Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Hii nchi imepata mkosi kwa miaka 10View attachment 1692609
Amekiuka msimamo wa nchi anaweza kutuletea corona ya ajabu-ajabu.
Kazi ipo mwaka huu.
Hii nchi imepata mkosi kwa miaka 10View attachment 1692609
Amekiuka msimamo wa nchi anaweza kutuletea corona ya ajabu-ajabu.
Kazi ipo mwaka huu.
Kwani imechanjwa Tanzania au Mtanzania,lakini bado kidogo tutaelewana.Tanzania haitaki wananchi wake wachanje, inakuwaje wachache wakiuke msimamo wa nchi?
Nani kakwambia ruzuku inatokana na wabunge,usilolijua kaa kimya au uliza ueleweshwe.Wanawake 20 wamewakimbia na kuanzisha chama chao bungeni huku nyie wakiwalisheni kwa ruzuku kwa jinsi mlivyo bamia.....vi!
Akili mbovu kama za jiwe.Nimestushwa na taarifa za Balozi wa Tanzania nchini Israel (nipeni jina) amechanjwa kinga ya UVIKO. Hii ni kinyume na msimamo wa nchi yetu.
Ninaomba WENZETU wote mlioko ughaibuni kukataa kuchanjwa. Jikingeni tu na uviko si kuchanjwa ndio mpango mzima. Huyo Balozi abaki huko huko asituletee uviko ya ajabu ajabu. Ova.
Ahsante mkuuAmbassador Job Daudi Masima
Presentation of Credentials: 15/06/2017
![]()
Mr. Job Daudi Masima, Head of Mission
Mr. Job Daudi Masima was appointed as the first Ambassador Extraordinary and Plenipotentiary of the United Republic of Tanzania to the State of Israel in January, 2017.
Copyright: Israel Ministry of Foreign Affairs
An alumnus of the University of York, United Kingdom, (Masters of Arts in Public Policy and Public Administration); and Nottingham University, United Kingdom, (Bachelor of Arts (Hons.) in Social Policy and Administration), Mr. Masima furthermore holds certificates from the Centre for Foreign Relations (CFR - Tanzania) and the Institute for Rural Development and Planning (IRDP - Tanzania).
He benefits of a long-standing experience in Public and Diplomatic services spanning over 39 years. Before appointment to the current position, he was holding the position of Accounting Officer and authorized Head as Permanent Secretary of the Ministry of Defence and National Service of the Government of the United Republic of Tanzania (March 2011 - December 2017) and had hitherto served as the Deputy Permanent Secretary, Ministry of Defence and National Service (July 2010 - March 2011).
Mr. Masima has also worked in the Prime Minister’s Office - Regional Administration - as District Administrative Office, Nzega District, Tabora Region (1979 - 1980) and Masasi District, Mtwara Region (1980 - 1983).
Thereafter he held the position of Deputy Regional Administrative Officer, Mtwara (1983 - 1985), Mbeya (1986 - 1989).
He was promoted to the position of Regional Administrative Officer Morogoro (1986 - 1989).
Later, he moved to Dar es Salaam at the Office of the President as Head of Social Services Division (1990 - 1993).
Mr. Masima again served as a Regional Administrative Officer, Mara Region (1994 - 1995) before joining the Ministry of Foreign Affairs and International Relation at Tanzania High Commission, Lusaka Zambia as Minister Counsellor (1976 - 2000) and Tanzania High Commission, Pretoria, Republic of South Africa (2000 - 2009) as Minister Plenipotentiary.
He has served as Director of Political, Defence and Security Matter at the Ministry of East African Cooperation (2009 - 2010).
Mr. Masima has been honored with a medal for long and distinguished career in the public service.
He is married with four children.
Mr. Masima is a seventeen-handicap golfer.
Wana diaspora wote msisikilize huu ushauri wa kubwa jinga. Kuanzia lini tangawizi, vitunguu swaumu na pilipili vikaua virusi?Nimestushwa na taarifa za Balozi wa Tanzania nchini Israel (nipeni jina) amechanjwa kinga ya UVIKO. Hii ni kinyume na msimamo wa nchi yetu.
Ninaomba WENZETU wote mlioko ughaibuni kukataa kuchanjwa. Jikingeni tu na uviko si kuchanjwa ndio mpango mzima. Huyo Balozi abaki huko huko asituletee uviko ya ajabu ajabu. Ova.
hunaandika sababu maalum why wakatae chanjo.Nimestushwa na taarifa za Balozi wa Tanzania nchini Israel (nipeni jina) amechanjwa kinga ya UVIKO. Hii ni kinyume na msimamo wa nchi yetu.
Ninaomba WENZETU wote mlioko ughaibuni kukataa kuchanjwa. Jikingeni tu na uviko si kuchanjwa ndio mpango mzima. Huyo Balozi abaki huko huko asituletee uviko ya ajabu ajabu. Ova.
Mitano tenaaView attachment 1692609
Amekiuka msimamo wa nchi anaweza kutuletea corona ya ajabu-ajabu.
Kazi ipo mwaka huu.
We hamnazo kabisaaa, unasema atatuletea corona za ajabu halafu unasema arejeshwe nyumbaniView attachment 1692609
Amekiuka msimamo wa nchi anaweza kutuletea corona ya ajabu-ajabu.
Kazi ipo mwaka huu.
We hamnazo maana akirejeshwa anakuja kutuambukiza, abaki hukohuko asije tena tzView attachment 1692609
Amekiuka msimamo wa nchi anaweza kutuletea corona ya ajabu-ajabu.
Kazi ipo mwaka huu.
Nilidhani afya ya mtu ni mali yake mwenyewe....................Ok now I knowView attachment 1692609
Amekiuka msimamo wa nchi anaweza kutuletea corona ya ajabu-ajabu.
Kazi ipo mwaka huu.
Majungu tena hayo, Tumesema lazima tujiridhirishe kwanza na chanjo za wageni kama ni salama- Hiyo chanjo imepithibitishwa na mkemia mkuu wetu?Bavicha chapeni kazi majungu siyo mtaji!
Mkemia yupi ?! Mbona mlimpiga chini kisa papai na kondoo kuwa positive na negative !!Majungu tena hayo, Tumesema lazima tujiridhirishe kwanza na chanjo za wageni kama ni salama- Hiyo chanjo imepithibitishwa na mkemia mkuu wetu?
Tunaomba uhakika kama karudishwa kweli, na kwa sababu ya chanjo. Ikiwa kweli basi sio majungu hayo, ila ni kukemea ujinga na uzembe.Bavicha chapeni kazi majungu siyo mtaji!
Majinga ya CCM kitu ambacho hayajui ni kwamba nchi za nje zitawachanja watu wao hapahapa Magufuli akiangalia hasa wafanyakazi wa Balozi zao ambao ndo peke yao wanavaa barakoa ili wasipeleke Covid-19 kwao kwa waliochanjwa wote pamoja na Wabongo wanaoishi huko. Juhudi ingefanywa wafukizwe wageni wote wasituletee balaa la chanjo!Si kachanjwa huko aliko tatizo nini!
Bavicha chapeni kazi majungu siyo mtaji!
Majinga ya CCM kitu ambacho hayajui ni kuwa nchi za nje zitachanja watu wao hapahapa Magufuli akiona hasa wafanyakazi wa Balozi zao ambao ndo pekee yao wanavaa barakoa ili wasipeleke Covid-19 kwao kuwa waliochanjwa wote pamoja na Wabongo wanaoishi huko. Juhudi ingefanywa wafukizwe wageni wote kabla