Balozi wa Tanzania aliyechanjwa Corona Israel arejeshwe nyumbani mara moja

Kama chanjo haizuii kutopata corona basi kuchanja ni upuuzi mtupu.

Kwanza kuna video inazunguka mitandaoni kwamba wao wana fake sindano ya chanjo,,

Wakati wengine wakiwachoma kweli..

Bado inaleta mashaka matupu..
Unajuwa hili ni jambo linatakiwa kutolewa elimu na wataalamu. chanjo zote hata zile tulizochomwa na wanazochomwa watoto. wanakuchoma kama kwa kiswahili askari wa kupigana na ugonjwa antibodies. kila ugonjwa unachomwa askari wake ambao hawana madhara na mwili wako. mfano tetenus sasa ukichomwa na kitu kina kutu utapata tetenus ila hawa askari sababu umechomwa wanatambua huyu adui kaingia wanapigana naye na kumshinda kabla hujaumwa, na magonjwa yote yenye chanjo ni hivyohivyo unawekea askari kila ugonjwa wenye chanjo hao wanakulinda ukivamiwa tu wanatambua adui kwa hiyo kazi kubwa wanashinda vita kabla virus au bacteria kukudhuru. hii ina maana ugonjwa upo ila hutaumwa. Corona ni hivyohivyo tunatiwa antibodies mwilini ili virus akiingia tu askari wanamtambua na kukulinda ili usiumwe. tunajenga heard immunity.
 
Kama chanjo haizuii kutopata corona basi kuchanja ni upuuzi mtupu.

Kwanza kuna video inazunguka mitandaoni kwamba wao wana fake sindano ya chanjo,,

Wakati wengine wakiwachoma kweli..

Bado inaleta mashaka matupu..
Mimi nakushauri kuongea na wataalamu wanaojuwa nini maana ya chanjo, mitandao mizuri kujivunja lakini pia kuna mambo yanawekwa na kupotosha watu. Mimi nakupa mfano wakati UN walivyoweka chanjo za bure kwa watoto wote bure ili kuzuia vifo kwa magonjwa yenye kuzuilika kama manjano, TB, tetanus, matumbo ya kuharisha mpaka chickenpox watoto wengi haya magonjwa yalikuwa yanawauwa watoto. kwa maana mtoto anaweza kupata chickepox akaumwa sana kuna mawili akapona au akafariki, akipona mwili unakuwa umeshajenga askari hatakuja kupata tena pox sasa wanakuchoma chanjo ili mtoto akipata chickenpox wale askari wanafanya kazi kuthibiti wale wadudu ili mtoto asiumwe ni kama kuweka askari mpakani sio mpaka wamefika Kagera ndio unapeleka askari mpakani.....
 
Majungu tena hayo, Tumesema lazima tujiridhirishe kwanza na chanjo za wageni kama ni salama- Hiyo chanjo imepithibitishwa na mkemia mkuu wetu?
Mkemia mkuu wenu anajua nini? Kwan hawawez kutengeneza chanjo wenyew au wanasubiria ya wanaume wenzao? Kazi kulalamika tu, au shuleni walienda kukariri madawa na kufaulu mtihan? Fikiria tena
 
Hahahaha, Ila Wasomi wetu sijui wanasoma nini!! Hasa Wafamasia na Madaktari, cjui walienda kufundishwa jinsi ya kutoa mimba na kuchoma sindano, Wanapinga chanjo na hawajafanya tafiti yoyote
 
Na wew njo na utafiti wko sio kukariri uliyofundishwa na huna uthibitisho
 
Madaktari wetu fanyeni tafiti kuhusu korona, kwn huko mlienda kufundishwa kuchoma sindano?
 
Tume ya uchaguzi iweke kipengele cha Mgombea Urais asiwe amechanjwa chanjo ya Corona kudhibiti Wakala wa Mabeberu aliepo Ubelgiji hapo 2025 panapo majaaliwa
 
Najuwa utakuwa umemaliza shule karibuni. Hivi wewe unasikia miaka hii watoto wanaumwa chickenpox, polio, measles....jiulize kwanini?
Kw
Najuwa utakuwa umemaliza shule karibuni. Hivi wewe unasikia miaka hii watoto wanaumwa chickenpox, polio, measles....jiulize kwanini?
Mbn swali lako halielewk?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…