Balozi wa Tanzania nchini Malawi ataacha lini utoto?

Kuna hali mbili au tatu kwenye makuzi
Kukua kimwili
Kukua kiakili
Kukua kimwili na kiakili
Kuna kukua kiroho pia lakini huku huambata na akili, huwezi kukua kiroho huku akili ikiwa ni ya kitoto

Makuzi ya kawaida ni kuwa na uwiano sawa wa kukua kimwili na kiakili.. Hapa kimwili namaanisha kiumri... Unaposikia fulani ana mambo ya kitoto tambua huyo umri umeenda lakini matendo yake kiakili ni sawa na ya mtoto wa umri fulani
Ama ukisikia ana mambo ya kikubwa yaani umrí ni mdogo lakini anayofanya yalipaswa kufanywa na mtu wa umri fulani kumzidi

Kuna shida kubwa huko kwenye vetting ya viongozi mbalimbali huko chama chawala..hasa viongozi hawa wa kisiasa.. Wengi hawateuliwi kutokana na weledi maarifa, ujuzi na umahiri bali huteuliwa kama asante ama kwa sababu fulani isiyo na tija kwa taifa

Nafasi zinazolalamikiwa sana kwa sasa ni nafasi za uwakilishi wa nchi mbalimbali cheo cha balozi.. Wateuliwa wengi hawajui ukubwa, umuhimu na weledi wa hii nafasi.. Wengi wao wanadhani balozi wa nchi ni sawa na balozi wa nyumba kumi

Balozi ni mwakilishi wa nchi pale alipo.. Ana mamlaka kamili na makubwa ya kusimama badala ya mkuu wa nchi..hivyo matendo yake, lugha yake, life style yake ni lazima iendane na nafasi anayoshikilia

Balozi mteule unaposhinda mitandaoni na kufanya vituko wanavyofanya wadogo zetu huko mitandaoni ni wazi kabisa huyo anakuwa hajitambui ama kakua kiumri na kimwili lakini sio kiakili....

Enzi za mwalimu kufanya vituko kama hivi ni automatically umejivua cheo husika hata kabla Mwalimu hajasema
Hebu ona hiki anachofanya huyu barozi wa walawi hapa ..!View attachment 2231544
Nafikr ktk uongozi, ni jinsi mtu anavyoichukulia nafas hyo.UKITAKA IWE KUBWA ZAID YA NYUMBA ITAKUWA.

Nafikr kila mtu anahak kuwa nafuraha ila hal haivunji sheria ya nchi.NAFIKR PIA NATUFUNDISHA MAISHA NI AKIL WALA SI NGUVU NYING ZINAHITAJIKA.

Nafikri hakuna taabu yoyote kwa kiongozi kucheza muzik,ila utofauti unakuja wanaoangalia wanamtizamo gani, tukisema tuzuie hil bas hata katika makongamano ya SIASA wasiwepo wasanii...TUNAFAHAM MUZIK NI SANAA PIA NI FASIHI NA LENGO NI KUBURUDISHA.

BALOZI,ENDELEA
 
Kichwa cha habari kina utata. Mimi nilidhani ni Balozi wa Malawi nchini Tanzania; kumbe ni the reverse
 
Personal life mnaanza kuingilia, cha msingi kazi anafanya
Ni kweli lakini anatakiwa sasa vitu personal asiviweke public, ndiyo kosa analofanya. Watu tunazihitaji hizi nafasi na tunapomuona anafanya huu utoto tunajua hayuko serious na kazi. Next time naweza nikawa prompted kuiomba kazi yake; yaani kuziambia mamlaka za uteuzi kuwa possibly mimi ninafaa zaidi katika nafasi hiyo kuliko yeye
 
Kuna hali mbili au tatu kwenye makuzi
Kukua kimwili
Kukua kiakili
Kukua kimwili na kiakili
Kuna kukua kiroho pia lakini huku huambata na akili, huwezi kukua kiroho huku akili ikiwa ni ya kitoto

