Balozi wa Tanzania nchini Namibia (Kipilimba): Rais Magufuli yuko mzima anachapa kazi

Unadhani Document yenye sensitive content kama hii inavujaje kirahisi hivyo? Ni sawa na kukutana na sahani ya wali na kuku jangwani na glasi ya maji ya kunywa.
Time will tell
 
Huyu barozi wa nyumba kumi nayeye ni mzushi,abasi fafanua hiyo taarifa ya barozi.
 
Endelea kuhisi tu mkuu!!
 
Tuone hiyo kesho aonekane
 
Kwani ni lazima aonekane? Si mmeshaambiwa na Balozi Lissu kuwa yuko India/China? Au hamwamini Balozi Lissu??
Si nimeambia kuwa ni uzushi , sasa tuone hiyo kesho akanushe
 
Swala lipi!??? Issue mmeikuza wenyewe, mlitafune wenyewe na kulimeza wenyewe.
 
Huyo Balozi si angesema tu kuwa yeye sio Msemaji?.
 
Hivi huyu Kipilimba kumbe yuko huko Msumbiji, ndio maana machafuko hayaishi kule calbodelgado.
Ni ofisa usalama aliyepelekwa kikazi nadhani huko msumbiji. Hivi nani msemaji wa rais, w mkuu ama mabarozi au ma rc ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…