Balozi wa Tanzania aliyechanjwa Corona Israel arejeshwe nyumbani mara moja

Balozi wa Tanzania aliyechanjwa Corona Israel arejeshwe nyumbani mara moja

View attachment 1692609

Amekiuka msimamo wa nchi anaweza kutuletea corona ya ajabu-ajabu.

Kazi ipo mwaka huu.
Nchi ya Tanzania kwa mahali ilipofikia ni point of no return kwenye misingi ya muasisi wa taifa hili.
Haina tena tofauti na nchi jirani zetu waliopigana wenyewe kwa wenyewe mfano Burundi DRC, Rwanda na Sudan.
Taifa limevimba kufikia kiwango cha kupasuka tu sii suala tena la muda bali ni suala la linapasukia wapi.
 
Na wewe mwenyewe pia.
Mlinzi no 1 wa maisha yako ni wewe mwenyewe.
Ukiona moto unakuja kwa kasi usisubiri tamko la serikali.
Kabila alisema hivi - kama huchukui tahadhari- kaburi, lakini hata wakifa 10,000 na zaidi, serikali haifi!
 
Tanzania haitaki wananchi wake wachanje, inakuwaje wachache wakiuke msimamo wa nchi?
Nani kasema Tanzania wanainchi wake hawataki kuchanjwa wewe, nenda shule ukaelimike kwanza, uondoe ujinga ...... sio unapiga piga kelele
 
Back
Top Bottom