Mungu atamuinua Magu kama ni kweli anaumwa ili maadui wake waaibike kama kipindi cha nyuma
Ndicho kinachosemwa kuwa anaumwa sasa kuliko watu waendeelee kusema angesema naumwa sasa wewe unatafuta imaginary enemies wa nini?Mungu atamuinua Magu kama ni kweli anaumwa i
[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji28] dada sky eclat hebu marinate maneno yako kwa lugha laini.Imepiga kibiriti moyo a proper beating.
Good question. Ama wangemuuliza Msigwa. Umbea tuYaani reuters kwa uchokonozi....!? Why our man in Namibia!? Kwa nini hawajamtafuta Dr Abbas!?
Soon utaaibika ww....Mungu ni mwema tunapata madame President.
Windhoek Namibia ipo msumbiji??Hivi huyu Kipilimba kumbe yuko huko Msumbiji,ndio maana machafuko hayaishi kule calbodelgado
Hivi huyu Kipilimba kumbe yuko huko Msumbiji,ndio maana machafuko hayaishi kule calbodelgado
HeheheheKazi ipo
Kulikoni Kapilimbi kuongea tena yuko nje ya nchi badala ya Msigwa ambaye yupo Ikulu?Modestus Kipilimba
vipi wasipopata hiyo aibu ukaipata wewe!Uzuri ni kwamba,ukweli utakua wazi na watapata AIBU sana hawa
The whole establishment,watadharaulika sana!
Ebu soma tena! Hivi hata kusoma yaliyo andikwa ni shida? (Namibia vs Msumbiji)!Hivi huyu Kipilimba kumbe yuko huko Msumbiji,ndio maana machafuko hayaishi kule calbodelgado
Aliyeuliza Rais yuko wapi - si yuko nje ya nchi pia!Kulikoni Kapilimbi kuongea tena yuko nje ya nchi badala ya Msigwa ambaye yupo Ikulu?
Inawezekana yeye ndo msemaji kwa sasaYaani tusubili balozi wa Namibia ndio aseme meko yu buheri wa afya, hakika yametufika
Hivi sasa Mataga wameanza kumwona mama wa watu kama mpinzani vile.... Yani wanaanza kumwona kama Lissu.... sijui kwaniniMungu ni mwema tunapata madame President.