Balozi wa Tanzania nchini Malawi ataacha lini utoto?

Mkuu usimchukie mtu hadi ukawa unachunguza vitu vidogo vidogo kama hivyo ili kuaminisha jamii kuwa huyo mtu hafai. Polepole ni mtu makini sana. Hata hicho chama chake hafai kuwa huko. Kila mtu anapenda burdani na kwa wathifa uliyonao burdani yako inatakiwa uifanye aehemu maalum.
 
Kaka pembe, nadhani uko sahihi some where ila ukuyafafanua vizuri. Hao uliwataja na wengine wengi ndani ya CHAMA letu, CCM, niwachumia tumbo tu. Ngoja twende and come 2024 na 2025 utaona mambo na hii picha wazi wazi! Tuombe uhai tu kwa Mungu, Yehova.
Mungu atatusaidia mkuu, tutafika tu hata ikitokea hatukufika mawazo yetu yatafika. 2024 sio mbali.
 
Haiba ya uongozi ikoje.?
 
Tatizo ni kuwa umekariri
Huwezi kubadili tabia ya mtu, kiongozi hapimwi kwa lifestyle aliyonayo ndani ya maisha yake binafsi, bali ni uwezo wake wa kukamilisha task anazopewa
 
National cake [emoji513] inatafunwa vizuri,, anauhakika na cake [emoji513]
 
Mabalozi na wabunge miaka ya nyuma walikuwa ni Watu wanaheshimika Sana .lakini saiv hadhi zao zimeshuka Sana, ila value Yao imeshuka.Jamii pia zinawadharau ..zamani ukisikia balozi Kweli MTU mwenye heshima zake.
 
Tatizo ni kuwa umekariri
Huwezi kubadili tabia ya mtu, kiongozi hapimwi kwa lifestyle aliyonayo ndani ya maisha yake binafsi, bali ni uwezo wake wa kukamilisha task anazopewa
Hilo huwezi ukalielewa kama hujafikia level hiyo!!ndio maana sio kila mtumishi wa serikali ana kula kiapo cha maadili.huo ndio utaratibu ulipo hayo mengine ni mtizamo wako.
 

Hata yeye ana maisha yake nje ya ubalozi, let him live.

Usigeuze hizo nafasi za uteuzi zionekane ni kamba za kuwazuia watu kuishi watakavyo.
Usipambanie jambo lisilo kichwa wala MIGUU... leo hata maisha ya Kawaida mtu akioa anatakiwa kubehave tofauti, mtu akiwa mzazi mbele ya watoto kuna mambo hawezi kuyafanya vivyo hivyo kwake kwa nafasi yake!!!!!

Mbona jambo jepesi KUELEWA SHIDA NINI???? Leo ukitumikia nafasi flan za utumishi wa umma huwezi kuonesha itikadi yako ya kisiasa kindakindaki kama kuvaa sare za chama na mfano wake!!!!

Ndiyo maana MLETA MADA AMEAFANUA VIZURI BALOZI WETU mambo anayoyafanya hayaendani na nafasi yake.....
 
Hilo huwezi ukalielewa kama hujafikia level hiyo!!ndio maana sio kila mtumishi wa serikali ana kula kiapo cha maadili.huo ndio utaratibu ulipo hayo mengine ni mtizamo wako.
Kwa iyo huyo Polepole hawakujua mambo yake anawekaga public mpaka wakampa ubalozi.?

USIKARIRI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…