Balozi wa Tanzania aliyechanjwa Corona Israel arejeshwe nyumbani mara moja

Balozi wa Tanzania aliyechanjwa Corona Israel arejeshwe nyumbani mara moja

Magufuli ametuambia mtanzania akichanjwa huko nje ya nchi akirejea Tanzania atatulea macorona ya ajabu ajabu!
Pole sana bro, sio kila unachoambiwa na mtu kiko kama kilivyo, pata muda wa kukitafakari na kuchuja....
 
Mnaanza UJINGA wa kiwango cha ujima.
Akichanjwa wewe unadhurika nini kama Taifa?
Wanaanza kuokoteza vihabari. Wamekuwa Kama wanawake malaya wanaozunguka kutafutiza umbea. Kuna mwenzake Anaitwa Salry Slp huwa anazungukia Twitter za watu wote duniani kutafuta chokochoko za kuleta Jamii Forums.
 
Hoja hapa ni kuwa balozi wa Tanzania nchini Israel kapewa chanjo ya Covid kinyume na msimamo rasmi wa serikali ya Tanzania uliotolewa na rais wa Tanzania wa kuzikataa chanjo za Covid na kuziponda vikali.

Nini kauli ya serikali kumuhusu huyo balozi?
Kwanini asichukuliwe hatua?
Kwanini asifukuzwe?
Kwanini asijiuzuru?
 
Huyu balozi ataitwa nyumbani muda si mrefu subirini muone.
 
Hiyo chanjo Tz pia ipokee anayetaka achanjwe asiyetaka asichanjwe full stop,

Watu wanachanja Hepatitis B, why not Corona? Ipokee watu wachanjwe ikibidi kwa pesa kiasi,
 
Hoja hapa ni kuwa balozi wa Tanzania nchini Israel kapewa chanjo ya Covid kinyume na msimamo rasmi wa serikali ya Tanzania uliotolewa na rais wa Tanzania wa kuzikataa chanjo za Covid na kuziponda vikali.

Nini kauli ya serikali kumuhusu huyo balozi?
Kwanini asichukuliwe hatua?
Kwanini asifukuzwe?
Kwanini asijiuzuru?
Usimwingize Rais Magufuli katika ujunga wenu kimataifa.
 
Wewe jali familia yako na maisha yako!! ujinga ujinga wa siasa watu kwenye familia yako watakufa na wanasiasa hata hawakujui wala kukujali hivyo!. Wengine tunachangia rambirambi kila siku wewe unaweka siasa
weka na wewe siasa kama unaona nafaidi
 
Mnaanza UJINGA wa kiwango cha ujima.
Akichanjwa wewe unadhurika nini kama Taifa?
Inaonekana wewe ndio hujamuelewa mleta hoja!!huoni kuwa ameiandika kwa kumzodoa meko?kuwa anakataa chanjo lakini mbona wawakirishi wake wameshaanza kuipata, ?!!na anaposema ndio wanatuletea mikorona ya ajabu ajabu??unafikiria hata balozi wa Tanzania huko, UK, USA, UN, watakuwa hawapigihwa chanjo?!!tunatiana ujinga tu lakini chanjo hii haikwepeki kwa kila mtu mwenye uwezo wa kuipata
 
Huu si msimamo wa Tanzania ni msimamo wa JIWE binafsi
 
Back
Top Bottom