one by one
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 5,835
- 9,330
Unajuwa lazima lina njia nyingi kulielewa, nchi nyingi sehemu za kazi imeanza kuwa lazima wakiwapa chanjo watu wengi itakuwa ili uende kazini lazima umechanjwa. UAE wameanza hujaenda kuchanjwa itakubidi kila wiki upime corona kwa gharama zako mpaka uchanjwe ukiwa umechanjwa unaingia kazini no issues. kwa maana nyingine utaenda mwenyewe kuchanjwa.Swali
La kujiuliza: Je alitakiwa kuchanjwa au yeye mwenyewe alijipeleka kwenda kuchanjwa? Hata ulaya hawachanjwi kwa lazima!