Makuzi ya kawaida ni kuwa na uwiano sawa wa kukua kimwili na kiakili.. Hapa kimwili namaanisha kiumri... Unaposikia fulani ana mambo ya kitoto tambua huyo umri umeenda lakini matendo yake kiakili ni sawa na ya mtoto wa umri fulani
Ama ukisikia ana mambo ya kikubwa yaani umrí ni mdogo lakini anayofanya yalipaswa kufanywa na mtu wa umri fulani kumzidi

Kuna shida kubwa huko kwenye vetting ya viongozi mbalimbali huko chama chawala..hasa viongozi hawa wa kisiasa.. Wengi hawateuliwi kutokana na weledi maarifa, ujuzi na umahiri bali huteuliwa kama asante ama kwa sababu fulani isiyo na tija kwa taifa

Nafasi zinazolalamikiwa sana kwa sasa ni nafasi za uwakilishi wa nchi mbalimbali cheo cha balozi.. Wateuliwa wengi hawajui ukubwa, umuhimu na weledi wa hii nafasi.. Wengi wao wanadhani balozi wa nchi ni sawa na balozi wa nyumba kumi

Balozi ni mwakilishi wa nchi pale alipo.. Ana mamlaka kamili na makubwa ya kusimama badala ya mkuu wa nchi..hivyo matendo yake, lugha yake, life style yake ni lazima iendane na nafasi anayoshikilia

Balozi mteule unaposhinda mitandaoni na kufanya vituko wanavyofanya wadogo zetu huko mitandaoni ni wazi kabisa huyo anakuwa hajitambui ama kakua kiumri na kimwili lakini sio kiakili....

Enzi za mwalimu kufanya vituko kama hivi ni automatically umejivua cheo husika hata kabla Mwalimu hajasema
Hebu ona hiki anachofanya huyu barozi wa walawi hapa ..!View attachment 2231544
Sasa ukimshangaa huyu Kigwaks utamuweka kwenye kundi gani!!?
 
Hapo ni sheria na kanuni ipi kaivunja? Maisha mafupi haya mnayachukulia serious sana...mwache bwamdogo bwana[emoji3]
Haya sawa [emoji23] ngoja tumwache
 
Povu lote hilo sababu ya Furaha ya Mwingine [emoji119]
Mlimcheka na Kumdhihaki baada ya Kifo cha Magufuli, mkatamani adhalilike lakini Mungu amemuokoa na sasa anafurahi Maisha yake lakini bado mwaumia,

Ninyi ndio mna Sonona na Kaswende za Ubongo.
 
Hiyo video clip alijirekodi zamani akiwa Mbunge kabla hata hajawa Balozi, hiyo ni mosi.

Pili; hiyo video clip ni ya kawaida, haijavunja sheria wala katiba wala utamaduni wetu.

Tatu; yeye pia ni mwanadamu ana haki ya kufurahia maisha, na as long as siyo kosa na haiathiri majukumu na utendaji kazi wake, hakuna shida.

Mwisho; punguza roho mbaya na wivu, havitakufikisha popote.
 
Kuna hali mbili au tatu kwenye makuzi
Kukua kimwili
Kukua kiakili
Kukua kimwili na kiakili
Kuna kukua kiroho pia lakini huku huambata na akili, huwezi kukua kiroho huku akili ikiwa ni ya kitoto

Makuzi ya kawaida ni kuwa na uwiano sawa wa kukua kimwili na kiakili.. Hapa kimwili namaanisha kiumri... Unaposikia fulani ana mambo ya kitoto tambua huyo umri umeenda lakini matendo yake kiakili ni sawa na ya mtoto wa umri fulani
Ama ukisikia ana mambo ya kikubwa yaani umrí ni mdogo lakini anayofanya yalipaswa kufanywa na mtu wa umri fulani kumzidi

Kuna shida kubwa huko kwenye vetting ya viongozi mbalimbali huko chama chawala..hasa viongozi hawa wa kisiasa.. Wengi hawateuliwi kutokana na weledi maarifa, ujuzi na umahiri bali huteuliwa kama asante ama kwa sababu fulani isiyo na tija kwa taifa

