Balozi wa Tanzania aliyechanjwa Corona Israel arejeshwe nyumbani mara moja

Balozi wa Tanzania aliyechanjwa Corona Israel arejeshwe nyumbani mara moja

Balozi Kairuki nae atakubali kupimwa kile kipimio cha kichina?
 
Bavicha chapeni kazi majungu siyo mtaji!
Hakuna majungu ila kwa mwenye macho haambiwi tazama,na mwenye masikio haambiwi sikia hata mwenye akili haambiwi elewa,ila majibu ya vijembe yanapatikana.
 
View attachment 1692609

Amekiuka msimamo wa nchi anaweza kutuletea corona ya ajabu-ajabu.

Kazi ipo mwaka huu.
Naona watawala ktk hili hawaambiliki kabisa. Basi Bunge kupitia hati ya dharira ilete mswada wa sheria bungeni ili iipendekezwe sheria itakayozuia watu kuvaa barakoa hadharani ama watu kuchanjwa endapo watawala hawatamka rasmi uwepo wa gonjwa hili na mengine ya kuambukiza kwa njia ya hewa.
 
Tupo kwenye enzi za ujinga tuwe makini.
Iko hivi,mataifa Yana mifumo na mifumo yao ni zaidi ya yeyote.umewahi sikia kiongozi mkuu anashitakiwa ,Bila kujali yupo madarakani au la,ila kwa Afrika zaidi ya S.Afrika ,na Kenya ,kidogo Malawi na Pengine Zambi na Ghana,sijui kwingine Afrika labda Mimi tu.
 
Nimestushwa na taarifa za Balozi wa Tanzania nchini Israel (nipeni jina) amechanjwa kinga ya UVIKO. Hii ni kinyume na msimamo wa nchi yetu.

Ninaomba WENZETU wote mlioko ughaibuni kukataa kuchanjwa. Jikingeni tu na uviko si kuchanjwa ndio mpango mzima. Huyo Balozi abaki huko huko asituletee uviko ya ajabu ajabu. Ova.
 
Ambassador Job Daudi Masima
Presentation of Credentials: 15/06/2017
Mr. Job Daudi Masima, Head of Mission

Mr. Job Daudi Masima, Head of Mission
Copyright: Israel Ministry of Foreign Affairs
Mr. Job Daudi Masima was appointed as the first Ambassador Extraordinary and Plenipotentiary of the United Republic of Tanzania to the State of Israel in January, 2017.

An alumnus of the University of York, United Kingdom, (Masters of Arts in Public Policy and Public Administration); and Nottingham University, United Kingdom, (Bachelor of Arts (Hons.) in Social Policy and Administration), Mr. Masima furthermore holds certificates from the Centre for Foreign Relations (CFR - Tanzania) and the Institute for Rural Development and Planning (IRDP - Tanzania).

He benefits of a long-standing experience in Public and Diplomatic services spanning over 39 years. Before appointment to the current position, he was holding the position of Accounting Officer and authorized Head as Permanent Secretary of the Ministry of Defence and National Service of the Government of the United Republic of Tanzania (March 2011 - December 2017) and had hitherto served as the Deputy Permanent Secretary, Ministry of Defence and National Service (July 2010 - March 2011).

Mr. Masima has also worked in the Prime Minister’s Office - Regional Administration - as District Administrative Office, Nzega District, Tabora Region (1979 - 1980) and Masasi District, Mtwara Region (1980 - 1983).

Thereafter he held the position of Deputy Regional Administrative Officer, Mtwara (1983 - 1985), Mbeya (1986 - 1989).

He was promoted to the position of Regional Administrative Officer Morogoro (1986 - 1989).

Later, he moved to Dar es Salaam at the Office of the President as Head of Social Services Division (1990 - 1993).

Mr. Masima again served as a Regional Administrative Officer, Mara Region (1994 - 1995) before joining the Ministry of Foreign Affairs and International Relation at Tanzania High Commission, Lusaka Zambia as Minister Counsellor (1976 - 2000) and Tanzania High Commission, Pretoria, Republic of South Africa (2000 - 2009) as Minister Plenipotentiary.

He has served as Director of Political, Defence and Security Matter at the Ministry of East African Cooperation (2009 - 2010).

Mr. Masima has been honored with a medal for long and distinguished career in the public service.

He is married with four children.

Mr. Masima is a seventeen-handicap golfer.
 
Chanjo ya COVID haitokwepeka. Itakuja kuwa ya lazima kwa yeyote anayetaka kuvuka mipaka ya Jamhuri ya Muungano.

Kama wewe ni mzee wa kupanda Yutong tu, ile chanjo haitokuhusu. Ni kama sasa hivi ilivyo chanjo ya Yellow Fever
 
These are Highlights of the Attached Order, translated for Informational Purpose ONLY.
1. If in a radius of 100mtrs, there are more than 20 Active Covid-19 positive cases.
2. Local authorities to decide on the perimeter of the Containment Zone.
3. For a single Home Isolation case or Admitted to Hospital/CCC, would not be declared a Containment Zone.
4. In case of one or two positive cases, Neighbors/RWA to be informed. Primary Contacts to be traced and Home Quarantined. No sticking of Notice, No hard barricading and no Hand Stamping.
5. 200mtrs Radius around a Containment Zone to be defined as Buffer Zone.
6. 14 days since the reported case, if there are less than 20 Active cases, the containment Zone can return to normal, based on local authorities assessment.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Kwan ukichanja lazima utangaze?
Hakina Magufuli wapo wengi duniani sio Tanzania au watu weusi pekee ndio wanamitazamo hasi.

Kuna wazungu pia wanaamini chanjo zina side effect especially baada ya video iliyo trend ya nurse kuanguka muda mfupi baada kupigwa chanjo mbele ya camera. Apparently watu wana respond tofauti unatakiwa utulie 15 minutes baada ya chanjo.

Unapoona watu kama kina Biden, medical proffesionals na watu maarufu wengine wanapokubali kuchanjwa mbele ya camera au kupost kwenye social media zao ni assurance tactic to the public the vaccine is safe wasiogopeshwe, but then that is for their national audience.

Sie tumekataa chanjo.
 
Back
Top Bottom