Balozi wa Tanzania nchini Malawi ataacha lini utoto?

Na sikumtaja kwa jina bali kwa cheo chake.. Nilichogundua hapa wengi hawaelewi nini maana ya kuwa kiongozi hasa kwenye nafasi nyeti kama ya balozi
 
Hii ni 21 st century bro!hizi. Ni zama Internet,social platform,AL,internet of things,Apps,ukianza kufikiri kama wazee wa enzi za Mwalimu,na kuangalia mambo kupitia macho ya watu walioishi miaka 80!wakati hakuna hata mobile phone,utakuwa unachemka,
Watu wanaoona Pole pole kakosea ni wale wenye 45+chini ya hapo alichokifanya ni chakawaida kabisa,
Don't overthink these things,yaangalie haya mambo kwa macho ya vijana wenye 16+ndio utaelewa hii Dunia ya leo.
Dunia ya leo,Binti yako mwenye 16+anaweza kuja chumbani kwako,amevaa kikaptura aka Kaa kitandani anaomba hela ya kununulia smasung galaxy!!zamani hii ilikuwa uchuro!!!
 
Acha utoto na punguza wivu, pia usijikute u mkalifu
Naamini wewe nybom ni mtu mzima. Nafahamuvyo, uonhozi una maadili na ukiwa kiongozi lazima ufuate maadili. Sio sahihi kwa kiongozi kunengua, kujirekodi na kutuma video mtandaoni. Zamani kulikuwa na kumbi, Mabwalo au mess za viongozi. Humo watakaa wao, lewa na cheza muziki wao na sio kuingiliana na jamii.

Kwahili, polepole amepotoka. Sasa ni mwakilishi wa nchi. Yeye ni taswira ya Tanzania. Midhaa na kucheza cheza/kucheka cheka anamaanisha ni watanzania tupo hivyo.
 
Wacha weeeee, hakuna 21st century bila maadili bwana mdogo. Pia naona umeshindwa kutofautisha kati ya Polepole na Balozi. Anayeongelewa hapa sio Polepole ila ni balozi. Kiongozi anatakiwa awe na maadili kama kiongozi. Ushawishi ona hao wenye 21st century wenyewe wanafanya hivyo? Ushawahi mzima Balozi wa USA nchini Urusi au Afghanistan anafanya hivyo bwana mdogo?
 
Huyu hapa balozi wa USA tz akiself na mahindi barabarani.
 
Polepole ana ushamba na ubwege
Ana
 
Kwani ukiwa Balozi hutuhusiwi kufurahi au kucheza mbona
 
Balozi mteule unaposhinda mitandaoni na kufanya vituko wanavyofanya wadogo zetu huko mitandaoni ni wazi kabisa huyo anakuwa hajitambui ama kakua kiumri na kimwili lakini sio kiakili.
Nahisi wewe no follower wake, sababu ulizoainisha za kumuzuia kuingia mitandaoni bado hazitoshi, boresha kidogo
 
Kwani ukiwa Balozi hutuhusiwi kufurahi au kucheza mbona
Mimi nitakapo kuwa Rais, nitakuwa najumuika na kucheza sindimba, mbona Zuma alikuwan hapitwi na Umhlanga REED dance na hawakusema?, ni wivu tuuuuuuuuuu unawasumbua
 
Kwanza kujirekodi ni tabia za mademu, haijarishi ni balozi au bodaboda.

Kuna kikundi kinamtetea kwa nguvu zote hapa.. [emoji23] ama kweli ndege wafanano huruka pamoja..
Hata kufungua nyuzi kuhusu maisha binafsi ya wanaume ni tabia za mademu.
 
Kina obama, Trump, january makamba, kigwangala, mnyika, fatma karume, Boris johnson n.k wanakesha huko twita pia,. Binafsi sioni shifa yoyote kama majukumu yao wanayatekeleza ipasavyo hiyo ni personal life yao

Dunia siku hizi ipo huko muache awe huko unless mna matatizo binafsi, vizuri kujadili personal issues
 
Kwani kuna kosa gani umeliona hapo?...
Mnataka viongozi wanaovaa suti huku wakiigiza wema kumbe wahuni tu.

Mmezoea kuishi kimaigizo ndio maana mmeumia kwa alichofanya Humphrey.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…