Nafasi zinazolalamikiwa sana kwa sasa ni nafasi za uwakilishi wa nchi mbalimbali cheo cha balozi.. Wateuliwa wengi hawajui ukubwa, umuhimu na weledi wa hii nafasi.. Wengi wao wanadhani balozi wa nchi ni sawa na balozi wa nyumba kumi

Balozi ni mwakilishi wa nchi pale alipo.. Ana mamlaka kamili na makubwa ya kusimama badala ya mkuu wa nchi..hivyo matendo yake, lugha yake, life style yake ni lazima iendane na nafasi anayoshikilia

Balozi mteule unaposhinda mitandaoni na kufanya vituko wanavyofanya wadogo zetu huko mitandaoni ni wazi kabisa huyo anakuwa hajitambui ama kakua kiumri na kimwili lakini sio kiakili....

Enzi za mwalimu kufanya vituko kama hivi ni automatically umejivua cheo husika hata kabla Mwalimu hajasema
Hebu ona hiki anachofanya huyu barozi wa walawi hapa ..!View attachment 2231544
Kwani hapo ni siku ya kazi au muda wa kazi?
Nahisi kuna wengine wanafanya hivyo bila matangazo.
Kwa hiyo kelele zile za shule ya uongozi ni kutaka kupata nafasi ya kufanya hayo, jikoni ambapo ni hatari kucheza muziki?
Au hii ni kabla ya kwenda Malawi?
 
Kuna
Kuna hali mbili au tatu kwenye makuzi
Kukua kimwili
Kukua kiakili
Kukua kimwili na kiakili
Kuna kukua kiroho pia lakini huku huambata na akili, huwezi kukua kiroho huku akili ikiwa ni ya kitoto

Makuzi ya kawaida ni kuwa na uwiano sawa wa kukua kimwili na kiakili.. Hapa kimwili namaanisha kiumri... Unaposikia fulani ana mambo ya kitoto tambua huyo umri umeenda lakini matendo yake kiakili ni sawa na ya mtoto wa umri fulani
Ama ukisikia ana mambo ya kikubwa yaani umrí ni mdogo lakini anayofanya yalipaswa kufanywa na mtu wa umri fulani kumzidi

Kuna shida kubwa huko kwenye vetting ya viongozi mbalimbali huko chama chawala..hasa viongozi hawa wa kisiasa.. Wengi hawateuliwi kutokana na weledi maarifa, ujuzi na umahiri bali huteuliwa kama asante ama kwa sababu fulani isiyo na tija kwa taifa

Nafasi zinazolalamikiwa sana kwa sasa ni nafasi za uwakilishi wa nchi mbalimbali cheo cha balozi.. Wateuliwa wengi hawajui ukubwa, umuhimu na weledi wa hii nafasi.. Wengi wao wanadhani balozi wa nchi ni sawa na balozi wa nyumba kumi

Balozi ni mwakilishi wa nchi pale alipo.. Ana mamlaka kamili na makubwa ya kusimama badala ya mkuu wa nchi..hivyo matendo yake, lugha yake, life style yake ni lazima iendane na nafasi anayoshikilia

Balozi mteule unaposhinda mitandaoni na kufanya vituko wanavyofanya wadogo zetu huko mitandaoni ni wazi kabisa huyo anakuwa hajitambui ama kakua kiumri na kimwili lakini sio kiakili....

Enzi za mwalimu kufanya vituko kama hivi ni automatically umejivua cheo husika hata kabla Mwalimu hajasema
Hebu ona hiki anachofanya huyu barozi wa walawi hapa ..!View attachment 2231544
Kuna mambo mawili au matatu hapa, yaani kwenye hii video. Moja ni kuwa kuna uwezekano mkubwa kuwa huyo si Balozi wetu Malawi, watu wanafanana. Pili kuna uwezekano mkubwa kuwa hiyo ni video ya zamaaaani sana labda wakati huo Balozi akiwa bado Chuo Kikuu na la tatu ni kuwa hiyo ni sayansi tu imetumika kufanya hayo!
 
Back
Top Bottom