Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania akutana na Joseph Mbilinyi ili kumpa pole kwa kipigo cha Polisi jijini Mbeya

Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania akutana na Joseph Mbilinyi ili kumpa pole kwa kipigo cha Polisi jijini Mbeya

Mashoga na wafuasi wao wanajua kuteteana sana, hivi Chadema akili hamna kabisa na kuamini wazungu ndio wanawapenda? Hivi huyo Sugu hata sehemu moja aliyeumia haipo, alafu mnasema kapigwa yuko mahututi? Uongo mtaacha lini nyie Chadema?
 
Laana ya Milele ikuandame wewe na kizazi chako chote, Amina
 
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba leo, Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania, amefika Mahali alipojihifadhi Bwana Joseph Mbilinyi, Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa ili kumpa pole na kumjulia hali kutokana na kipigo cha kutisha alichopewa na Polisi walioelekezwa kufanya hivyo na Awadh Haji.

Taarifa zinaeleza kwamba Wawili hao wamefanya mazungumzo Marefu. (Hakuna taarifa zaidi)

Soma Pia:
Mungu wabariki Wazungu
Apunguze tumbo, ningekuwa mi ni porisi ningehakikisha nachapa mateke fimbo na ngumi hilo likitambi
 
Back
Top Bottom