SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,104
- 75,552
Wewe ndiye huna kazi maana unapost utopolo mchana kutwa,Chapa kazi dogo!
Wewe ndiye huna kazi maana unapost utopolo mchana kutwa,Chapa kazi dogo!
Unajuwa hili ni jambo linatakiwa kutolewa elimu na wataalamu. chanjo zote hata zile tulizochomwa na wanazochomwa watoto. wanakuchoma kama kwa kiswahili askari wa kupigana na ugonjwa antibodies. kila ugonjwa unachomwa askari wake ambao hawana madhara na mwili wako. mfano tetenus sasa ukichomwa na kitu kina kutu utapata tetenus ila hawa askari sababu umechomwa wanatambua huyu adui kaingia wanapigana naye na kumshinda kabla hujaumwa, na magonjwa yote yenye chanjo ni hivyohivyo unawekea askari kila ugonjwa wenye chanjo hao wanakulinda ukivamiwa tu wanatambua adui kwa hiyo kazi kubwa wanashinda vita kabla virus au bacteria kukudhuru. hii ina maana ugonjwa upo ila hutaumwa. Corona ni hivyohivyo tunatiwa antibodies mwilini ili virus akiingia tu askari wanamtambua na kukulinda ili usiumwe. tunajenga heard immunity.Kama chanjo haizuii kutopata corona basi kuchanja ni upuuzi mtupu.
Kwanza kuna video inazunguka mitandaoni kwamba wao wana fake sindano ya chanjo,,
Wakati wengine wakiwachoma kweli..
Bado inaleta mashaka matupu..
Lini mnampa Dada Ummy ile tuzo yenu Vijana wa Lumumba mliyomwandalia kwa kazi nzuri wakati akiwa Afya?Bavicha chapeni kazi majungu siyo mtaji!
Mimi nakushauri kuongea na wataalamu wanaojuwa nini maana ya chanjo, mitandao mizuri kujivunja lakini pia kuna mambo yanawekwa na kupotosha watu. Mimi nakupa mfano wakati UN walivyoweka chanjo za bure kwa watoto wote bure ili kuzuia vifo kwa magonjwa yenye kuzuilika kama manjano, TB, tetanus, matumbo ya kuharisha mpaka chickenpox watoto wengi haya magonjwa yalikuwa yanawauwa watoto. kwa maana mtoto anaweza kupata chickepox akaumwa sana kuna mawili akapona au akafariki, akipona mwili unakuwa umeshajenga askari hatakuja kupata tena pox sasa wanakuchoma chanjo ili mtoto akipata chickenpox wale askari wanafanya kazi kuthibiti wale wadudu ili mtoto asiumwe ni kama kuweka askari mpakani sio mpaka wamefika Kagera ndio unapeleka askari mpakani.....Kama chanjo haizuii kutopata corona basi kuchanja ni upuuzi mtupu.
Kwanza kuna video inazunguka mitandaoni kwamba wao wana fake sindano ya chanjo,,
Wakati wengine wakiwachoma kweli..
Bado inaleta mashaka matupu..
Du.....!Chanjo inaleta korona ya ajabu ajabu.....mlevi mmoja alisikika huku akipigiwa makofi
Please msiwavunjie heshima walevi, huyo ni chizi aliyesema hivyo maana walevi wanalewa tuu lakini akili zimetuliaChanjo inaleta korona ya ajabu ajabu.....mlevi mmoja alisikika huku akipigiwa makofi
Mfia chama jonibatisti tayari anasema haya majungu...wkt bosi wake kasema juzi tu hapa.. yaani dhamira zinawasuta sana MATAGAKwa uzi huu hutamuona lumumba akitia mguu maana unawatoa TKO
Alaaah! Kwani huyo balozi siyo mtanzania,?Bavicha chapeni kazi majungu siyo mtaji!
Umeonaeee?Mfia chama jonibatisti tayari anasema haya majungu...wkt bosi wake kasema juzi tu hapa.. yaani dhamira zinawasuta sana MATAGA
View attachment 1692609
Amekiuka msimamo wa nchi anaweza kutuletea corona ya ajabu-ajabu.
Kazi ipo mwaka huu.
Mkemia mkuu wenu anajua nini? Kwan hawawez kutengeneza chanjo wenyew au wanasubiria ya wanaume wenzao? Kazi kulalamika tu, au shuleni walienda kukariri madawa na kufaulu mtihan? Fikiria tenaMajungu tena hayo, Tumesema lazima tujiridhirishe kwanza na chanjo za wageni kama ni salama- Hiyo chanjo imepithibitishwa na mkemia mkuu wetu?
Hahahaha, Ila Wasomi wetu sijui wanasoma nini!! Hasa Wafamasia na Madaktari, cjui walienda kufundishwa jinsi ya kutoa mimba na kuchoma sindano, Wanapinga chanjo na hawajafanya tafiti yoyoteHawezi kufanyiwa chochote huyo balozi kati ya hivyo ulivyosema, misimamo ya nchi katika jambo la Kimataifa kama hilo haliongelewi holela holela kwenye msafara wa kutoka Chato kuja Dar, njiani, misimamo kama hiyo kama nchi inawekwa kimaandishi. Watachanjwa wengi, hata wewe na watoto wako mtachanjwa maana hata kiwanda cha bandeji hamna nchini kwenu, mnawategemea kila kitu, mtalainika tu.
Na wew njo na utafiti wko sio kukariri uliyofundishwa na huna uthibitishoUnajuwa hili ni jambo linatakiwa kutolewa elimu na wataalamu. chanjo zote hata zile tulizochomwa na wanazochomwa watoto. wanakuchoma kama kwa kiswahili askari wa kupigana na ugonjwa antibodies. kila ugonjwa unachomwa askari wake ambao hawana madhara na mwili wako. mfano tetenus sasa ukichomwa na kitu kina kutu utapata tetenus ila hawa askari sababu umechomwa wanatambua huyu adui kaingia wanapigana naye na kumshinda kabla hujaumwa, na magonjwa yote yenye chanjo ni hivyohivyo unawekea askari kila ugonjwa wenye chanjo hao wanakulinda ukivamiwa tu wanatambua adui kwa hiyo kazi kubwa wanashinda vita kabla virus au bacteria kukudhuru. hii ina maana ugonjwa upo ila hutaumwa. Corona ni hivyohivyo tunatiwa antibodies mwilini ili virus akiingia tu askari wanamtambua na kukulinda ili usiumwe. tunajenga heard immunity.
Kama sijakuelewa unaongea nini? hayo tunayofundishwa mashuleni tuna uthibitisho gani??Na wew njo na utafiti wko sio kukariri uliyofundishwa na huna uthibitisho
Na wew njo na utafiti wko sio kukariri uliyofundishwa na huna uthibitisho
Najuwa utakuwa umemaliza shule karibuni. Hivi wewe unasikia miaka hii watoto wanaumwa chickenpox, polio, measles....jiulize kwanini?Na wew njo na utafiti wko sio kukariri uliyofundishwa na huna uthibitisho
KwNajuwa utakuwa umemaliza shule karibuni. Hivi wewe unasikia miaka hii watoto wanaumwa chickenpox, polio, measles....jiulize kwanini?
Mbn swali lako halielewk?Najuwa utakuwa umemaliza shule karibuni. Hivi wewe unasikia miaka hii watoto wanaumwa chickenpox, polio, measles....jiulize kwanini?
Swali halieleweki? basi ujuwe hutaki kufikiria achana na hii topic yako mambo mengi ya kuchangia.Kw
Mbn swali lako halielewk?