania ni koloni la Marekani!
John "A"
Tundu "F"
Emu imagine darasani wanafunzi hao wawili. Mmechapwa vbaya mno na ninashukuru mnaendelea kuchapa kazi zenu kama kawaida, japo kwenye keyboard ndo pakumalizia hasira zenu mnazofundishwa na mabeberu, poleni.
Nchi huru haitegemei misaadasisi si nchi huru kwanini tuliruhusu beberu akatuzimia mtandao?
83% ya kura zilizoletwa vituoni na vyombo vya dola kuhalalisha huo ushenzi uitwao uchaguzi. Lakini 2/3 au 20m+ hawakujitokeza kabisa kushiriki huo utoto uitwao uchaguzi.
83% wamechagua kwenda na rais John Pombe Magufuli
99% wamegoma kutumika kwenye maandamano ya kumtafutia Tundu na amstadam ushahidi wa kuhujumu nchi yetu
Hiyo 2/3 ingemchagua Tundu kweli Jana kungekua na maandamano yasiyozuilika na sio maandamano ya kuwalipa vijana wachache wafanye uharibifuVyombo vya dola ndio vimempa hiyo 84%, lakini 2/3 ya watanzania wamepuuza huo utoto uitwao uchaguzi.